Je, unajua kuwa Roho huwa ina kawaida ya kutoka tulalapo?

Kama ingekuwa hivyo basi tungekuta miili ya masela kibao imelala hovyo
Kama unachosema ni kweli sio kwamba pangekuwa na matukio mengi ya watu kufa na kufufuka? Au roho ikiiacha mwili usingizini mwili haufi? Au kuna muda ikakaa nje ndo unakufa? Wanyama nao wanalala wanaota, vipi na wao roho zao? Au hawana?
 
HV Mashallah nimependa Sana hii
 
Kama unachosema ni kweli sio kwamba pangekuwa na matukio mengi ya watu kufa na kufufuka? Au roho ikiiacha mwili usingizini mwili haufi? Au kuna muda ikakaa nje ndo unakufa? Wanyama nao wanalala wanaota, vipi na wao roho zao? Au hawana?
Kwanza kwakuwa roho inatoka Kwa mda mchache naona hatufi,kwasababu kufa hakuji Kwa bahati mbaya Ila visa ya kuisha duniani inakuwa imekwisha.

Kwa mfano unaweza jiuliza je wakati roho inatoka je tunaacha Kuota ndoto au tunaota?

Binafsi naona tunaota kama kawaida,Ila haya ni maono yangu Tu.

Viumbe vyote ambavyo vipo hai vina roho akiwemo sisimizi
 
Ujue ni mdogo.ndo miezi minne na hajaanza kula chochote
Kuna kisichana kilisoma mpaka mimba ikafika miezi 9 siku hiyo katoka darasani jioni kaenda leba kashusha engine, kakaa mwezi mmoja karudi darasani, yaani huyo wa kwetu tunaweza kusema ni level za wapigania uhuru kabisa usimchukulie poa miezi minne ni mingi sana.
 
Ma shaa allah, nitajitahidi sana wiki ya.kwanz mwezi wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…