Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?


Bombaaaaaa
 
Ina maana mpaka uzi ulipofikia hakuna aliyewahi kupigwa hii bomba aje atoe ushuhuda.
 
But why this hate my dear whyyyyy [emoji24]
 
Kwao ni utamaduni na asiepigwa bomba wanamuona km ni mchafu,, ni aina flani ya kuflash mwili,, na kitendo cha kuimimina dawa tu kunduni ni papo hapo kinyesi kinamwagika kwahiyo kule kundu lilipoelekezwa hakai mtu vinginevyo utakula kinyesi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao nilishuhudia walikuwa watoto sasa sipati picha jivi la mtu mzima inakuwaje,, waliniambia kuwa wakwenda km mie walikuwa wanapigwa bomba wanakunya,, fresh maisha yanaenda hawaoni km ni ajabu kabisa
Tamaduni
 
Kama wanapona shida iko wapi? Mara ngapi watu mnajitia madole humu mkiwa na constipation mavi magumu kule nyuma?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mh madole ujitie wewe halafu utusakizie wote,, kula matunda na kunywa maji kwa wingi maana hiyo sio kawaida
 
Najiuliza kabla ya teknolojia ya Sindano hasa hiyo ya ng'ombe walikuw wanatumia nini kuingiza huo MCHANGANYIKO huko ktk Kunduh.
 
Mi sikuona πŸ’‰, ila kilikuwa kibomba cha plastic chembamba hivi kuzidi mdomo wa πŸ’‰,

Nachokumbuka yule dogo lile bomba lilipokuwa likitolewa tu hapo hapo na kinyesi kinatoka kwa kasi mara ya kwanza yaliruka mpaka miguuni kwa mama yake
Sisi tumetumia sana hizi syringe za hospital (Mls 5 to 10). Inawezakana dawa zinatofautina from eneo kwa eneo. Niliwahi wekewa hiyo kwa lengo la kutibu Amoeba. Niliharisha sana sana sana, hapo nina beseni ghetoni kwangu ndilo limekuwa choo.
 

Nakumbuka majirani zetu utotoni hapa Daslam walikuwa wanawafanyia watoto wao tena nje tuu, mpira kama ule wa kumwagilia umeingizwa kwenye kidumu cha lita 5 kilichokatwa ambako dawa inatiwa then the other side ya bomba inawekwa kunako, ile vuuu ikichomolewa hachukui round dogo anahara kama bata.
 
Wenyewe wanaitwa Mwino kama sio Mwano [emoji23]
Mwino kwa watoto ipo pale mtoto hapati hamu ya kunya na bomba lake ni mrija wa kalamu ya Bic. Hayo ya sindano ya ng'ombe mleta mada aulizwe mwenyewe. Inawezekana alitaka ufanisi wa kitandani wakamwambia hiyo kitu sasa sijui alikubali au alikataa
 
Mwino kwa watoto ipo pale mtoto hapati hamu ya kunya na bomba lake ni mrija wa kalamu ya Bic. Hayo ya sindano ya ng'ombe mleta mada aulizwe mwenyewe. Inawezekana alitaka ufanisi wa kitandani wakamwambia hiyo kitu sasa sijui alikubali au alikataa
Mmeanza kamba, kimrija cha kalamu!!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
[emoji3064][emoji3064]
Mwisho wa kunukuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…