Je, wahafidhina ndani ya CCM, wameafiki Kwa shingo upande, maamuzi ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa, Kwa vyama vyote?

 
Utakuwa unaota wewe ukiona wamekubali ujue Kuna plan B
Yaani ni ajabu watu hawaoni kua ccm ndio watanufaika na hii kitu, mbinu ni ileile wagawe uwatawale!!! Hapo kila mpinzani ataona ana nafasi ya kuwa kinara wa upinzani halafu ndani ya ccm mchezo umeisha tayar mama tunae hadi 2030!! Walah ccm wametusoma hadi alama za unyayo zetu wanazijua!!๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Ndo mwisho wa CCM unakuja
Nadhani tangu mwaka 1992 mikutano ya hadhara ya kisiasa ilikuwa imeruhusiwa mpaka hapo 2016 ndipo ilipopigwa marufuku kinyume na katiba ! Lakini Ccm bado mwisho wao haujawahi kufika ๐Ÿ™„. Tusubiri labda huu utabiri ๐Ÿ˜…
 
Reactions: Ame
Na huo ndio ukweli mchungu !! Itโ€™s business as usual !! Twende kazi !!!
 

Wengefaidika wangepiga marufuku? Au unacheza mind game?
 
Akili kubwa ๐Ÿ’ช
 
Ile familia ya watu wazuri hawafi iko kwenye tafakuri kubwa sana leo Samia amewaacha njia panda
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ—๐Ÿ—๐Ÿ—
 

Attachments

  • download.mp4
    961.1 KB
Asali mkuu,
Njaa ikihamia tumboni unaweza kumuamkia hata mtoto uliemzaa mwenyewe.

Mangi kashalambishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ