Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

[emoji23] Eti atubu, mtu atubu tena kivipi si mnasemaga mungu pekee ndo kakamilika sisi wanadamu hatujakamilika siku zote tunatenda dhambi. Aliyetuumba hatujakamilika ni mungu mwenyewe halafu tena anatulaumu tukitenda dhambi na anatuhitaji tutubu. Yani anatulaumu kwa makosa yake ye mwenyewe.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Ukisikia binadamu hatuja kamilika ni kwamba hatuna ukamilifu kama aliokuwa nao Mungu ndio maana tunatakiwa kumuabudu.
Ukitenda kosa inabidi utubu ili usamehewe kosa lako na hiyo ni kwa faida yako sio kwa faida ya Mungu.
unavyosema Mungu anatulaumu kwa makosa yake mwenyewe ni makosa gani ? Kama kosa lenyewe ni kukuumba bila ukamilifu hilo sio kosa kwasababu angekuumba na ukamilifu na wewe ungekuwa Mungu.
 
Utabisha ila utofauti upo wazi kwenye hadithi ya sauli. Basi ngoja nikupe maandiko mengine na yenyewe tuone utasemaje
hakuna utofauti,labda kama umeuliza ili ubishane sio ueleweshwe,unajua ni kazi ngumu sana kumwelewesha mtu aliyeamua kukumbatia upumbavu???

1. Mungu anatubu au tuseme anaomba msamaha Kwa kumfanya sauli mfalme(I Samuel 15:10 to 11) [hapo kumbuka anajua kila kitu Kwa hiyo alijua mapema sauli ataharibu anajutia nini sasa]
hapa Mungu hajuti,ukisoma kwa utulivu,haya yalikuwa maono ndani ya moyo wa samweli,kwamba inawezekana kabisa Mungu anajutia kunitawadha kuwa mfalme,haya ni mawazo ya kila binaadam hata ukizini wazo linalokujia ni kwamba Mungu atakuwa kanikasirikia.
Huyo huyo samweli tena anasema mungu hawezi kutubu maana sio mwanadamu (I Samuel 15:29)
kabisa kabisa,rejea maelezo yangu hapo juu,Mungu hawezi kujuta,kujuta utajuta wewe mwanadamu,

ndio sababu mnaambiwa someni kitabu hiki mkiwa mmetulia mwili na akili.
Tena samweli anasema mungu alitubu au tuseme kuomba radhi au kujuta kumfanya sauli mfalme wa Israeli utafikiri alikuwa hajui kama ataharibu.
Mungu hawezi kutubu,kama nilivyokueleza haya yote ni maono ya samweli,sababu hata nikikwambia ulete ushahidi Mungu akiomba msamaha hauta kuwa nao(I Samuel 15:35). [emoji23][emoji23] HUYU NI MWANDISHI MMOJA TU.
2. After the feeding of the multitude, Jesus went to Gennesaret. Mark.6:53.
After the feeding of the multitude, Jesus went to Capernaum. John.6:14-17.
Kati ya Luka na Marko nani yuko sahihi Yesu alienda wapi baada ya kulisha umati mmoja anasema Gennesaret mwingine Capernaum
hii ni sawa na classmate wako 2 waelezee watu kwamba ulipomaliza shule mmoja aseme ulienda tabora mwingine aseme ulinda nzega.
3. Yuda alimbusu yesu? mathayo anasema ndio yohana anasema hakuweza kusogea karibu vya kutosha kumbusu hivyo hakumbusu.
(Matthew 26:48-50)(John 18:3-12)
mbona hapa pia hamna mkanganyiko!!john inazungumzia Yuda kutoa ishara,mathew inazungumzia baada ya kundi lote kumfikia Yesu,na ili usichanganye maelezo yao usichanganyikiwe,kwa John kuna maelezo kwamba walirudi nyuma wakamsujudia,hii inamaana walimkaribia kabisa.hawa si kwamba hawakuielewa ishara ila waliingia ubaridi ghafla mpaka kusujudu.
4.Yesu alikuwa wapi saa la sita la siku ya kusulubiwa Marko anasema kwenye msalaba yohana anasema kwenye mahakama ya pilato

(Mark 15:23) (John 19:14)
lakini si una taarifa kwamba hakuna mwanafunzi aliyethubutu kusogelea zoezi zima isipokuwa petro ambaye naye kabla hakujapambazuka likataka kumkuta jambo!!!!

tufanye walikuwepo wote eneo la tukio wakitizama kama wananchi wengine,nani kati yao hawa wawili alikuwa na saa ya mkononi??rolex,seiko,apple ama hata gilex😅😅
5.Nani alimuua Goliati
David (I Samuel 17:23, 50)
Elhanan (2 Samuel 21:19)
ysoma hii 2 samweli 21:19 kuanzia nyuma utagundua goliath hakiwa mmoja,walikuaa na sifa mbali mbali.
6. Kuna mtu apa alimuona mungu na maisha na hakufa Genesis (Mwanzo) 32:30
24 inasema kuna mtu alikutana na Yakobo wakaanza mieleka,yakobo baada ya kuona kamudu,Yeye ndiye akadai kaonana na Mungu,nawewe unadai ni kweli yakobo alionana na Mungu😃

vipi mtu huyo nikikwambia hakuwa na tofauti na Yesu tumwitaye Mungu utanuna ama utazira kula!!!!

Musa pia alionana na Mungu katika umbo la kichaka kiwakacho moto,lakini tutasema hakuonana naye sababu haikuwa katika utukufu wake.

Yohana alisahau akasema hakuna aliemuona mungu (John 1:18)
hakuna aliyewahi kuwona Mungu katika Mwili huu wa kindezi,wala sio uongo
Tuanzie hapa kwanza mkuu

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Soma Quran..na hadiths sawa.. nimekutumia kuhusu Muhammad kusema jua linaenda kwa Allah usiku kuomba ruhsa kutokea asubuhi umenipotezea....so Sina mda wa kutuma screenshot hovyo hovyo kama husomi...we ni mtaalamu tafuta Aya, una simu, ukipata soma..🤣Mi nitunge Nina faida gani asa napata
Shida yako ndio hiyoo mimi sijaona screenshot uliyotuma kuwa jua linaenda kuomba ruhusa kwa ALLAH.
Iweke hapa tena kwani kupest screenshot Kuna ugumu gani mbona ni rahisi tu kama kuweka vi Emoj vya kucheka.
 
Kwa Nini hio story ya nyoka hujasema kuwa ni taswira.. na mbona katika ulimwengu huu wa magazeti, waandishi wa habari, tv, redio na internet nyoka hawaongei Tena...🤣
Umesema ulimwengu huu sasa wewe nani alikuambia nyoka aliongea katika ulimwengu huu?
Sijasema story ya nyoka ni taswira kwasababu sio taswira.
 
🤣🤣🤣Mi Mungu wangu sio muarabu asa... Baki na muarabu wenu
Hueleweki una pinga hamna Mungu au unapinga kuwa Allah sio Mungu?
Embu tueleze sifa za Mungu wako tumpime katika mizani za kiakili kama kweli anafaa kuwa Mungu.
 
hakuna utofauti,labda kama umeuliza ili ubishane sio ueleweshwe,unajua ni kazi ngumu sana kumwelewesha mtu aliyeamua kukumbatia upumbavu???

hapa Mungu hajuti,ukisoma kwa utulivu,haya yalikuwa maono ndani ya moyo wa samweli,kwamba inawezekana kabisa Mungu anajutia kunitawadha kuwa mfalme,haya ni mawazo ya kila binaadam hata ukizidi wazo linalokujia ni kwamba Mungu atakuwa kanikasirikia.

kabisa kabisa,rejea maelezo yangu hapo juu,Mungu hawezi kujuta,kujuta utajuta weww mwanadamu,

ndio sababu mnaambiwa someni kitabu hiki mkiwa mmetulia mwili na akili.

Mungu hawezi kutubu,kama nilivyokueleza haya yote ni maono ya samweli,sababu hata nikikwambia ulete ushahidi Mungu akiomba msamaha hauta kuwa nao(I Samuel 15:35). [emoji23][emoji23] HUYU NI MWANDISHI MMOJA TU.

hii ni sawa na classmate wako 2 waelezee watu kwamba ulipomaliza shule mmoja aseme ulienda tabora mwingine aseme ulinda nzega.

mbona hapa pia hamna mkanganyiko!!john inazungumzia Yuda kutoa ishara,mathew inazungumzia baada ya kundi lote kumfikia Yesu,na ili usichanganye maelezo yao usichanganyikiwe,kwa John kuna maelezo kwamba walirudi nyuma wakamsujudia,hii inamaana walimkaribia kabisa.hawa si kwamba hawakuielewa ishara ila waliingia ubaridi ghafla mpaka kusujudu.
4.Yesu alikuwa wapi saa la sita la siku ya kusulubiwa Marko anasema kwenye msalaba yohana anasema kwenye mahakama ya pilato

lakini si una taarifa kwamba hakuna mwanafunzi aliyethubutu kusogelea zoezi zima isipokuwa petro ambaye naye kabla hakujapambazuka likataka kumkuta jambo!!!!

tufanye walikuwepo wote eneo la tukio wakitizama kama wananchi wengine,nani kati yao hawa wawili alikuwa na saa ya mkononi??rolex,seiko,apple ama hata gilex[emoji28][emoji28]

ysoma hii 2 samweli 21:19 kuanzia nyuma utagundua goliath hakiwa mmoja,walikuaa na sifa mbali mbali.

24 inasema kuna mtu alikutana na Yakobo wakaanza mieleka,yakobo baada ya kuona kamudu,Yeye ndiye akadai kaonana na Mungu,nawewe unadai ni kweli yakobo alionana na Mungu[emoji2]

vipi mtu huyo nikikwambia hakuwa na tofauti na Yesu tumwitaye Mungu utanuna ama utazira kula!!!!

Musa pia alionana na Mungu katika umbo la kichaka kiwakacho moto,lakini tutasema hakuonana naye sababu haikuwa katika utukufu wake.

hakuna aliyewahi kuwona Mungu katika Mwili huu wa kindezi,wala sio uongo
Majibu yako yote umepika tafsiri ambazo hazijaandikwa kama kawaida hapo akija mwana dini mwingine atatoa tafsiri tofauti ya maandiko hayo hayo. Unalizimisha nisome kwa utulivu, utulivu upi huku maandiko yako wazi. Unachotaka nisome maandiko nikiwa nishajijengea Imani kwamba hiki kitabu kina ukweli mtu kama mlivyo wengi kwa style hiyo kila kitu utaona ni sahihi.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe unakubali kila kitu kilichoelezwa na dini kuwa ni cha kweli?

Kama dini hueleza yaliyo kweli unaweza ukatuambia kwanini dini zipo nyingi na kila dini inapingana maelezo na dini nyingine?
Labda kuweka sawa hoja yangu dini ninayoizungumzia mimi ni uislamu ambayo ndio dini ya kweli sasa unapouliza kuwa kama dini zinasema kweli kwanini zinapingana mimi nitakavyokujibu nikuwa dini inayosema kweli ni uislamu hivyo basi dini nyingine tofayna uislamu hazisemi kweli ndio maana zinapingana.
Kama hoja yako ni kuwa kwa sababu dini zinapingana basi hakuna Mungu wewe utakuwa una makosa kwa sababu wewe huamini katika dini hivyo hoja za dini kutofautiana waachie wenye dini zao hilo wewe halikuhusu kwa sababu hizo dini zinatofautiana kwenye mambo mengine lakinisio kuwa zinakataza juu ya uwepo wa Mungu lakini wewe shida yako ni juu ya uwepo wa Mungu hivyo wewe utabishana na muislamu, mkristo na myahudi lakini swala la myahudi , mkristo na muislamu kutofautiana wewe hali kuhusu.
 
Ukisikia binadamu hatuja kamilika ni kwamba hatuna ukamilifu kama aliokuwa nao Mungu ndio maana tunatakiwa kumuabudu.
Ukitenda kosa inabidi utubu ili usamehewe kosa lako na hiyo ni kwa faida yako sio kwa faida ya Mungu.
unavyosema Mungu anatulaumu kwa makosa yake mwenyewe ni makosa gani ? Kama kosa lenyewe ni kukuumba bila ukamilifu hilo sio kosa kwasababu angekuumba na ukamilifu na wewe ungekuwa Mungu.
Apo Sasa ni kama kututegeshea Sasa maana kumbuka mungu anajua kila kitu Kwa hiyo anajua mwisho wa wanadamu wote kuna haja gani ya kutuumba bila kuwa wakamilifu Ili tuje tutende dhambi ambazo tayari anajua tutatenda halafu tumuombe msamaha

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
hamna tatizo nitakuelewesha na wengine watapata faida pia.

hivi vitu ni vyepesi tu isipokuwa mnataka kusoma neno juu ya bodaboda.
[emoji23][emoji23] Umenichekesha kwenye goliati tofauti. Hivi unasoma kweli kilichoandikwa au unasoma halafu unaleta tafsiri zako tofauti na kilichoandikwa. Kaka naomba nikuache.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Majibu yako yote umepika
kwani umeuliza ukiwa na majibu yako mfukoni ndugu yangu!!!!
tafsiri ambazo hazijaandikwa kama kawaida hapo akija mwana dini mwingine atatoa tafsiri tofauti ya maandiko hayo hayo.
haya ni majibu yangu huyo mwingine achana naye zingatia nilichokuelekeza.

Unalizimisha nisome kwa utulivu, utulivu upi huku maandiko yako wazi.
yako wazi kabisa ila si unajua uelewa tunatofautiana!!!
Unachotaka nisome maandiko nikiwa nishajijengea Imani kwamba hiki kitabu kina ukweli mtu kama mlivyo wengi kwa style hiyo kila kitu utaona ni sahihi.
kwanini usome ukiwa na mawazo kwamba hiki kitabu ni cha uongo!!!

kwa kusoma ukiwa na dhana hiyo ndio hapo unalazimisha jambo 1 liwe uongo sababu 2 imepishana herufi na 1.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Labda kuweka sawa hoja yangu dini ninayoizungumzia mimi ni uislamu ambayo ndio dini ya kweli sasa unapouliza kuwa kama dini zinasema kweli kwanini zinapingana mimi nitakavyokujibu nikuwa dini inayosema kweli ni uislamu hivyo basi dini nyingine tofayna uislamu hazisemi kweli ndio maana zinapingana.
Kama hoja yako ni kuwa kwa sababu dini zinapingana basi hakuna Mungu wewe utakuwa una makosa kwa sababu wewe huamini katika dini hivyo hoja za dini kutofautiana waachie wenye dini zao hilo wewe halikuhusu kwa sababu hizo dini zinatofautiana kwenye mambo mengine lakinisio kuwa zinakataza juu ya uwepo wa Mungu lakini wewe shida yako ni juu ya uwepo wa Mungu hivyo wewe utabishana na muislamu, mkristo na myahudi lakini swala la myahudi , mkristo na muislamu kutofautiana wewe hali kuhusu.
Unajuaje Uislamu ni dini ya kweli na zingine za uongo?
 
[emoji23][emoji23] Umenichekesha kwenye goliati tofauti.
usicheke,unachotakiwa ni kujipa nafasi kutafiti zaidii ili uelewe mambo zaidi na zaidi.
Hivi unasoma kweli kilichoandikwa au unasoma halafu unaleta tafsiri zako tofauti na kilichoandikwa. Kaka naomba nikuache.
usiniache ukiwa hujaelewa,ni hatari kwa kizazi chako na majirani,wewe enedelea kuuliza tu ulipo tatizika.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi mnatafsiri neno kila mtu anavyojisikia ili mchengeshe uongo wa wazi.
tatizo umekuja na maswali yako ukiwa na kimemo cha hitimisho mfuko wa nyuma.

hupendi majibu yanayokufunua wala huna nia ya kupata majibu.

tayari umehitimisha ni uongo,hujui hata maandishi ama taarifa ili iwe ni uongo inatakiwa iwe na sifa zipi😅😅.

hii ndio bible mkuu,ni rahisi kwa kuisoma ila ina vigezo vyake mpaka uielewe,Mungu akuongoze katika maarifa yanayokusaidia, sio katika mashudu yanayokudhuru.

tayari umehitimisha ni uongo,hujui hata maandishi ama taarifa ili iwe ni uongo inatakiwa iwe na sifa zipi[emoji28][emoji28].

[emoji23] Vigezo ambavyo kila mchungaji ana vya kwake si ndio?. Nimekuja nimesoma vitabu mbalimbali vya history na science, nimeandika na ku publish article kwenye sociology of religion, we umekuja umesoma kitabu kimoja tu ndio chanzo chako cha taarifa.

Kwa taarifa yako mfalme Constantine ndio alitoa order Kwa Eusebius of Caesarea akusanye maandiko ya hadithi tofauti watengeneze kitabu chenye taratibu za kuongoza watu kiimani na hayo maandiko yasipingwe. Hayo maandiko hata majina yalikuwa hayana walibandika tu. Na huu ndo Mwanzo wa biblia

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
tatizo umekuja na maswali yako ukiwa na kimemo cha hitimisho mfuko wa nyuma.

hupendi majibu yanayokufunua wala huna nia ya kupata majibu.

tayari umehitimisha ni uongo,hujui hata maandishi ama taarifa ili iwe ni uongo inatakiwa iwe na sifa zipi[emoji28][emoji28].

hii ndio bible mkuu,ni rahisi kwa kuisoma ila ina vigezo vyake mpaka uielewe,Mungu akuongoze katika maarifa yanayokusaidia, sio katika mashudu yanayokudhuru.
Majibu yako hayafunui bali ni jaribio la kufunika makosa Kwa kuleta tafsiri ambazo hajielezwa kwenye biblia yenyewe ambayo ndio chanzo chako cha taarifa.

Back
Top Bottom