Hawa watu hawawezi kuwa na amani na mtu yeyote hata kama wangebaki peke yao duniani. Angalia hata kule wameua watu wote na sasa wako peke yao vile wanavyomalizana.
Wanahitaji kumjua Mungu wa kweli badala ya kung'ang'ania kitu wasichokijua ambacho wamelazimishiwa kukilinda kwa mapanga na matusi!. Eti Mungu badala ya kuwalinda watu wake, watu wake wanamlinda! Ni mzigo mkubwa mno.
Tuendelee kuwaombea kwa Mungu Yahweh ili awape neema ya wokovu, wamjue na kumpokea yeye ili pia wapate amani kutokana na upendo, utu wema, fadhili, upole, kiasi, uaminifu na furaha vitu ambavyo hawana na katika njia yao kamwe hawawezi kuvipata.