Bible nimeisoma na nimejua mungu ni roho yenye uhai [emoji23]. Kwa hiyo tunarudi pale pale hiyo roho ilikuja yenyewe.
sisi tunamiini kupitia maandiko kwamba Mungu ni roho inayoishi tangu milele,haithiriki na muda sababu iko nje ya space(sijui kama physics ulipitia hii) sasa swali lako kwamba aliubwa na nani sababu ana uhai inabidi uelewe kwanza hiyo concept hapo juu.
kisha yeye akatupa uhai sisi wenye miili physically ambao tuko ndani ya space tuko limited with time ktk miili yetu.
Kama unataka kukimbilia kwenye Mungu kuwa Mwanzo na mwisho hizo sifa mnazoupa huo Mwanzo kwamba unajua kila kitu, unaona kila sehemu (maana ake ata tukiwa chooni au bafuni ambayo sio adabu nzuri kwakweli) unatenda miujiza,
ni kama sasa unamuonea wivu mkuu,mimi hata sioni hoja yako inajengwa ktk jambo gani??sisi tumempa sifa,wewe hutaki unasema hayupoooooo😅😅😅.
mara sifa hizo hana🤣🤣,embu tulia ujenge hoja vizuri.
unatakiwa kuabudiwa kila jumapili mlizitoa wapi?
hii mada ni kubwa kiasi,lakini kwa vile unasema umesoma bible hili halikuwa swali la kuuliza kabisa.unajua ni kwanini kuna siku maalumu ya kuabudu kwa wakristo sababu ni agizo lake yeye mwenyewe.
Kwa kuwa hatujui mwanzo ulikuwaje kuupa jina Mungu sio shida, shida ni hizo sifa mnazojaza huo mwanzo sijui unajua kila kitu, una nguvu kuliko vyote mkiulizwa mnazijuaje rejea yenu ya hizi sifa eti ni biblia.
biblia ndio rejea pekee ya Mungu muumba,since umesema huiamini basi yaliyomo yasikuumize kichwa,badala yake weka kiuno chini utuandikie hapa.
hoja kwamba anaweza na kujua kila kitu inatokana na sisi kuona kazi alizozifanya,kama unajua ama kuna mtu kitu/kitu,nguvu ama roho inajua kila kitu kumzidi unaweza ukamtaja tu wala hamna shida.
Rejea ya biblia hii hii ambayo inasema Mungu aliumba kila kitu na anajua kila kitu na ana nguvu kuliko chochote.
hakika wala hakuna shaka ktk hili.
Ila wakati anamuumba ibilisi (malaika wake) alikuwa haoni uovu atakaoleta na kama aliuona kwanini hakuzuia maana biblia inasema hapendi uovu,
Mungu muweza wa kila kitu sio gaidi,kwamba anafanya utekaji nyara na kulazimisha ufanye atakayo,yeye ameumba vyote viumbe vyake akavipa uhuru wa kuchagua.
ndio sababu wewe hapa unajiskia raha na furaha kumkashifu wala hakufanyi chochote.
nguvu pia za kuzuia alikuwa nazo kwanini hakuzuia ibilisi kuleta uovu. BIBLIA imetudanganya kuhusu uwezo wa huyo mungu kwanini nasema hivyo
kumzuia kuleta uovu,shetani angedai uhuru kuchagua anachotaka.kama alivyofanya.
Mungu anataka na alitaka kumzuia ibilisi na uovu wake = NDIO ( Sasa kwanini hajamzuia au kwanini hakuacha kumuumba au kumzuia mapema kabisa)
haya sasa ni maoni yako sababu,unadhani Mungu ni kama rais samia dr silaa.
Nguvu za kumzuia ibilisi anazo na alikuwa nazo toka mwanzo =NDIO (kwanini alimuacha akaharibu mambo sasa si angemtuliza kwa nguvu zake)
angemtuliza kwa nguvu zake huo ungekuwa ni utekaji nyara.kama ambavyo ungekuwa una uwezo wa kuumba nyani halafu unamfungia bandani,inabidi akakimbie msituni huko.
Anajua na alijua kabla ya kumuumba ibilisi kuwa ataasi na kuwa muovu =NDIO (kwanini alimuacha akaufanye uovu kama kweli lengo lake halikuwa uovu utendeke)
uovu na wema vyote vimeumbwa na Mungu na vikawekwa ulimwenguni,ili achague walio wake.
Jibu rahisi tu Mungu Hana sifa hizo kama biblia inavyotudanganya kama ana upendo mkubwa kuliko kiumbe chochote na hapendi uovu kwanini aliruhusu uovu uje na ulete mateso? Biblia inajichanganya yenyewe hivyo haiwezi kuwa chanzo cha taarifa cha kutegemewa.
hana sifa hizi,hayupo kabisa,bible ni uongo,
haya yote hujabainisha kama ni madai yako ya msingi ktk article hii.
Sent from my M10_Max using
JamiiForums mobile app