Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Hapana kama ni kulala utanikuta nalala labda kuanzia saa kumi hadi saa 3. ila kuna siku moja moja katika week ntajikuta napata usingizi mzito mchana nalala kuanzia asubuhi hadi saa 9 mchana.
Duuuh aiseeee hyo noma sana...
Mi hapa nawaza nilale au nikafungue ofisi...

Nikienda kufungua ofisi hapo mpaka saa tano usiku ndo naachia usukani tunarudi kukesha kule kule...

Mkuu an pesa jau sana hizi unaweza komaa kutafuta weee na ukaja kufa bure
 
Naanza kujitegema nikianza na kazi za usiku 3/7 ni katika kazi hizo nikageukia ulevi wa kupindukia ni huko nikapata slaughter case nikasota jela usiku wa manane nikipambana siku niwe huru tena .

Nimekuwa huru bado niko kwenye shift mpya ya 4/7 hivyo kukesha imeshakuwa sehemu ya maisha yangu ,napenda pia kazi za usiku akili na mwili nahisi kuwa sawa nakuwa serious na kazi ,situmii chochote zaidi ya pombe Kali ili niweze kufanya kazi kwa ufanisi lakini pia nitoboe asubuhi salama salmini
 
Mkuu ebu tupe details kidogo mpaka ukaenda jela an ilikuaje kuaje kwanza daaha natamani nijue hapo...

Ulikula mchongo nini au ndo fitina za mabosi ?
 
Sasa kwenye picha hakuna mambo mengi sana hapa ni wewe tuu je unatka uwe
Photography
Graphic designer

Ukisema photography basi hapo ni ujue vitu viwili yaani camera pamoja na software za ku edit picha..

Lakini kama ni graphic design hapo ni kujua software na kuwa creative tuu..

Creativity italetwa na wewe mwenyewe kam utakua upo real interest na haya mambo.

Kwa hatua za kwanza kabisa ni lazima ujue software za kufanyia haya mambo..
Kwa sasa zipo nyingi mno ila universal ni adobe Photoshop... Hii utafanya mambo mengi sana

Hii Photoshop ni kwa wewe beginner pia ila baada ya kuanza kuiva hapo ndo utafta zingine kama illustrator na nyingine nyingi.

Kadri utakavyokua mtaalamu utakua na shauki ya kutaka kujua vtu mbali mbali
Hivi tutorial za udemy si ziko poa mdau?
 
Nimehamia kwenye chuma yangu ya zamani chuma nondo battery masaa zaidi ya 16 ipo on no kuzima halafu balaa ni fast charging ๐Ÿ˜‘
Hapo ni mwendo wa hivioi tuuu ๐Ÿ“ˆ๐Ÿ“ˆ๐Ÿ“ˆ๐Ÿ“ˆ
Mkuu mi simu kwanza ni chaji hayomengine watajua wenyewe..

Nakuta mtu anamiliki i phone kali alafu sio mtu wa kazi zetu an yeye yupo yupo tuu na bdo inamsumbua kinoma mana kuna vtu hapati wakati wa android huku ni chap kwaaa
 
Hivi tutorial za udemy si ziko poa mdau?
Yaaah zipo good kiasi chake sema kwa ushauri kuna jamaa flan hv takupa jina lake maana ni hatareee huyu na nilijua hatare kuna sehemu flan hv nilienda ni media nikakuta wadau waliopo upande wa design wanakula na wao tutorial kutoka kwa huyo mwamba
 
Mkuu ebu tupe details kidogo mpaka ukaenda jela an ilikuaje kuaje kwanza daaha natamani nijue hapo...

Ulikula mchongo nini au ndo fitina za mabosi ?
Nop sio fitina Wala mchongo Ila niliuwa pasina kutegemea usiku wa manane kwa kumla shaba mtu .

Nikiwa katika mimbari ya mahakama ndiyo fitina za maboss zikaanza kuibuka kwa makosa ambayo hata siyajui Ila lengo kila mtu ajisafishe .
 
Mkuu kumbe ishu hapo ni caffeine..
Kahawa wanasema zinamaliza nguvu za kiume vipi hapo...

Hapo kwenye bites kidogo naweza fikilia
Kahawa mwenyewe nakunywa sana,kula vyakula vya protein km nyama,mayai,samaki,nijuavyo mimi kahawa inasaidia mpk digestion means inakufanya unakula sana,energy drink huli hivyo in long time inakuchosha nakua weak kwakua unategemea busta toka energy drinks.
Wengi wameifanya energy drink km chakula and mbaya zaidi hata maji hawanywi
 
Nop sio fitina Wala mchongo Ila niliuwa pasina kutegemea usiku wa manane kwa kumla shaba mtu .

Nikiwa katika mimbari ya mahakama ndiyo fitina za maboss zikaanza kuibuka kwa makosa ambayo hata siyajui Ila lengo kila mtu ajisafishe .
Mkuu hii issue ushawahi andika hapa jf...
Daah najikuta natamani sana kujua hii kitu ilikuaje maana kuna story huwa zinatembea mtaani kuwa walinzi wanakuwaga na bunduki bosheni yuu hazina kitu an
 
Yaaah zipo good kiasi chake sema kwa ushauri kuna jamaa flan hv takupa jina lake maana ni hatareee huyu na nilijua hatare kuna sehemu flan hv nilienda ni media nikakuta wadau waliopo upande wa design wanakula na wao tutorial kutoka kwa huyo mwamba
Ni anaziuza udemy, au ana channel youtube?
 
Kahawa mwenyewe nakunywa sana,kula vyakula vya protein km nyama,mayai,samaki,nijuavyo mimi kahawa inasaidia mpk digestion means inakufanya unakula sana,energy drink huli hivyo in long time inakuchosha nakua weak kwakua unategemea busta toka energy drinks.
Wengi wameifanya energy drink km chakula and mbaya zaidi hata maji hawanywi
Mkuu hapo nimekupata sana sana tuu...

Ngoja nitafute kahawa maana mara ya mwisho kunywa kahawa ni kupindi nipo advance kule..

Mzee wangu ni ktu wa kunywa kahawa sana an
 
Sema hapo kwenye kula umenzingua..
Kupenda kula tuuu kufanya kazi aaaaaaah ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Kama mimi hapa kuna kazi kazi ila wee nimesema taanza saa nane mpaka huku papoe now nakusanya raw material hapa nikianza nimenza kweli
Njaa ya kukesha usiku sio poa kabisa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom