Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Je mfno ni ww unaumw tumbo au upungufu wa nguvu za Kike utakubal kumiminiw hiyo dawa?
Why not! Natumia ndio yani nife na dawa ipo,, aliwekewa mtoto wa miezi 6 kwa macho yangu akapona na hakudhurika kwamba alichanika,

Mangapi tunayafanya hatari yasiyo na faida ije kuwa afya yangu!!!
 
The same to you brother! Kama hii ni kweli basi kuna shida kubwa
Heri ya mwaka mpya nawatakieni mwaka wenye mafanikio makubwa katika shughuli zenu. Hakuna shida wakuu, hao wapo vizuri tu kwani hata hospitali jambo hilo hufanyika(enema) kwa mtu mwenye tatizo la constipation. Ila Kinachotofautisha hapo ni madhumuni/lengo na vifaa husika kutekeleza hilo.
Huku kwetu Umasaini tunatumia kibuyu kile kidogo chenye shingo ndefu kufanyia kazi hiyo - tunaita Oljulata. - hii hufanyiwa watoto wadogo hadi hata watu wazima. Yan niseme hivi: Ukiwa mgonjwa utainama tu mzee, habari ya marinda itakuwa ni baadaye kwani ujeuri na kejeli mbele ya ugonjwa havina nafasi. Asanteni.
 
Why not! Natumia ndio yani nife na dawa ipo,, aliwekewa mtoto wa miezi 6 kwa macho yangu akapona na hakudhurika kwamba alichanika,

Mangapi tunayafanya hatari yasiyo na faida ije kuwa afya yangu!!!
Mhh... Ila kama umejiridhisha inatibu bas tuwaache ndugu zetu wapigwe paipu/mrija/Bomba la dawa.

So far ninayo dawa kama hiyo yenyew unatumia KIJIKO kuingiza huko.. Inatibu tumbo (Maumivu ya period) je upo tyr?
 
Umeona nakufaa kwa majaribio ya hilo likijiko lako sio!!

Umeanza dharau sasa ukizifufua za kwangu sidhani utaziweza
 
Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.

Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.

Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.

Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
Loh, kwa hiyo hata naniliu naye ?? 🙄
 
Mchezo huu alikuwa nao Zitto kipindi tuko chuo.....kila ukiingia chumbani kwake ulikuwa unasikia harufu ya kinyesi tu mpaka siku moja tukaja kumbamba anajifanya na bomba la sindano, kumuulizia ndipo akatuambia haya uyasemayo, tukamshangaa.
 
itoshe tu kusema jamii yetu tayari ishamezwa na saikolojia ya ushoga, hiyo ni dawa mbona, na kwa taarifa yenu hiyo dawa makabila mengi wanafanya kwa watoto na hata watu wazima, hili lukifanyika bila hisia za ujinga wa ushoga mbona kawaida tu, ila ndio hivyo disco lishaingia mmasai
 
Ndio maana ana wenge
 
Mh madole ujitie wewe halafu utusakizie wote,, kula matunda na kunywa maji kwa wingi maana hiyo sio kawaida
Wew ni mtoto mdogo lako apo ulijui, kwa comments tu ni nimesha uona ubongo wako ulivyo uchi..funika tu sio kesi

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
itoshe tu kusema jamii yetu tayari ishamezwa na saikolojia ya ushoga, hiyo ni dawa mbona, na kwa taarifa yenu hiyo dawa makabila mengi wanafanya kwa watoto na hata watu wazima, hili lukifanyika bila hisia za ujinga wa ushoga mbona kawaida tu, ila ndio hivyo disco lishaingia mmasai
Wanawaza mbali Sana hawa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kitu hii hapa, ikitoka hapa inaenda kupigwa bomba
Screenshot_20230104-223602_YouTube.jpg
 
Hilo la bomba kupigwa hata mkoa wa Rukwa lipo sana ila lengo ni kulainisha choo
 
Back
Top Bottom