Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Sasa we umezaa na umri mzuri kabisa unampa false hopes mwenzio. Azae haraka kashachelewa huyo. Mwanamke anawahi kuchoka sana kuliko sisi wa kiume. Yani kuanzia 30 mwanaume thamani inapanda sana sababu ndio tuko kwenye peak ya ujana na wahitaji familia wengi wanatazamia kwenye kundi hilo ila wenye chance ni wale walioko below 25 years. Mwanamke wa 30 years and above ni mzee.Early 30s' bado hakuna changamoto, relax utapata hitaji lako, tena unapata mtoto ukiwa matured!!
Wengine tulianza kuzaa kwenye early 20s' utoto ulikuwa mwingi sanaa
Watu mlioolewa na familia zenu mnatoa ushauri wa kutia moyo kweli japo ukweli mnaujua 😂Miaka 30 ni namba tu, haifanyi tofauti yoyote kama ungezaa kwenye 28, 29. Kinachoshtua kwenye miaka 30 ni hiyo tatu tu.
Usiogope, timiza malengo yako.
Kila kitu kinafaida na hasaraSasa we umezaa na umri mzuri kabisa unampa false hopes mwenzio. Azae haraka kashachelewa huyo. Mwanamke anawahi kuchoka sana kuliko sisi wa kiume. Yani kuanzia 30 mwanaume thamani inapanda sana sababu ndio tuko kwenye peak ya ujana na wahitaji familia wengi wanatazamia kwenye kundi hilo ila wenye chance ni wale walioko below 25 years. Mwanamke wa 30 years and above ni mzee.
Okay wacha tuone. Kinachowafelisha wengi ni kutafta perfect match.Kila kitu kinafaida na hasara
Trust me huyo ata make a very good wife and mother, Kwa umri wake...
Kapitia mengi..
Kayajua mengi...
Anajua ninini anahitaji...
Na uwezokano wa kuwa na ndoto mpya mdogo...
So ata stick...na kukishikilia vizuri alichonacho.
Eti children without address😀Usije ukaamua kuwa singo maza tu kwa sababu ya hiyo panic...
Nina cousins zangu wa kike, wanalea watoto tu sasa wasio na address kwa sababu ya pressure hizi za sijui umri kwenda, malengo kutotimia etc...
Ikumbukwe tu kuwa, waoaji nao wamepungua wakati idadi ya wanawake nayo ni kubwa, hivyo soko halipo kwenye uwiano sawa...
Na nini sasa?I am happy
Hahahahhaa wengine tuliangukia huko bahati mbaya ila Mungu akaamua kugeuza kuwa baraka.Watu mlioolewa na familia zenu mnatoa ushauri wa kutia moyo kweli japo ukweli mnaujua 😂
maybe after 4-5 yrsWeee hebu zalisha huko, uwe na nguvu ya kusomesha watoto kabla haujastaafu.
Hakuna cha bahati mbaya, ungekuwa hujaolewa sahizi ungekuwa ushaanza kula madawa.Hahahahhaa wengine tuliangukia huko bahati mbaya ila Mungu akaamua kugeuza kuwa baraka.
Mtoa mada atimize malengo yake kwanza.
Sasa Kwa wale wa kuchagua Sana ndio shida.Okay wacha tuone. Kinachowafelisha wengi ni kutafta perfect match.
Kwamba kaza mdogo wetu, kumbe Wana chekea jikoni🤣😀Watu mlioolewa na familia zenu mnatoa ushauri wa kutia moyo kweli japo ukweli mnaujua 😂
Hahahaa, When did you begin to exist outside of the womb?maybe after 4-5 yrs
Hii ya kikatili Sana😀🤣Hakuna cha bahati mbaya, ungekuwa hujaolewa sahizi ungekuwa ushaanza kula madawa.
I wasn't even 10, when cr7 was signed by real MadridHahahaa, When did you begin to exist outside of the womb?