Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Kwao ni utamaduni na asiepigwa bomba wanamuona km ni mchafu,, ni aina flani ya kuflash mwili,, na kitendo cha kuimimina dawa tu kunduni ni papo hapo kinyesi kinamwagika kwahiyo kule kundu lilipoelekezwa hakai mtu vinginevyo utakula kinyesi
Kule kundu linapo elekea ndipo elekea ndipo kinyesi huelekea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Najaribu kuwaza ubonge wa mwijaku.
 
Mg[emoji3064] wanatumia kilainishi ama kavkav?
 
Hao wanapenda na wameshanigewa na utamaduni wa kupigwa mabomba.
Kisa cha kupigwa mabomba nini wakati wanasai wana dawa inafanya kazi zaidi ya hiyo ya kupigwa bomba.
Dawa ya Wamasai inakuvurugua tumbo hasa, utaharisha siku nzima, yaani wewe chooni utapaona ndiyo the best place on earth.
 
Kwao ni utamaduni na asiepigwa bomba wanamuona km ni mchafu,, ni aina flani ya kuflash mwili,, na kitendo cha kuimimina dawa tu kunduni ni papo hapo kinyesi kinamwagika kwahiyo kule kundu lilipoelekezwa hakai mtu vinginevyo utakula kinyesi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani me nipanue mwengine aje apembue makatamavi then akuweke bomba huoni una hatarish afya yako ya akili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuuu!!!!
 
Hii nimesikia ni kweli ila ni kwa ajili ya kulainisha kinyesi hiyo ya nguvu za kiume ndio nasikia kwako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…