Je, umejipanga kutoka na nani humu ndani katika siku ya wapendanao?

Sasa ibada si saa Tisa?tukitoka ibada saa Moja tunaenda zetu dinner,kwani kula ni dhambi😁😁😁?
Tena tukapake majibu pale St Joseph,tukitoka tunazama dinner Johari Rotana,Wana valentine dinner ya nguvu 🀣
 
Ni muda sasa wakutuma nauli, kama ulichelewa jana kazi kwako; wala nauli wapo pale wanaisubiri πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…