Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Mkuu poor brain, mi sio mchawi...



...Ni Hayo Tu!!!
 
Wakuu naona suala la energy limekua very serious aiseeee
Ohooo, mimi sio kwa kuambiwa tena kosa kubwa kabisa nililolifanya nilikua na kazi ya kuchimba shimo , nilipoona nimechoka sana nikanunua hiyo gabachori energy aisee ndani ya dakika 5 mbele moyo ulikua unaenda mbio kama ile sindano ya cherehani ,pumzi inakata miguu inaisha nguvuπŸ€’πŸ€’πŸ€’

Imefikia hatua nikiona tu chupa ya energy nywele zinasimama
 
Natamani kufanya kazi za jioni-usiku baada ya mishemishe za asubuhi na mchana

kwenye malengo yangu ya mwaka huu ipo[emoji736]
 
Niliwahi kupiga sana kazi za usiku kipindi hicho tunaiba mafuta ya transformers (miaka hiyo yalikuwaga dili sana mjini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…