Why not! Natumia ndio yani nife na dawa ipo,, aliwekewa mtoto wa miezi 6 kwa macho yangu akapona na hakudhurika kwamba alichanika,Je mfno ni ww unaumw tumbo au upungufu wa nguvu za Kike utakubal kumiminiw hiyo dawa?
Heri ya mwaka mpya nawatakieni mwaka wenye mafanikio makubwa katika shughuli zenu. Hakuna shida wakuu, hao wapo vizuri tu kwani hata hospitali jambo hilo hufanyika(enema) kwa mtu mwenye tatizo la constipation. Ila Kinachotofautisha hapo ni madhumuni/lengo na vifaa husika kutekeleza hilo.The same to you brother! Kama hii ni kweli basi kuna shida kubwa
Mhh... Ila kama umejiridhisha inatibu bas tuwaache ndugu zetu wapigwe paipu/mrija/Bomba la dawa.Why not! Natumia ndio yani nife na dawa ipo,, aliwekewa mtoto wa miezi 6 kwa macho yangu akapona na hakudhurika kwamba alichanika,
Mangapi tunayafanya hatari yasiyo na faida ije kuwa afya yangu!!!
Umeona nakufaa kwa majaribio ya hilo likijiko lako sio!!Mhh... Ila kama umejiridhisha inatibu bas tuwaache ndugu zetu wapigwe paipu/mrija/Bomba la dawa.
So far ninayo dawa kama hiyo yenyew unatumia KIJIKO kuingiza huko.. Inatibu tumbo (Maumivu ya period) je upo tyr?
Loh, kwa hiyo hata naniliu naye ?? 🙄Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.
Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
Naye yumo. Si yule full back right wa RTC Kigoma?Loh, kwa hiyo hata naniliu naye ?? 🙄
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maweeeeeeeeeee
Mchezo huu alikuwa nao Zitto kipindi tuko chuo.....kila ukiingia chumbani kwake ulikuwa unasikia harufu ya kinyesi tu mpaka siku moja tukaja kumbamba anajifanya na bomba la sindano, kumuulizia ndipo akatuambia haya uyasemayo, tukamshangaa.Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.
Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
Ndio maana ana wengeMchezo huu alikuwa nao Zitto kipindi tuko chuo.....kila ukiingia chumbani kwake ulikuwa unasikia harufu ya kinyesi tu mpaka siku moja tukaja kumbamba anajifanya na bomba la sindano, kumuulizia ndipo akatuambia haya uyasemayo, tukamshangaa.
Wew ni mtoto mdogo lako apo ulijui, kwa comments tu ni nimesha uona ubongo wako ulivyo uchi..funika tu sio kesiMh madole ujitie wewe halafu utusakizie wote,, kula matunda na kunywa maji kwa wingi maana hiyo sio kawaida
Wanawaza mbali Sana hawaitoshe tu kusema jamii yetu tayari ishamezwa na saikolojia ya ushoga, hiyo ni dawa mbona, na kwa taarifa yenu hiyo dawa makabila mengi wanafanya kwa watoto na hata watu wazima, hili lukifanyika bila hisia za ujinga wa ushoga mbona kawaida tu, ila ndio hivyo disco lishaingia mmasai
Kunywa maji uache kujitia madoleWew ni mtoto mdogo lako apo ulijui, kwa comments tu ni nimesha uona ubongo wako ulivyo uchi..funika tu sio kesi
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Labda ndio thawabu yao peponi itakuwa kubwa sanaSiku wataarisha utumbo hawa