Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #201
Huyu hatoweza hizo kazi bana ๐๐๐๐cc Joanah Poor Brain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hatoweza hizo kazi bana ๐๐๐๐cc Joanah Poor Brain
Kzi kazi mkuuWana hakuna an hii ni man alone Bora hata ningekua na duu anae ni sapport lakini hakuna an man alone zaid ni jf tuu
Hapana kama ni kulala utanikuta nalala labda kuanzia saa kumi hadi saa 3. ila kuna siku moja moja katika week ntajikuta napata usingizi mzito mchana nalala kuanzia asubuhi hadi saa 9 mchana.Duuuh nyie mlikua miamba mjue...
Mkutoka hapo mchana kutwa ni kulala tuu
Duuuh aiseeee hyo noma sana...Hapana kama ni kulala utanikuta nalala labda kuanzia saa kumi hadi saa 3. ila kuna siku moja moja katika week ntajikuta napata usingizi mzito mchana nalala kuanzia asubuhi hadi saa 9 mchana.
Nimehamia kwenye chuma yangu ya zamani chuma nondo battery masaa zaidi ya 16 ipo on no kuzima halafu balaa ni fast charging ๐Tunaishi nazo kibishi tuu mkuu....
Ukisema uzingatie battery basi baki na infinix
Mkuu ebu tupe details kidogo mpaka ukaenda jela an ilikuaje kuaje kwanza daaha natamani nijue hapo...Naanza kujitegema nikianza na kazi za usiku 3/7 ni katika kazi hizo nikageukia ulevi wa kupindukia ni huko nikapata slaughter case nikasota jela usiku wa manane nikipambana siku niwe huru tena .
Nimekuwa huru bado niko kwenye shift mpya ya 4/7 hivyo kukesha imeshakuwa sehemu ya maisha yangu ,napenda pia kazi za usiku akili na mwili nahisi kuwa sawa nakuwa serious na kazi ,situmii chochote zaidi ya pombe Kali ili niweze kufanya kazi kwa ufanisi lakini pia nitoboe asubuhi salama salmini
Hivi tutorial za udemy si ziko poa mdau?Sasa kwenye picha hakuna mambo mengi sana hapa ni wewe tuu je unatka uwe
Photography
Graphic designer
Ukisema photography basi hapo ni ujue vitu viwili yaani camera pamoja na software za ku edit picha..
Lakini kama ni graphic design hapo ni kujua software na kuwa creative tuu..
Creativity italetwa na wewe mwenyewe kam utakua upo real interest na haya mambo.
Kwa hatua za kwanza kabisa ni lazima ujue software za kufanyia haya mambo..
Kwa sasa zipo nyingi mno ila universal ni adobe Photoshop... Hii utafanya mambo mengi sana
Hii Photoshop ni kwa wewe beginner pia ila baada ya kuanza kuiva hapo ndo utafta zingine kama illustrator na nyingine nyingi.
Kadri utakavyokua mtaalamu utakua na shauki ya kutaka kujua vtu mbali mbali
Hapo ni mwendo wa hivioi tuuu ๐๐๐๐Nimehamia kwenye chuma yangu ya zamani chuma nondo battery masaa zaidi ya 16 ipo on no kuzima halafu balaa ni fast charging ๐
Yaaah zipo good kiasi chake sema kwa ushauri kuna jamaa flan hv takupa jina lake maana ni hatareee huyu na nilijua hatare kuna sehemu flan hv nilienda ni media nikakuta wadau waliopo upande wa design wanakula na wao tutorial kutoka kwa huyo mwambaHivi tutorial za udemy si ziko poa mdau?
Nop sio fitina Wala mchongo Ila niliuwa pasina kutegemea usiku wa manane kwa kumla shaba mtu .Mkuu ebu tupe details kidogo mpaka ukaenda jela an ilikuaje kuaje kwanza daaha natamani nijue hapo...
Ulikula mchongo nini au ndo fitina za mabosi ?
Kahawa mwenyewe nakunywa sana,kula vyakula vya protein km nyama,mayai,samaki,nijuavyo mimi kahawa inasaidia mpk digestion means inakufanya unakula sana,energy drink huli hivyo in long time inakuchosha nakua weak kwakua unategemea busta toka energy drinks.Mkuu kumbe ishu hapo ni caffeine..
Kahawa wanasema zinamaliza nguvu za kiume vipi hapo...
Hapo kwenye bites kidogo naweza fikilia
Mkuu hii issue ushawahi andika hapa jf...Nop sio fitina Wala mchongo Ila niliuwa pasina kutegemea usiku wa manane kwa kumla shaba mtu .
Nikiwa katika mimbari ya mahakama ndiyo fitina za maboss zikaanza kuibuka kwa makosa ambayo hata siyajui Ila lengo kila mtu ajisafishe .
Ni anaziuza udemy, au ana channel youtube?Yaaah zipo good kiasi chake sema kwa ushauri kuna jamaa flan hv takupa jina lake maana ni hatareee huyu na nilijua hatare kuna sehemu flan hv nilienda ni media nikakuta wadau waliopo upande wa design wanakula na wao tutorial kutoka kwa huyo mwamba
Weee jamaa hata sasa una kesha huna lolote...Kipindi nipo Airtel pale nimekesha sana
na channel youtube mkuuNi anaziuza udemy, au ana channel youtube?
Mkuu hapo nimekupata sana sana tuu...Kahawa mwenyewe nakunywa sana,kula vyakula vya protein km nyama,mayai,samaki,nijuavyo mimi kahawa inasaidia mpk digestion means inakufanya unakula sana,energy drink huli hivyo in long time inakuchosha nakua weak kwakua unategemea busta toka energy drinks.
Wengi wameifanya energy drink km chakula and mbaya zaidi hata maji hawanywi
Njaa ya kukesha usiku sio poa kabisa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃSema hapo kwenye kula umenzingua..
Kupenda kula tuuu kufanya kazi aaaaaaah ๐๐๐๐
Kama mimi hapa kuna kazi kazi ila wee nimesema taanza saa nane mpaka huku papoe now nakusanya raw material hapa nikianza nimenza kweli
Itakua poa sana kama utanisaidia jina lake mdau. Mi ni bigginer kwenye huu uwanja wa advertising.Ana channel youtube mkuu