Ushauri mbaya utalipishwa hela nyingi sana na vitu wala havikuwapo uharibifu nk.Kodisha gari(fuso)nenda nalo ofisini kwake;ukifika beba kila utakachokikuta hapo from vifaa vya ufundi mpk bidhaa za wateja wengjne kama madirisha,milango,masofa then peleka kwako,wateja wakianza kumsumbua khs bidhaa zao jamaa lazima akuibukie kwako.
Then hakuna kumpa bidhaa yoyote ya mteja mpk akamilishe hivyo vitu vyako tena anatengenezea hapo hapo kwako,kuwa mbabe kwny hili ni muhimu boss.
Tenga wiki 1 ya kusimamia zoezi hili then leta feedback hapa mkuu,it works.
Tena!!Kuna wengine anakutapeli anakuwahi kwa mganga
Kuna jamaa hapa mtaani kwetu alikuwa japan anapiga kazi akawa anamtumia kaka yake magari auze alafu pesa afungulie biashara kaka mtu akawa anatuma mapicha ya miradi mikubwa tu bc kule japan dogo alizaa na raia wa huko kukatokea ugomvi na huyo mzazi mwenzie dogo akapiga hesabu za akaona bongo anamiradi mikubwa tu bora arudi hom siku anafika bongo anakuta hakuna hata mia wakagombana na kaka yake sana kaka mtu akaona isiwe kesi akamloga mdogo ake mpk leo jamaa kawa chizi kbc aisee

Kuna jamaa mmoja wa iringa nilimtumia hela anunue Mzigo wa watu atume sehem, (2,300,000) akawa ananikwepa nnikipiga simu hapokei mara anidanganye, anachukulia advantage yangu kuwa nje ya Tanzania ananiletea ujinga nishaweka mitego yangu atasoma namba , subir
Namjua huyo jamaa nipe hiyo kazi
Mimi mwaka 2014/15
Nililima mpunga Morogoro nikamkabizi mtu 50M..watoto wa mjomba ...wakajengea nyumba....wakaolea...then wakaaza kuniloga ili nice
Mpaka Leo nimeyumba kiuchumi
Najuta sana ndugu sio watu kbsa
Duuuuuh mbona hatari saaanaaahaya mambo basi tu jamaa alikuwa na mke na watoto nikamuonea huruma kwenye dili la m5 (ambalo mimi ndo injinia wake) anipe m1.5 hadi leo ajanipa ananizungusha
nacho furahi msimu mpya (tunafanya kazi kwa msimu) ananitegemea nifanye mazuri ntamliza mpaka ajute yaan kwenye m5 na nafahamu kashaipokea ila ananikwepa anashindwa nipa m1
ba mdg kampiga mzee wangu zaidi ya m100 za kustaafu. hii dunia hatari tupu
safi sana mkuu, ulimfanyia busara na atakua anakukumbuka aisee
Kuna jamaa kataoeliwa milioni 800 na rafiki yake tajiri mwenzake coz walikua wakiazimana hela mara kwa mara, mpaka nimeondoka Tz alikua hachanganyi kauza Hammer lake na baadhi ya gari zake na mijengo yake muhim ili kujifariji, aliemtaoeli kaingia mitini hajulikani alipopotea
Ptuu mbaka...pesa jamaniKuna jamaa hapa mtaani kwetu alikuwa japan anapiga kazi akawa anamtumia kaka yake magari auze alafu pesa afungulie biashara kaka mtu akawa anatuma mapicha ya miradi mikubwa tu bc kule japan dogo alizaa na raia wa huko kukatokea ugomvi na huyo mzazi mwenzie dogo akapiga hesabu za akaona bongo anamiradi mikubwa tu bora arudi hom siku anafika bongo anakuta hakuna hata mia wakagombana na kaka yake sana kaka mtu akaona isiwe kesi akamloga mdogo ake mpk leo jamaa kawa chizi kbc aisee

Na kila siku anamuona ndugu yake anateseka mtaaniNa huyo kaka mtu ameendelea?
Kumbe alipaswa kukununulia viwiliKuna ndugu yangu nilimuagiza akaninunulie kiwanja nje ya mji huko, 2004. Akaniambia 1.5m. Nikamtumia akanunua kwa niaba yangu. Baadae sana nikagundua alinunua kwa 700,000 tu...ila wakati nagundua hivyo hilo eneo thamani ya viwanja ilikuwa 15m wala sikum-mind ila nilimshukuru.
Kwahio ukimpiga ndugu au rafiki yako ongeza cha juu ila kitu kiwepo. Ukila na kipofu usimguse mkono.