Hao nilishuhudia walikuwa watoto sasa sipati picha jivi la mtu mzima inakuwaje,, waliniambia kuwa wakwenda km mie walikuwa wanapigwa bomba wanakunya,, fresh maisha yanaenda hawaoni km ni ajabu kabisaππππ,nawaza kwa nyumba zetu za mjini itabidi uondoe watu wote nyumbani. Wasipatwe na majitaka
Au tufungue hii Clinic hapa mjini nakusanya maoni ya wadau wanahitaji hii huduma ππHao nilishuhudia walikuwa watoto sasa sipati picha jivi la mtu mzima inakuwaje,, waliniambia kuwa wakwenda km mie walikuwa wanapigwa bomba wanakunya,, fresh maisha yanaenda hawaoni km ni ajabu kabisa
Alikuwa na umri gani?Hiyo ndo njia ya haraka wao wanaipenda kinoma, dogo alipoingiziwa bomba kamboo kakasimama ikamiminwa ile bomba inachomolewa tu mavi hayo kama yote,, na kalipata nafuu ila sasa mh,,,,, hapana ilinishinda
Kwa walivyokuwa wananisimulia hiyo kitu inasaidia kuweka mwili vizuri, inaongeza nguvu, na ni tiba kwa magonjwa ya vichomi, kutopata choo, au choo kigumu, na wanasema baada ya hapo mwili unausikia vizuri zaidi ya kuoga yani,,,, ila tatizo bomba tu na lazima ubon'goeπππhapana ilinishindaAu tufungue hii Clinic hapa mjini nakusanya maoni ya wadau wanahitaji hii huduma ππ
Mmoja miezi sita mwingine miaka km miwili kasoro, wote wa kiumeAlikuwa na umri gani?
Mkuu tukifungua hii Clinic hapa mjini wateja tutapata?I'm so sorry kwa hilo.
Ngoja nifute comment hizo japo itapelekea kupigwa ban!
una utoto mwingi hujiamini kwanini, maandiko yako kama mi hayanivutii kuna yanaowavutia kufuta ndo unadhihirisha kuwa hujiamini na hujapevuka kichwani mwako,, unaweza kuwa na akili ila kuchanganua mambo ukawa zeroI'm so sorry kwa hilo.
Ngoja nifute comment hizo japo itapelekea kupigwa ban!
Kaburini kwenyewe nasikia kuna malaika, wanachapa haoooooHuko kote ni kutaka kumfurahisha mwanamke,,,wanaume tutapumzika tukiwa kaburini tu
Naye wa Kigoma?Chizi Maarifa kuja huku
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri, hata Mshana Jr atakuwa ameelewa sasaKwao ni utamaduni na asiepigwa bomba wanamuona km ni mchafu,, ni aina flani ya kuflash mwili,, na kitendo cha kuimimina dawa tu kunduni ni papo hapo kinyesi kinamwagika kwahiyo kule kundu lilipoelekezwa hakai mtu vinginevyo utakula kinyesi
HahahaKaburini kwenyewe nasikia kuna malaika, wanachapa haooooo
Ni mila yao au wanaingizwa chaka?Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.
Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
Hio wanayo wamatengo wangoni wa mbinga wao wanachemsha mwarobaini kisha wanapiga Bomba kwenye ndogo kama dawa ya minyoo Kwa watoto, sina hakika kama hata wakubwa wanafanyaKigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.
Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
Kweli tembea uyaoneHio wanayo wamatengo wangoni wa mbinga wao wanachemsha mwarobaini kisha wanapiga Bomba kwenye ndogo kama dawa ya minyoo Kwa watoto, sina hakika kama hata wakubwa wanafanya
Mila miracleNi mila yao au wanaingizwa chaka?