Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Bac tuwe serious niambie kuwa unaamini kua miaka elfu 6 iliyopita Mungu aliumba kila kitu Kama tunavyoona now in 6 days na binadamu wawili walioshi na wanyama wote duniani katika Bustani na nyoka aliyeongea aliwapa tunda wakala ndo shida zikaanza na baada ya hapo akaja mfufua wafu ambae nae ni Mungu na akafa akafufuka na yeye akapaa mawinguni (bila kufa kwa kukosa oxygen na mambo ya pressure) na atarudi kipindi wanafunzi wake wapo kuja kumaliza dunia .. 😁tell me we ni mtu unajielewa na unaamini this is true
 
Niliacha kuamini kwenye misaada ya wazungu mwanzo nilijua wanatupatia misaada ya dawa sababu wanatupenda kumbe wanatupatia ili waendelee kutucontrol tusiwe na kauli kwao
 
Yote sikupingi!
 
Mimi niliachana na imani za dini baada ya kuelewa Evolution na nikaachana na Mungu baada ya kuelewa immune system inavyofanya kazi.





Sayansi imeniokoa kutoka kwenye dimbwi la ujinga mkuu
Sawa sawia!
 
Mwamba upo sahihi kabisa, naona watu wanakutisha hapa...usitishike baki na msimamo huohuo😆😂....
Mi naungana na wewe kwamba haya mavitabu yametungwa tu, hasusani Quran ni kitabu chenye Mambo ya kitoto sana na ujinga mwingi. Ila kusema moja kwa moja kwamba Mungu hayupo, hapo naomba ubaki mwenyewe.
 
Mkuu sijakuja kubishana ila maswali yako ya asili ya mfumo wa jua na dunia yanajibika kisayansi tena ukifatilia utaelewa vizuri tu. Soma makala mbalimbali au search youtube utapata majibu yote. Asante
 
Mimi nilikuwa naamini upendo wa dhati huja pale mnapokuwa karibu. Lakini nilikuja kubadilisha mtazamo pale nilipogundua upendo wa kweli upoo katika kujaliana, kuheshimiana na kubebeana mapungufu(kuwa ngao kwa wengine). Kwa sababu mtu mnaweza kuwa nae karibu akakuigizia maisha kwasababu ana lengo la kupata kitu fulani ila mkiwa mbali upendo wa dhati hakuna kabisa
 
ila bible haina utoto au sio...hahaha! IMANI NI UPOFU!. me nadhani mtu makini ni yule anayeuliza kila kitu na kuchunguza kila kitu kabla ya kukikubali. Dini wameletewa babu zetu nasi tumezaliwa tumezikuta. Mtu makini ni yule anayechunguza kutaka kujua ukweli, usiwe mpofu wa dini. inawezekana dini zote haziko sahihi na kwamba ni hadithi za kutungwa tu na inawezekana pia mojawapo kati ya hizi dini ikawa ina ukweli ndani yake. CHUNGUZA MTU WANGU USIWE MPOFU WA DINI KISA UMEZALIWA NA KULELEWA KWENYE DINI FULANI!
 
Niliamini kwenye kua uyaone ila sasa nimekua na sijayaona mpaka sasa na bado nipo njia panda sijui niende wapi
 
Sahihi
 
Mimi niliachana na imani za dini baada ya kuelewa Evolution na nikaachana na Mungu baada ya kuelewa immune system inavyofanya kazi.





Sayansi imeniokoa kutoka kwenye dimbwi la ujinga mkuu
Ongezea nyama kivip mkuu
 
Sure tatizo watu wanachanganya Mungu kuwepo na dini Yao kuwa kweli...Quran Ina Mambo ambayo hata mtoto wa la tatu hawezi amini kuwa ni kweli .Ila inabidi aamini coz katishiwa Moto na pia jamii itamtenga...Ila ni upuuzi tu
 
Kwani amesema bible sio utoto...zote ni mule mule...tofauti ni kwamba mtume Muhammad kajifanya anajua kila kitu mpaka kabugi...anaforce kujua jibu la kila kitu mpaka anajiaibisha..kwenye Bible huwezi ona mambo ya jua kuzama kwenye tope au kuomba ruhsa kwa Mungu kutokea asubuhi..
 
Mkuu sijakuja kubishana ila maswali yako ya asili ya mfumo wa jua na dunia yanajibika kisayansi tena ukifatilia utaelewa vizuri tu. Soma makala mbalimbali au search youtube utapata majibu yote. Asante
Hata na ivyo atubishani mkuu tunaelimishana tu, Embu nielezee japo kwa kifupi origin of man na origin of solar system japo kwa kifupi. Let's start
 
Shida yako ni kuwa hata hiyo qur an huijui yaani qur an huijui wala sayansi huijui alafu umechagua kuwa upande wa sayansi ambayo nayo huijui.. Daah !
 
Niliacha kuamini kwenye misaada ya wazungu mwanzo nilijua wanatupatia misaada ya dawa sababu wanatupenda kumbe wanatupatia ili waendelee kutucontrol tusiwe na kauli kwao
Kabisa huu ndio ukweli
 
Namba 2.tunafanana niliamini udikiteta nikitu kibaya kumbe sio ..niliamini democracy ndio mfumo mzuri kumbe sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…