Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

Hii sio old video kweli ! kuna mwaka hadi walifungiwa wakaja na usiku wa uswahili wakacheza na madela
 
Ulienda kutafuta nini?
 
Hebu acha ushamba, hapo ni beach, hilo ni vazi la beach!

Hao wadada wanalipwa vizuri, hakuna kupa huduma zozote za yale mambo yetu yale bila kinga!

Hii ni festival season, acheni watu wafurahi, huduma za hapo ni first class

P
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ukiwa na hela hao wote na bendi nzima wakati unatoka wanakusindikiza hadi kwenye gari yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…