Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nuhu wa Mji Mpya kura take ni kwa GwajimaNikwambie tu hakuna muislam anaweza kumpigia kura Gwajima, inawezekana hupendi kulisikia hili lakini ndio ukweli, jaribu kutafuta viongozi wa ccm kawe ambao niwaislam, kisha uwaulize juu yakumchagua Gwajima kama wanaweza kumpa kura, Muislam hayupo wakumpa kura gwajima.
Sio vizuri kumwita Binadamu mwenzio shetani. Punguza jazbaHata Sisi wakristo wenzake tunashangaa na kauli za gwajima juu udini wake..... itakuwa ni UJINGA na udini wa Hali ya juu kama huyu mjinga mcheza-porn Kama ataingia bungeni.
Na kama ataingia Bungeni basi tutegemee wabunge wa Viti maalumu kupigwa miti kila siku na huyu shetani
Itageuzwa tuMisikiti kugeuzwa Sunday-school
Uzi unachochea chuki za kidini huu na kutaka kuigawa Tanzania yetu pendwa.
Umeeleza vizuri sana, ila Hawa waislam huwa ni watu wa kulia lia tu na kuona kuwa wanaonewaHivi hawa waislam, wana mchango gani katika taifa ambao ni zaidi ya Watanzania wengine wasio waislam ambao ni wengi zaidi?
Kwa nini uislam umejaa sensitivity na malalamiko hata pasipo sababu?
Ni mfumo gani ndani ya nchi ambao umewabagua waislam kwa kuwa ni waislam?
Ni nani aliyetendewa vibaya kwa sababu ya kuwa na dini ya uislam?
Historia inaonyesha miaka ya nyumba Tanzania iliwahi kuwa na viongozi wakuu wa nchi Waislam ambao walipigiwa kura na watu wa dini zote na waisokuwa na dini. Kwa nini husemi kwamba walitumia kura za watu wasio waislam kwa maslahi yao?
Naomba utafute maarifa ambayo yanapatikana kwa kumcha Bwana, kuliko kuongozwa na hisia zitokanazo na hofu ya udogo wa kiwango.
Jitahidi kuwa Mtanzania anayejali utaifa badala ya ubinafsi na ubaguzi.
Umeeleza vizuri sana, ila Hawa waislam huwa ni watu wa kulia lia tu na kuona kuwa wanaonewa
Wanapenda kubebwa tu na serikali badala ya kujijenga
Wabillah Tawfiq,
wewe ndugu ni mpumbavu tu kama walivyo wapumbavu wengine jana lilipotajwa jina la gwajima tu ukaandika unafanya kampeni mtu kwa mtu ili tu asipite kisa mkristo sasa amini usiamini huyo ndiyo mbunge wenu
Hata Sisi wakristo wenzake tunashangaa na kauli za gwajima juu udini wake..... itakuwa ni UJINGA na udini wa Hali ya juu kama huyu mjinga mcheza-porn Kama ataingia bungeni.
Na kama ataingia Bungeni basi tutegemee wabunge wa Viti maalumu kupigwa miti kila siku na huyu shetani
Aminaa.Hawa watu hawawezi kuwa na amani na mtu yeyote hata kama wangebaki peke yao duniani. Angalia hata kule wameua watu wote na sasa wako peke yao vile wanavyomalizana.
Wanahitaji kumjua Mungu wa kweli badala ya kung'ang'ania kitu wasichokijua ambacho wamelazimishiwa kukilinda kwa mapanga na matusi!. Eti Mungu badala ya kuwalinda watu wake, watu wake wanamlinda! Ni mzigo mkubwa mno.
Tuendelee kuwaombea kwa Mungu Yahweh ili awape neema ya wokovu, wamjue na kumpokea yeye ili pia wapate amani kutokana na upendo, utu wema, fadhili, upole, kiasi, uaminifu na furaha vitu ambavyo hawana na katika njia yao kamwe hawawezi kuvipata.
Ubongo wako mteke ndio umeona hivyo
Punguza mahaba kwa gwajima,kwani anaaingiziwa? Au alisema kweli?Jiandae kisaikolojia maana propaganda zako hazitazuia chochote udini wako kaa nao mwenyewe, Gwajima humuwezi wewe ni level nyingine
Ni wapi Mohamed alimtokea mtu akamsaidia?
Angalia kazi za Yesu zinavyomthibitisha kuwa ni mkuu.
Weka na wewe hapa nani alishawahi kuponywa na Mohamed.
Hivi kwa Nini mnamtetea mtu alietamka kwa maneno yake? Au amewatuma?Misikiti kugeuzwa Sunday-school
Uzi unachochea chuki za kidini huu na kutaka kuigawa Tanzania yetu pendwa.
Acha ujinga wewe? Hayobaliyouasema gwajima unaona Yana uhalali katika auala Hilo au na wewe umejaa mahaba kwa gwajima?Hivi hawa waislam, wana mchango gani katika taifa ambao ni zaidi ya Watanzania wengine wasio waislam ambao ni wengi zaidi?
Kwa nini uislam umejaa sensitivity na malalamiko hata pasipo sababu?
Ni mfumo gani ndani ya nchi ambao umewabagua waislam kwa kuwa ni waislam?
Ni nani aliyetendewa vibaya kwa sababu ya kuwa na dini ya uislam?
Historia inaonyesha miaka ya nyumba Tanzania iliwahi kuwa na viongozi wakuu wa nchi Waislam ambao walipigiwa kura na watu wa dini zote na waisokuwa na dini. Kwa nini husemi kwamba walitumia kura za watu wasio waislam kwa maslahi yao?
Naomba utafute maarifa ambayo yanapatikana kwa kumcha Bwana, kuliko kuongozwa na hisia zitokanazo na hofu ya udogo wa kiwango.
Jitahidi kuwa Mtanzania anayejali utaifa badala ya ubinafsi na ubaguzi.
Mwandishi upumbavu wake ni Nini,kunukuu aliyoyasema gwajima?wewe ndugu ni mpumbavu tu kama walivyo wapumbavu wengine jana lilipotajwa jina la gwajima tu ukaandika unafanya kampeni mtu kwa mtu ili tu asipite kisa mkristo sasa amini usiamini huyo ndiyo mbunge wenu