Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kuna report wanausalama wa Iran wamevamia ubalozi wa India unafikiri kwann?Kwamba Israel ndiye kaweka ukungu eneo la tukio.Wabongo mnakuwa wepesi sana kuja na assumptions ambazo hazipo na kutoa hitimisho ambalo halina mtiririko mzuri kwenye reasoning
Eneo la tukio linaonyesha kabisa ni question of weather(Ukungu umetanda sehemu kubwa) and now unakimbilia kusema Israel.Kuwa na subira kidogo ukweli utajulikana
kwaiyo iran hawanyongwi watu 300 kwa mwaka??Swali. hio historia ulisoma imeandikwa na mkiristo gani?
Kila kitu kinawezekana but too early to tell.R.I.P to everyoneKila kitu kinawezekana tu mkuu. Vipi kama Mossad waliingilia mawasiliano ya hilo chopa kisha wakalielekeza kwenye ukungu. Vita ni plan mzee
Sijaisoma bado ndio kwanza na amka unaweza kunifahamisha kiongoziKuna report wanausalama wa Iran wamevamia ubalozi wa India unafikiri kwann?
Kuna baadhi ya matukio ya vifo vya viongozi yanatokea natural, mpaka pale uchunguzi utakapofanyika na kubaini sababu ya kifo. Huku kusema mara Mossad mara CIA, ni mazoea tuliojiwekea kutokana na matukio mbali mbali yaliyowahi kufanywa na mashirika mbalimbali ya kijasusi. Tusubiri majibu ya uchunguzi yatasemaje then tuchambue.Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi.
Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je, kama Israel imefanikiwa kutekeleza hujuma hii vita itaendelea?
Ipi kesho ya Iran kwenye mapambano haya ya uchumi, dini na siasa?
Ww unaita mkweche, american navy bado wanazo mpaka leo. Wanazifanyia upgradeHelicopter yenyewe imetengenezwa na USA mwaka 1968 Hadi Leo inafanya kazi hapa unategemea nini hapo?
Iran wanatumia mikweche kutokana na trade sanction View attachment 2994679
Mnatiaga kinyaa nyie walokole kwa hiyo we ni kilaza ila Israel inaakili kubwa ...Uwezekano ni mkubwa.
Kupoteza njia, au hata kuyumba huko angani na kupoteza mwelekeo.
Israel wana akili kubwa
Kwahiyo kanjibai ndo katengeneza ukungu au siyoKuna report wanausalama wa Iran wamevamia ubalozi wa India unafikiri kwann?
Sasa ilikuwaje Hitler akawaua wayahudi Million 6?MKIAMBIWA MUNGU WA ISRAEL NI MUNGU WA KWELI NA MUWEZA WA YOTE MNAKUWA WABISHI SASA KAAMUA MWENYEWE KUFANYA HALI YA HEWA IWE MBAYA HUYO RAIS AFE KWA KULIPIZA KISASI KWASABABU ALIAMURU MAKOMBORA NA DRONES KUINGIA ANGA TAKATIFU NA TEULE LA ISRAEL.
Covax
Swali zuri sana ..kwann helicopter ya Raisi ndio ipatwe na ukungu ?HELIKOPTA zilikuwa 3 siyo? Kwa hiyo moja tu ilombeba rais ndiyo ilopata shida ya ukungu?
Mbaya zaidi yaonesha hawakuwa na mawasiliano maana bodi guard alikuwa 1 tu, maana yake heli nyingine zilibeba bodigadi wengine ambao hawakujali kitu bali kusonga mbeleNi kweli ni ajali ya kawaida tu, helcopter tatu zinafuatana ila "moja tu" tena "iliyombeba rais" ndio inaangushwa na ukungu huku nyingine zikichanja mbuga freeesh, na mpaka mda huu bado haijaonekana. Ni AJALI YA KAWAIDA TU.
Pale Syria Wairan wapo kwa ajili ya kuidhoofisha Israel.. ndio maana Idf inawatandika kila maraSasa ilikuwaje Hitler akawaua wayahudi Million 6?
Kingine hakutuma drones kuvamia ila alikua analipa kisasi kwa wayahudi kulipua balozi za Iran?
Kwahiyo Mungu anafurahia Israel kwenda kuua watu Syria ila Iran wakilipiza ndio anachukizwa? Kwa akili hizi no wonder Africa tupo nyuma
Kuna makundi mawili ya hawa waabudu Shetani ambaye amejivika gwanda la mungu aitwaye Allah. Kundi la kwanza ni wale waabudu ambao wananufaika na mafundisho ya Allah (kuoa idadi ya wake wawatakao kuoa vitoto vidogo kama alivyofanya mtume kuoa Aisha akiwa na 6yrs, kufaidika kisiasa na mali) kundi hili hata uwahubirie vipi hawatamuacha shetani wao. Kundi la pili ni wale waliodanganywa na viongozi wao lakini wanamtafuta Mungu wa kweli. Kundi hili wanaipokea kweli ya Biblia ila kwa sasa bado wanakwazo kutoka huko kwa sababu ya kuogopa Sharia inayoagiza kila aliyeacha uislam auawe na pili wanaogopa waislam wenzao kuwatenga ktk jamii.Tayari nimeshakuwin kisaikolojia
Anayetoa command ya mashambulizi ni kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah kwahiyo kama Israel ana uwezo huo wa kuuwa kiongozi wa juu wa Iran basi angemmaliza Ayatollah ambaye ndiye tishio la mataifa yote ya kishoga.Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi.
Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je, kama Israel imefanikiwa kutekeleza hujuma hii vita itaendelea?
Ipi kesho ya Iran kwenye mapambano haya ya uchumi, dini na siasa?
Mkuu hawa Wayahudi weusi wanaishi huku wamekatwa vichwa. Yaani mtu anashupaza shingo kumuita Israel taifa teule.Sasa ilikuwaje Hitler akawaua wayahudi Million 6?
Kingine hakutuma drones kuvamia ila alikua analipa kisasi kwa wayahudi kulipua balozi za Iran?
Kwahiyo Mungu anafurahia Israel kwenda kuua watu Syria ila Iran wakilipiza ndio anachukizwa? Kwa akili hizi no wonder Africa tupo nyuma
Helicopter zingine mbili kwenye msafara huo hazikuona ukungu sikipokuwa iliyombeba yeye?Kwamba Israel ndiye kaweka ukungu eneo la tukio.Wabongo mnakuwa wepesi sana kuja na assumptions ambazo hazipo na kutoa hitimisho ambalo halina mtiririko mzuri kwenye reasoning
Eneo la tukio linaonyesha kabisa ni question of weather(Ukungu umetanda sehemu kubwa) and now unakimbilia kusema Israel.Kuwa na subira kidogo ukweli utajulikana
Kabisa."They care nothing at all" kwamba hata wanaweza hata kukalia mshale ?! Basi NI MAKOMANDO WAPUMBAVU.
Kobaz effect.Kwamba Israel ndiye kaweka ukungu eneo la tukio.Wabongo mnakuwa wepesi sana kuja na assumptions ambazo hazipo na kutoa hitimisho ambalo halina mtiririko mzuri kwenye reasoning
Eneo la tukio linaonyesha kabisa ni question of weather(Ukungu umetanda sehemu kubwa) and now unakimbilia kusema Israel.Kuwa na subira kidogo ukweli utajulikana