Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

jje's Pamoja sana....huo ndo utamu wa JF ......sema hawa watoto wa kimachame atoto na miss chagga wametisha zaidi ..credit zaidi kwa DK. MAUKI....Wasalimie machalii wa kwa mromboo, kwa mrefu, kwa msola kwa idd n.k

Hahahaaaa!! Eti watoto wa kmachame, eti miss chagga wewe mmachame?
 
Last edited by a moderator:
Nafasi gani? Isije ikawa mwenyekiti wa mtaa!!

umejuaje ..uenyekiti wa mtaa wa mjini kati...deal zote zinazofanyikia mtaani lazima zipate baraka zangu......
 
Chriss Mauki lazima atakuwa msikilizaji mzuri wa the Greatest preacher of all time - TOMAS DEXTER JAKES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…