Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Au unapasua pasua watu wewe ππππππ
Mmhh,sidhani asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au unapasua pasua watu wewe ππππππ
Sema tuu mkuu..Mmhh,sidhani asee
Kazi gani hizo madamMbn kawaida sana binafsi nimeshazoea
Mkuu poor brain, mi sio mchawi...View attachment 3190336
Usiku una mambo mengi mno
Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu.
Kwangu mimi hizi kazi za usiku zimekua too much mpaka nasema hivi ni.lini takua na mpenzi ambaye anaelewa hizi harakati zangu.
Imagine unaweza tafutwa saa nane ya usiku ukaambiwa kinahitajiika kitu fulani. Wewe hapo utawasha PC na kuanza kufanya kazi.
Muda wote tuna kesha na maji vs energy.
Yaani kiufupi kulala inakua changamoto mno kazi zetu zinahitaji mda wote uwe active...
Bado ujapata assignment za watoto wa chuo hapo ndo utajuta ni mwendo wa kuchimba tuu daily...
Hakuna jmosi wala jpili... Kila siku ni kazi kazi.
Kwetu usingizi umekua adimu sana mpaka mwili umezoea sasa.
Je, ulishawahi kufanya kazi hizi za usiku mpaka ukawa upo bize na vitu vya ajabu ajabu kama mapenzi na umbamba mwingine?
View attachment 3190333
Wee ni mwanga au ππππMkuu poor brain, mi sio mchawi...
...Ni Hayo Tu!!!
Pamoja mdau. Shukrani sanaDaah mkuu sina utalamu sana wa graphic card..
Hata hvo kwa hayo maelzo ushanipiga Ko sijaelewa hata..But naposema kuwa uwe na graphics card kubwa namanisha unapoenda nunua unakuwa unapewa na specification zake...
Yes, zinafanana.Oooh,kumbe
Tupo pamoja mkuuPamoja mdau. Shukrani sana
Wasomi wa Tanzania wajao hao....Ndio mkuu ila upande wa editing na mengineyo..
Pia nipo maeneo ya chuo hvo napiga piga assignment kwa wanafunz ambao hawataki mambo meng
Yaaan mkuu acha tuu...Wasomi wa Tanzania wajao hao....
Mifumo ya Elimu tuliyoirithi ndiyo shida...Tunatakiwa kuwa na mifumo mipya kabisa...maana hali ni tete!Yaaan mkuu acha tuu...
Na ni wana siasa wetu w badae ujue ππππ
Ohooo, mimi sio kwa kuambiwa tena kosa kubwa kabisa nililolifanya nilikua na kazi ya kuchimba shimo , nilipoona nimechoka sana nikanunua hiyo gabachori energy aisee ndani ya dakika 5 mbele moyo ulikua unaenda mbio kama ile sindano ya cherehani ,pumzi inakata miguu inaisha nguvuπ€π€π€Wakuu naona suala la energy limekua very serious aiseeee
kuhudumia wagonjwaKazi gani hizo madam
We Acha tu hajambo tu nakula miteke hapa πAhahahaha mwanao ajambo kwanza
Tatizo anapiga wanaume,utamuweza?Namaanisha kunipa mdogo ako bana achana na chemistry mkuu
Noma sana.Bombiii bombiiii...
Nyombiiiii
Unjuuuu
Mkuuu hakuna kulala hapa
Niliwahi kupiga sana kazi za usiku kipindi hicho tunaiba mafuta ya transformers (miaka hiyo yalikuwaga dili sana mjini)View attachment 3190336
Usiku una mambo mengi mno
Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu.
Kwangu mimi hizi kazi za usiku zimekua too much mpaka nasema hivi ni.lini takua na mpenzi ambaye anaelewa hizi harakati zangu.
Imagine unaweza tafutwa saa nane ya usiku ukaambiwa kinahitajiika kitu fulani. Wewe hapo utawasha PC na kuanza kufanya kazi.
Muda wote tuna kesha na maji vs energy.
Yaani kiufupi kulala inakua changamoto mno kazi zetu zinahitaji mda wote uwe active...
Bado ujapata assignment za watoto wa chuo hapo ndo utajuta ni mwendo wa kuchimba tuu daily...
Hakuna jmosi wala jpili... Kila siku ni kazi kazi.
Kwetu usingizi umekua adimu sana mpaka mwili umezoea sasa.
Je, ulishawahi kufanya kazi hizi za usiku mpaka ukawa upo bize na vitu vya ajabu ajabu kama mapenzi na umbamba mwingine?
View attachment 3190333
Wapi kwa sasaNoma sana.