Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Wakati unasoma methali kuna ile methali pendwa inayoakisi uhalisia...

1.Mficha uchi ........

Sasa umefkia wasaa methali imekuwa kweli, somo achia mapaja muda sio rafiki. Maisha ndio haya haya. Game ngumu sikuhizi sio kila mwanamke ataolewa imekuwa ni kama bahati.
 
Lamomy auone huu ujumbe.
 
Umri mzuri wa binti kupata uzazi ni kati ya 19-25 years hapo hakunaga compe kabisa. Hii miaka ya 30s ndio inakuja na risk nyingi maana mwili ushakakamaa. Lazma utakutana na mambo ya mgongo kuuma na majanga mengine postnatal.
 
Acheni kumpa moyo kinafiki, mwambieni ukweli hasa ninyi wanawake wenzie.

Iko hivi;

Mara zote maisha ya mwanamke huwa yanakuja na expire date kinyume na kwa mwanaume. Muda ambao binti unakuwa unapigiwa miruzi mingi, kijana wa kiume kwa muda huo ni sifuri kabisa ila ikifika muda sasa kila mtu anajitenga na wewe ndipo kijana huyu wa kiume unaelingana nae kiumri ndipo anaanza kuhesabu namba zake.


Nachokiona kwako ni ile kawaida yenu ya nyodo kupitiliza uliyokuwa nayo kwa waliokuwa wakikufuata. Kuchagua halijawahi kuwa tatizo kwangu ila hapo kwenye nyodo hapo ndipo panapokujaga kuwasurubu wengi wenu
 
Umri mzuri wa binti kupata uzazi ni kati ya 19-25 years hapo hakunaga compe kabisa. Hii miaka ya 30s ndio inakuja na risk nyingi maana mwili ushakakamaa. Lazma utakutana na mambo ya mgongo kuuma na majanga mengine postnatal.
Sio mbaya nime ona binti ali jifungua akiwa 33.
👉Na ili enda POA to, though circumstances differ
 
Nipo tayari kukuoa mamaa😘
 
Aliyekwambia ukifikisha miaka 30 bila familia ni dalili ya kuwa mwanamke Brilliant ni nani mkuu?


Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…