Yeye ni lazima agombee. Usipopiga, utakaa nyumbani ila mawe yatampigoa na atashinda. Utasikia na kura yako imehesabiwa kwamba umemchagua.Nitapiga kura, isipokuwa kura yangu sitampa Samia suluhu Hassan endapo akigombea. Kura yangu hatopata kwa hakika.
Kijana Mimi ni mwanaume. Sitamchagua kwasababu mpaka sasa sijaona Wala kuelezwa kitu chenye tija alichofanya. Ndugu yangu katika taarifa nyingi nilizopata kuhusu yeye ni kusafiri safiri. Na kuhusu Ile royal tour, labda mengine yapo ila sijasikia Wala kuyaona.Kwani nyie ma girls uwaga mnapendana
Nikupoteza muda na hakiSasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Mwenye kura nyingi Ndio mshindiSipigi kura, I stand with Tundu lissu
Polisi na usalama tayari wana matokeoππ kapoteze muda wako tuSasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
"Hata msipotupigia kura, sisi ndio tutaunda serikali"Msajili atakumbukwa sana kwa kuliweka Taifa kwenye mkwamo wa kisiasa
Kachukua nafasi ya Jecha RIPMsajili atakumbukwa sana kwa kuliweka Taifa kwenye mkwamo wa kisiasa
No reforms no election. Kura yangu ya nini mzeeSasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Inategemea wagombea,mfano pale Mbeya mgombea wa Chauma alishindwa Kwa kishindoSasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Viongozi walishachaguliwa kitambo unakwenda kupiga kura gani tenaSasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Tupunguze tu bajeti ya uchaguzi fedha zikafanye maendeleo maana hekaheka asilia za uchaguzi hazitakuwepo tena.Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Yaani uamke asubuhi na usingizi ulivyomtamu eti unawahi kituoni kumpigia kura Chauma!Kwanini tena mkuu,ππ kwani chama cha kupigia kura ni CDM, tu, wapo Chauma huku tunakula wali tu, unaujua wali wewe???π