Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

Hakuna kitu kama hicho mahala popote, biashara ya hivyo labda ni madawa ya kulevya ama usafirishaji binadamu ama shughuli haramu

Biashara yenye ghots owners obvious ni biashara ya kimagendo.

Sasa mbowe anafanya biashara ya kimagendo? Anauza madawa ya kulevya? Makonda alikua sahihi kusema Mbowe anauza madawa ya kulevya?

Lissu anahoji biashara gani haina hata TIN, hiyo biashara ambayo haina hata TIN ni biashara ya namna gani?
 
Umenikumbusha mhaya mmoja anaitwa Karamagi Adani 😂😂
 
1. Blackrock

Ni kampuni linalojihusisha na usimamizi wa mali, lilianzishwa mnamo mwaka 1988 na Lary Flinky akishirikiana na Robert Kapito pamoja na Philipp Hildebrand

Blackrock lina makao makuu yake Mjini Ney York, 50 Hudson Yards.

BlackRock imeandikishwa na kusajiliwa na Mamlaka ya Usalama na Ukusanyaji wa Mali ya Marekani (U.S. Securities and Exchange Commission - SEC).


Na hata kwa mujibu wa Wikipedia wamebainisha aina ya kampuni ni public na sio ya kificho kama ambavyo wewe unataka kutuaminisha

Kwenye hoja ya Lissu hakuna sehemu ambayo umempinga kwa facts. Mifano yako yote inaonesha ni wewe tu ndio huna taarifa za kutosha kuhusu hizo biashara na sio kama wanaozifanya hawajulikani or some sort of confidentiality
 
Lisu haropoki chochote anaongea ukweli risasi hazijagusa ubongo anaongea ukweli kwa Akili yako ndogo ya uchawa kwa mbowe umekariri anaropoka, hakuna cha kuropoka hapo nali ukweli mmeugeuza eti ni kuropoka, hiki ni kipindi cha kampeni kila mmoja lazima aongee udhaifu wa mwenzie, sasa mapungufu udhaifu wa mbowe hamtaki ijulikane kwa kisingizio cha kijinga kuwa ni siri za chama?
 
Sio kweli. Hata biashara chini ya trustees hujulikana ndio ziwe biashara za mtu binafsi?
Duka kiwanda saccos ya mbowe ni chadema pesa zote za chadema huporwa na mbowe kwa kujilipa madeni hewa
 
Wacha wauane!
Wote wachumia tumbo! Raia hana maslahi chukuwachakomapema au kwa Mr F Mbowe co. Ltd!
 
Safari hii kayakanyaga
Mbowe hakuwa kazoea kampeni hakuzoea mtu kumkosoa hadharani alijua madhambi madudu yake hayajulikani, Mbowe alizoea kupita bila kupingwa, sasa kila anachosikia toka kwa Lisu kakariri kuwa Lisu anaropoka, kumbe watanzania wao wanaona siyo uropokaji ni ukweli, chawa wa mbowe wameishiwa mbinu huku wakiendelea kula pesa za mbowe na ndipo mbowe anazidi kuchanganyikiwa
 
Kwa hiyo hutaki kusikia ubovu wa Mbowe!!
 
Mbowe ni mwizi wa pesa za chadema hilo halina ubishi na hizo pesa kaiba ndizo anazitumia kuwapa chawa wapige kelele mitandaoni
 
Narudia tena,

Tanzania Biashara za wanasiasa ni siri.. na kuweka TIN numbers zako kwenye biashara hasa ukiwa unaendesha siasa kama za FAM ni suicidal.

Waafrica wengi wanatumia wahindi, wachina na waarabu kuendesha biashara zao na wao kubak kama ghost owners.

Hizo complications za Backrock wala tusiziendeleze... Larry ni Cofounder na CEO, pamoja na partner wengine saba, lakini wao ni individual shareholders wanaoweza kuonekana, the largest shareholders ni complex.
 
Kwa hiyo hutaki kusikia ubovu wa Mbowe!!
Kwa hiyo hana TIN kwa vile Lisu ni TRA na zile AC za biashara zilifungwa ina maana zilikuwa hewani!!.Unajua maana ya kukosa TIN ambayo hata wewe unayo!!?Atafute vyeo kwa ustaarabu ndio lengo langu.Ina maana Lisu yeye akikuchukia kila anachosema ni sawa!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…