Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

roho bila uhai hiyo sio roho.
kwa asili yake roho ni uhai,hata unapofariki ni roho inayoacha mwili peke yake.

so!!!!!

roho si tu ina miguu,hii roho ya Mungu sehemu nyingi sana imeonekana na maumbo mbali mbali.
hata ikitaka kuingia kwenye fridge likaanza kuongea inawezekana.

so usishtuke sana kusikia hatua za Mungu bustanini,sauti pia ilisikika na hujauliza kama Mungu ana koo,umesahau au???
Kama roho lazima iwe hai kwa maana hiyo mungu ana uhai si ndio? Tunarudi pale pale kila chenye uhai kina chanzo, nieleze chanzo cha mungu ?

swali rahisi tu naomba jibu

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kama roho lazima iwe hai kwa maana hiyo mungu ana uhai si ndio?
usiseme Mungu ana uhai,hapa unataka kutengenisha Mungu na uhai.
roho wa Mungu ndio uhai wenyewe.
Tunarudi pale pale kila chenye uhai kina chanzo, nieleze chanzo cha mungu ?

unataka chanzo cha Mungu kwa kutumia rejea gani??bible umeisoma??umemjua Mungu ni nani??
swali rahisi tu naomba jibu

rudia swali hapo juu.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ndio nina uthibitisho.
Kwanza, Chukua mfano wa simu yako unayotumia ni wazi kuwa imeundwa na mashine huko viwandani na mashine zimeundwa na binadamu sasa swali ni je mwanadamu Kaumbwa na nani? Hapa ndipo utaona kuna ulazima wa kuwa na mwanzilishi wa kila kitu ambaye ni self sufficient, The most powerful ambaye hategemei the Infinity series kwamaana Yeye ndie Mwanzo wa kila kitu naye ndie Allah.

Pili, Ushahidi wa kuwa kuna Mungu ni wewe mwenyewe i.e you are the proof that God Exist. Look at yourself and asky yourself where you come from and what is your origin.
Lakini pia unapoumwa unaenda kwa daktari kutibiwa kwa kuwa daktari ndiye expert wa magonjwa vivyo hivyo Tumejikuta tumezaliwa na tuna hitaji expert wa kutuelekeza jinsi ya kuishi katika dunia, Expert mwenyewe ndie Allah, Kwa maana anasema katika qur an jinsi ya kuishi katika ulimwengu huu kuwa katuumba lengo kubwa ni sisi kumuabudu yeye lakini pia katuelekeza Tusiibe, tusiue, tusile riba n.k vivyo hivyo katuelekeza tupendane, tusitukanane, tutoe sadaka n.k kwa maana hii ni kuwa Allah hapa yeye ndie Aliyeumba dunia na akatuumba sisi hivyo anajua kipi ni kizuri kwetu na kipi ni kibaya na anaijua saikolojia yetu na kweli yale aliyekataza kama kuua, zinaa na mengine tunaona madhara yake hivyo hainabudi sisi kumuamini kuwa kweli yeye ndie Mungu.

Mwisho niseme kuwa hizo ni hoja zangu zinazonifanya nijue kuwa kuna Mungu na Qur an imeeleza kuwa kuna Mungu sasa wewe njoo na hoja zako kuwa kwanini unasema Allah hayupo?
Note: sijakwambia ukosoe hoja zangu nimekwambia njoo na hoja zako za kupinga kuwa Allah hayupo then tuone na hoja zako mimi za kwangu ndio hizo nasubiri za kwako. Kama unataka kupinga hoja zangu sawa lakini toa hoja zako kwanza then utakuja kupinga zangu nasubiri unijibu kwanini unasema hakuna Allah?
Ulianza vizuri na mfano ila umekuja kuhitimisha vibaya.

Mtu aliyetengeneza simu anathibitishika, na viwanda vipo vinathibitishika.

Elimu ya utengenezaji simu ipo na inafundishwa.

Kwa maana hiyo ukisikia kauli kuwa simu imetengenezwa basi moja kwa moja hiyo ni fact based on proof.

Sasa unaposema mtu aliumbwa, rejea yako inakuwa nini?

Kuna kiwanda chochote ambacho kinafanya uumbaji wa watu ili tutumie hiyo kama reference?

Je kuna uumbaji wowote ambao umewahi kushuhudiwa au kurekodiwa ambao uko supoorted na uthibitisho ili kweli tukubali uumbaji upo na hivyo watu wameumbwa?
 
Mimi pia niliamini mitishamba ni ushirikina na nilisema sitathubutu kwenda kwa mganga kupata tiba yoyote hadi nilipobananishwa ndo nikaacha hayo mawazo ya kipuuzi
 
usiseme Mungu ana uhai,hapa unataka kutengenisha Mungu na uhai.
roho wa Mungu ndio uhai wenyewe.
Tunarudi pale pale kila chenye uhai kina chanzo, nieleze chanzo cha mungu ?

unataka chanzo cha Mungu kwa kutumia rejea gani??bible umeisoma??umemjua Mungu ni nani??
swali rahisi tu naomba jibu

rudia swali hapo juu.
Bible nimeisoma na nimejua mungu ni roho yenye uhai [emoji23]. Kwa hiyo tunarudi pale pale hiyo roho ilikuja yenyewe.

Kama unataka kukimbilia kwenye Mungu kuwa Mwanzo na mwisho hizo sifa mnazoupa huo Mwanzo kwamba unajua kila kitu, unaona kila sehemu (maana ake ata tukiwa chooni au bafuni ambayo sio adabu nzuri kwakweli) unatenda miujiza, unatakiwa kuabudiwa kila jumapili mlizitoa wapi? Kwa kuwa hatujui mwanzo ulikuwaje kuupa jina Mungu sio shida, shida ni hizo sifa mnazojaza huo mwanzo sijui unajua kila kitu, una nguvu kuliko vyote mkiulizwa mnazijuaje rejea yenu ya hizi sifa eti ni biblia.

Rejea ya biblia hii hii ambayo inasema Mungu aliumba kila kitu na anajua kila kitu na ana nguvu kuliko chochote. Ila wakati anamuumba ibilisi (malaika wake) alikuwa haoni uovu atakaoleta na kama aliuona kwanini hakuzuia maana biblia inasema hapendi uovu, nguvu pia za kuzuia alikuwa nazo kwanini hakuzuia ibilisi kuleta uovu. BIBLIA imetudanganya kuhusu uwezo wa huyo mungu kwanini nasema hivyo

Mungu anataka na alitaka kumzuia ibilisi na uovu wake = NDIO ( Sasa kwanini hajamzuia au kwanini hakuacha kumuumba au kumzuia mapema kabisa)

Nguvu za kumzuia ibilisi anazo na alikuwa nazo toka mwanzo =NDIO (kwanini alimuacha akaharibu mambo sasa si angemtuliza kwa nguvu zake)

Anajua na alijua kabla ya kumuumba ibilisi kuwa ataasi na kuwa muovu =NDIO (kwanini alimuacha akaufanye uovu kama kweli lengo lake halikuwa uovu utendeke)

Jibu rahisi tu Mungu Hana sifa hizo kama biblia inavyotudanganya kama ana upendo mkubwa kuliko kiumbe chochote na hapendi uovu kwanini aliruhusu uovu uje na ulete mateso? Biblia inajichanganya yenyewe hivyo haiwezi kuwa chanzo cha taarifa cha kutegemewa.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Bible nimeisoma na nimejua mungu ni roho yenye uhai [emoji23]. Kwa hiyo tunarudi pale pale hiyo roho ilikuja yenyewe.
sisi tunamiini kupitia maandiko kwamba Mungu ni roho inayoishi tangu milele,haithiriki na muda sababu iko nje ya space(sijui kama physics ulipitia hii) sasa swali lako kwamba aliubwa na nani sababu ana uhai inabidi uelewe kwanza hiyo concept hapo juu.

kisha yeye akatupa uhai sisi wenye miili physically ambao tuko ndani ya space tuko limited with time ktk miili yetu.
Kama unataka kukimbilia kwenye Mungu kuwa Mwanzo na mwisho hizo sifa mnazoupa huo Mwanzo kwamba unajua kila kitu, unaona kila sehemu (maana ake ata tukiwa chooni au bafuni ambayo sio adabu nzuri kwakweli) unatenda miujiza,
ni kama sasa unamuonea wivu mkuu,mimi hata sioni hoja yako inajengwa ktk jambo gani??sisi tumempa sifa,wewe hutaki unasema hayupoooooo😅😅😅.
mara sifa hizo hana🤣🤣,embu tulia ujenge hoja vizuri.
unatakiwa kuabudiwa kila jumapili mlizitoa wapi?
hii mada ni kubwa kiasi,lakini kwa vile unasema umesoma bible hili halikuwa swali la kuuliza kabisa.unajua ni kwanini kuna siku maalumu ya kuabudu kwa wakristo sababu ni agizo lake yeye mwenyewe.
Kwa kuwa hatujui mwanzo ulikuwaje kuupa jina Mungu sio shida, shida ni hizo sifa mnazojaza huo mwanzo sijui unajua kila kitu, una nguvu kuliko vyote mkiulizwa mnazijuaje rejea yenu ya hizi sifa eti ni biblia.
biblia ndio rejea pekee ya Mungu muumba,since umesema huiamini basi yaliyomo yasikuumize kichwa,badala yake weka kiuno chini utuandikie hapa.
hoja kwamba anaweza na kujua kila kitu inatokana na sisi kuona kazi alizozifanya,kama unajua ama kuna mtu kitu/kitu,nguvu ama roho inajua kila kitu kumzidi unaweza ukamtaja tu wala hamna shida.
Rejea ya biblia hii hii ambayo inasema Mungu aliumba kila kitu na anajua kila kitu na ana nguvu kuliko chochote.
hakika wala hakuna shaka ktk hili.
Ila wakati anamuumba ibilisi (malaika wake) alikuwa haoni uovu atakaoleta na kama aliuona kwanini hakuzuia maana biblia inasema hapendi uovu,
Mungu muweza wa kila kitu sio gaidi,kwamba anafanya utekaji nyara na kulazimisha ufanye atakayo,yeye ameumba vyote viumbe vyake akavipa uhuru wa kuchagua.

ndio sababu wewe hapa unajiskia raha na furaha kumkashifu wala hakufanyi chochote.
nguvu pia za kuzuia alikuwa nazo kwanini hakuzuia ibilisi kuleta uovu. BIBLIA imetudanganya kuhusu uwezo wa huyo mungu kwanini nasema hivyo
kumzuia kuleta uovu,shetani angedai uhuru kuchagua anachotaka.kama alivyofanya.
Mungu anataka na alitaka kumzuia ibilisi na uovu wake = NDIO ( Sasa kwanini hajamzuia au kwanini hakuacha kumuumba au kumzuia mapema kabisa)
haya sasa ni maoni yako sababu,unadhani Mungu ni kama rais samia dr silaa.
Nguvu za kumzuia ibilisi anazo na alikuwa nazo toka mwanzo =NDIO (kwanini alimuacha akaharibu mambo sasa si angemtuliza kwa nguvu zake)
angemtuliza kwa nguvu zake huo ungekuwa ni utekaji nyara.kama ambavyo ungekuwa una uwezo wa kuumba nyani halafu unamfungia bandani,inabidi akakimbie msituni huko.
Anajua na alijua kabla ya kumuumba ibilisi kuwa ataasi na kuwa muovu =NDIO (kwanini alimuacha akaufanye uovu kama kweli lengo lake halikuwa uovu utendeke)
uovu na wema vyote vimeumbwa na Mungu na vikawekwa ulimwenguni,ili achague walio wake.
Jibu rahisi tu Mungu Hana sifa hizo kama biblia inavyotudanganya kama ana upendo mkubwa kuliko kiumbe chochote na hapendi uovu kwanini aliruhusu uovu uje na ulete mateso? Biblia inajichanganya yenyewe hivyo haiwezi kuwa chanzo cha taarifa cha kutegemewa.
hana sifa hizi,hayupo kabisa,bible ni uongo,

haya yote hujabainisha kama ni madai yako ya msingi ktk article hii.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
sisi tunamiini kupitia maandiko kwamba Mungu ni roho inayoishi tangu milele,haithiriki na muda sababu iko nje ya space(sijui kama physics ulipitia hii) sasa swali lako kwamba aliubwa na nani sababu ana uhai inabidi uelewe kwanza hiyo concept hapo juu.

kisha yeye akatupa uhai sisi wenye miili physically ambao tuko ndani ya space tuko limited with time ktk miili yetu.

ni kama sasa unamuonea wivu mkuu,mimi hata sioni hoja yako inajengwa ktk jambo gani??sisi tumempa sifa,wewe hutaki unasema hayupoooooo[emoji28][emoji28][emoji28].
mara sifa hizo hana[emoji1787][emoji1787],embu tulia ujenge hoja vizuri.

hii mada ni kubwa kiasi,lakini kwa vile unasema umesoma bible hili halikuwa swali la kuuliza kabisa.unajua ni kwanini kuna siku maalumu ya kuabudu kwa wakristo sababu ni agizo lake yeye mwenyewe.

biblia ndio rejea pekee ya Mungu muumba,since umesema huiamini basi yaliyomo yasikuumize kichwa,badala yake weka kiuno chini utuandikie hapa.
hoja kwamba anaweza na kujua kila kitu inatokana na sisi kuona kazi alizozifanya,kama unajua ama kuna mtu kitu/kitu,nguvu ama roho inajua kila kitu kumzidi unaweza ukamtaja tu wala hamna shida.

hakika wala hakuna shaka ktk hili.

Mungu muweza wa kila kitu sio gaidi,kwamba anafanya utekaji nyara na kulazimisha ufanye atakayo,yeye ameumba vyote viumbe vyake akavipa uhuru wa kuchagua.

ndio sababu wewe hapa unajiskia raha na furaha kumkashifu wala hakufanyi chochote.

kumzuia kuleta uovu,shetani angedai uhuru kuchagua anachotaka.kama alivyofanya.

haya sasa ni maoni yako sababu,unadhani Mungu ni kama rais samia dr silaa.

angemtuliza kwa nguvu zake huo ungekuwa ni utekaji nyara.kama ambavyo ungekuwa una uwezo wa kuumba nyani halafu unamfungia bandani,inabidi akakimbie msituni huko.

uovu na wema vyote vimeumbwa na Mungu na vikawekwa ulimwenguni,ili achague walio wake.

hana sifa hizi,hayupo kabisa,bible ni uongo,

haya yote hujabainisha kama ni madai yako ya msingi ktk article hii.
[emoji23] Eti namuonea wivu shida yangu ndogo hizo sifa mlijuaje anazo maana kama mmetumia biblia mmedanganywa poleni.

[emoji23][emoji23] Kwa hiyo mungu pamoja na kwamba alijua shetani ataganya nini hakutaka kumteka nyara akaona amuache tu alete shida zote (ila baadae alimtuma yesu ashuke kuzimu kumpokonya funguo za mamlaka huu sio uvamizi)

[emoji23][emoji23][emoji23] Aliumba wema na uovu Ili achague wake kivipi tena si anajua kila kitu maana yake tayari alikuwa anawajua walio wake na wasio wake toka anawaumba. Sasa anachagua nini tena

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
sisi tunamiini kupitia maandiko kwamba Mungu ni roho inayoishi tangu milele,haithiriki na muda sababu iko nje ya space(sijui kama physics ulipitia hii) sasa swali lako kwamba aliubwa na nani sababu ana uhai inabidi uelewe kwanza hiyo concept hapo juu.

kisha yeye akatupa uhai sisi wenye miili physically ambao tuko ndani ya space tuko limited with time ktk miili yetu.

ni kama sasa unamuonea wivu mkuu,mimi hata sioni hoja yako inajengwa ktk jambo gani??sisi tumempa sifa,wewe hutaki unasema hayupoooooo[emoji28][emoji28][emoji28].
mara sifa hizo hana[emoji1787][emoji1787],embu tulia ujenge hoja vizuri.

hii mada ni kubwa kiasi,lakini kwa vile unasema umesoma bible hili halikuwa swali la kuuliza kabisa.unajua ni kwanini kuna siku maalumu ya kuabudu kwa wakristo sababu ni agizo lake yeye mwenyewe.

biblia ndio rejea pekee ya Mungu muumba,since umesema huiamini basi yaliyomo yasikuumize kichwa,badala yake weka kiuno chini utuandikie hapa.
hoja kwamba anaweza na kujua kila kitu inatokana na sisi kuona kazi alizozifanya,kama unajua ama kuna mtu kitu/kitu,nguvu ama roho inajua kila kitu kumzidi unaweza ukamtaja tu wala hamna shida.

hakika wala hakuna shaka ktk hili.

Mungu muweza wa kila kitu sio gaidi,kwamba anafanya utekaji nyara na kulazimisha ufanye atakayo,yeye ameumba vyote viumbe vyake akavipa uhuru wa kuchagua.

ndio sababu wewe hapa unajiskia raha na furaha kumkashifu wala hakufanyi chochote.

kumzuia kuleta uovu,shetani angedai uhuru kuchagua anachotaka.kama alivyofanya.

haya sasa ni maoni yako sababu,unadhani Mungu ni kama rais samia dr silaa.

angemtuliza kwa nguvu zake huo ungekuwa ni utekaji nyara.kama ambavyo ungekuwa una uwezo wa kuumba nyani halafu unamfungia bandani,inabidi akakimbie msituni huko.

uovu na wema vyote vimeumbwa na Mungu na vikawekwa ulimwenguni,ili achague walio wake.

hana sifa hizi,hayupo kabisa,bible ni uongo,

haya yote hujabainisha kama ni madai yako ya msingi ktk article hii.
Lengo langu lilikuwa uone biblia inapojichanganya kusema mungu ana upendo wa Hali juu, hataki uovu lakini Bado anaruhusu uovu utokee. Tutaaminije kitabu kinachojichanganya hivi na hii sio Kwa biblia tu hata vitabu vingine vya sayansi ya asili au sayansi ya jamii Huwa vinapingwa Kwa kujichanganya au kuwa na makosa.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Lengo langu lilikuwa uone biblia inapojichanganya kusema mungu ana upendo wa Hali juu, hataki uovu lakini Bado anaruhusu uovu utokee. Tutaaminije kitabu kinachojichanganya hivi na hii sio Kwa biblia tu hata vitabu vingine vya sayansi ya asili au sayansi ya jamii Huwa vinapingwa Kwa kujichanganya au kuwa na makosa.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Sijaacha kuamini biblia kwa kuchagua tu nimeisoma vizuri nikajionea wazi haistahili kuaminiwa.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.

Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k.

Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba kujitibu ni ujinga tena nikihusisha na ushirikina lakini kwa sasa hapana siamini hivyo nimejua kuwa miti na mimea kwa ujumla ina siri nyingi na ni tiba sana.

Vipi wewe kwa upande wako Ulishawahi kubadili mawazo yako na kuacha kuamini kitu ambacho ulikiamini awali ? na Kwanini?
Kipindi nabalehe nilikua napenda sana kugegeda. Ikawa naiba hela home nipate hela ya gesti. Au nikikosa kabisa nagegedea hata vichochoroni, kwenye mijumba mibovu inayojengwa, etc. Nilijiambia kua waliooa wanafaidi sana, na siku nikioa nitagegeda daily labda awe period au kwe danger days.

Baada ya kuoa nilikuja kugundua nilikua wrong, K nalala nayo daily na yaweza pita hata week sijala mzigo na poa tu
 
Niliamini kwenye kua uyaone ila sasa nimekua na sijayaona mpaka sasa na bado nipo njia panda sijui niende wapi
Aliwahi kusema jamaa kuwa Ili uone kitu lazima uwe na uhusiano nacho, kiroho au kimwili,
So Kuna vitu vingine hujaviona kwa sababu havijapitia uelekeo wako.
Mshukuru Mungu, mshukuru sana Mungu
 
Lengo langu lilikuwa uone biblia inapojichanganya kusema mungu ana upendo wa Hali juu, hataki uovu lakini Bado anaruhusu uovu utokee.
ahaaa ili tuone kwamba ana upendo kweli kweli alitakiwa azuie uovu kutotokea kabisa.

tumezaliwa bila uovu sasa,upendo wa kweli tungeouonaje!!!ni kama mtoto anazaliwa kwenye familia ya kitajiri iliyozungukwa na miti tu hakuna tajiri mwingine wala masikini anayemjua,halafu umwambie mtoto ulihaso sana mpate maisha yale,hawezi kuelewa hata unaongea nini.
Tutaaminije kitabu kinachojichanganya hivi na hii sio Kwa biblia tu hata vitabu vingine vya sayansi ya asili au sayansi ya jamii Huwa vinapingwa Kwa kujichanganya au kuwa na makosa.
tatizo sio bible kujichanganya tatizo ni kichwa chako kuchanganyikiwa hata unashindwa kuelewa ukieleweshwa.

bible ni kitabu chepesi mno kukielewa,na nikushauri siku nyingine unapotaka kuchallenge uwepo wa Mungu,usitumie bible,yenyewe ilivyo inajisimamia.ni wewe ndiye utaonekana una matatizo.
wenzako huwa wanapambana nje ya uwepo wa bible,kwa sababu ukikataa uwepo wa Mungu kwa kutumia bible,inabidi ulete rejea yako inayosahihisha bible.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kama Mungu alitoa uamuzi wa kuweza kufanya mema au mabaya, Kwa nini aingilie uhuru wa watu kufanya ubaya kwa kuwa adhibu?

Kama Mungu alikuwa hataki tufanye mabaya, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasioweza kutenda mabaya?
Ulitaka binadamu tuwe programmed kama robots mkuu. 😁
 
Expert mwenyewe ndie Allah,
Hapa Allah yupo wapi? Au bado kalala? Pata picha angefanya mwarabu!! Tumia akili yako ya kuzaliwa!

Aditya-L1: India successfully launches its first mission to the Sun​

Aditya-L1 lifted off from the launch pad at Sriharikota on Saturday at 11:50 India time (06:20 GMT).

India's first space-based mission to study the solar system's biggest object is named after Surya - the Hindu god of Sun who is also known as Aditya.

And L1 stands for Lagrange point 1 - the exact place between Sun and Earth where the Indian spacecraft is heading.

Source : BBC: 02/09/2023.
 
Mimi binafsi nilikuwa naamini mungu yupo ila nikaja kugundua ni hadithi tu za alinacha za kutunga zisizo na ukweli wowote.

Biblia ni kitabu kilichotungwa na watu. Quran kama inavyoeleza yenyewe iliandikwa na watu ambao hawakufika hata darasa la pili, thinking yao ni kama ya watoto wa chekechea.

Mungu hayupo, ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu.
Screenshot_20230902-195709.jpg

Cc Maghayo
 
Hapa Allah yupo wapi? Au bado kalala? Pata picha angefanya mwarabu!! Tumia akili yako ya kuzaliwa!

Aditya-L1: India successfully launches its first mission to the Sun​

Aditya-L1 lifted off from the launch pad at Sriharikota on Saturday at 11:50 India time (06:20 GMT).

India's first space-based mission to study the solar system's biggest object is named after Surya - the Hindu god of Sun who is also known as Aditya.

And L1 stands for Lagrange point 1 - the exact place between Sun and Earth where the Indian spacecraft is heading.

Source : BBC: 02/09/2023.
Allah Yupo kwenye ufalme wake... Kwenye Arshi.
Sijajua hayo maelezo uliyoweka yanahusiana vipi na mada inayojadiliwa.
Tumia akili unapojibu hoja.
 
Ulianza vizuri na mfano ila umekuja kuhitimisha vibaya.

Mtu aliyetengeneza simu anathibitishika, na viwanda vipo vinathibitishika.

Elimu ya utengenezaji simu ipo na inafundishwa.

Kwa maana hiyo ukisikia kauli kuwa simu imetengenezwa basi moja kwa moja hiyo ni fact based on proof.

Sasa unaposema mtu aliumbwa, rejea yako inakuwa nini?

Kuna kiwanda chochote ambacho kinafanya uumbaji wa watu ili tutumie hiyo kama reference?

Je kuna uumbaji wowote ambao umewahi kushuhudiwa au kurekodiwa ambao uko supoorted na uthibitisho ili kweli tukubali uumbaji upo na hivyo watu wameumbwa?
Nili ku alert toka Mwanzo mimi nimetoa hoja zangu juu ya uwepo wa Mungu sasa wewe hoja zako ni zipi mpaka useme hakuna Mungu?
Toa hoja zako na wewe alafu tuanze kujadili kwa kuangalia hoja za pande zote mbili.
Ningekujibu hilo swali lako lakini naona nikikujibu ni kuendelea kutoka nje ya hoja.
Mimi nataka kufahamu hoja zako kwanini unasema hakuna Mungu??
 
Nami nimezi challenge hizo hoja zako na zimeonesha kuwa hakuna Mungu
 
Je nikikwambia hao nyani wenye mikia walikuwepo tu wapo tu na wataendelea kuwepo hamna walipotokea utakataa?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Tufanye ndio wapo tu walikuwepo tu na wataendelea kuwepo Swali langu ni mbona hawakubadilika wote kuwa binadamu ? Mbona hawaendeli kubadilika kuwa binadamu? Mbona binadamu hawabadiliki kuwa another species?
 
Back
Top Bottom