BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Ushamaba mzigo, si Baki nyumbani ulale kwa nini mnaenda kuharibu starehe za watuHapo kibaya nini? Wanaoingia humo ni watu wazima na wanaingia kwa hiari yao wenyewe wewe nini kinakuuma? Hapo wa kulaumiwa ni nyie mnaorekodi na kurusha hizi video zinafikia hadi wasio wahusika. Siku ukienda strip club si utachanganyikiwa wewe. Tafuta hela ule mema ya nchi bwana mdogo.
Jibu swali.What kind of stupid question is this
Tatizo wasichana wenyewe hawana matako, wangekuwa na matako ya haja yanayotetema wangenishawishi na mimi nikaenda wikend hii tena tungewakusanya na rafiki zangu tukaenda kushangaa misambwanda.Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao
je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Ilishakufa bar ya kumalijah.Ukistaajabu ya wavuvi camp utayaona ya Kumalija
Ila hapo si ni beach mkuu...Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao
je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Sasa hapo aibu iko wapi? Chawa wa mama hao hawana baya.Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao
je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Kwelii ase tuchangamkeNgoja nivune hizi mbaazi zangu niuze nije huko daslama
Halafu Jumapili kanisani hawa wadudu unawakuta wanaimba mapambio hatari na Bwana asifiwe juu.Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao
je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao
je Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania
au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la.kwanza linaloongoza kwa watu kusambaza magonjwa. hasa HIV kwa haya wanayofanya
Hahahaha🤣🤣🤣Duh ngoja niende benki lazima nikaangalie kama nina salio la kutosha lazima niende huko kama kufa nikafie huko ,kama umasikini kunimaliza ukanimalizie huko siwezi tena kubaki nyumbani ,duh Dar es Salam raha jamani
Tafuta sample, mimi mwenyewe natamani kujuaHivi hao madancer wakiwa wanakula mti hukatika hivi hivi hatari?
duuhhJamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonyesha maungo yao