Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege.

Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili?

Nini kinaendelea hapa?


Picha: Tundu Lissu akiagana na Mwanamke Mzungu Ubelgiji


Picha: Tundu Lissu baada ya kuaga akiwa na mizigo yake ya safari
 
Tundu Lissu akiwa uwanja wa ndege huko Ulaya akijiandaa kurudi nchini Tanzania, alionekana akiagana na mwanamke mzungu kwa kukumbatiana na kulana denda hadharani bila hofu, kitendo ambacho kimezua sintofahamu kubwa sana kwa Watanzania.

Wengi wameenda mbali na kuhoji kama ameachana na mkewe ambaye wamezaa watoto wawili mapacha, na ambaye alisimama naye bega kwa bega tangu aliposhambuliwa kwa risasi nchini Tanzania.

Una maoni gani kuhusu picha hii ya Lissu na Mwanamke wa Kizungu?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…