Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Why not! Natumia ndio yani nife na dawa ipo,, aliwekewa mtoto wa miezi 6 kwa macho yangu akapona na hakudhurika kwamba alichanika,Je mfno ni ww unaumw tumbo au upungufu wa nguvu za Kike utakubal kumiminiw hiyo dawa?
Mangapi tunayafanya hatari yasiyo na faida ije kuwa afya yangu!!!