Je, umejipanga kutoka na nani humu ndani katika siku ya wapendanao?

Je, umejipanga kutoka na nani humu ndani katika siku ya wapendanao?

Sasa ibada si saa Tisa?tukitoka ibada saa Moja tunaenda zetu dinner,kwani kula ni dhambi😁😁😁?
Tena tukapake majibu pale St Joseph,tukitoka tunazama dinner Johari Rotana,Wana valentine dinner ya nguvu 🤣
 
Je, wewe utatoka na nani humu?
1707850618437.png
 
Ni muda sasa wakutuma nauli, kama ulichelewa jana kazi kwako; wala nauli wapo pale wanaisubiri 😂😂
 
Back
Top Bottom