Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

Halafu wanasema wanaume wanawadhalilisha kumbe wanajidhalilisha wenyewe. Hao ndio wale wakiona wanakosa wanaume wa kuwaoa wanamkimbilia tapeli wa kawe awauzie mafuta na udongo.
 
Una miaka mingapi?Kuna jipya gani hapo?
Tujitahidi tusiingilie uhuru wa watu, morality issues ni personal kati ya wewe na Mungu wako...
 
Daaaah ila sisi wanawake!!!πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
hali inatisha sana. Mungu asaidie matumbo ya uzazo wetu na watoto wetu hali mbaya sio Kwa watoto wa kiume Wala wa kike . Hali mbaya sana, wazazi inabidi tuwe wakali sana tuishi na Hawa gen z kikoloni ndio pona yao
 
Sasa hapo kuna nini cha ajabu? Wapo kwenye club, eneo la baharini,wamevaa mavazi ya kuogelea wanacheza mziki shida iko wapi? Labda wangekuwa wanacheza barabarani au kwenye uwanja wa shule.
Kilichokosewa ni kuletwa tu mtandaoni maana hii dar kama hilo analiona kubwa. Bhasi azame kwenye starehe za uswazi ambapo watu wanacheza kama walivyozaliwa, na wengine njiani wanasaula.
 
Hayo sasa ndo mambo yenu mnayoyaweza Watanganyika 🀣
 
Halafu wanasema wanaume wanawadhalilisha kumbe wanajidhalilisha wenyewe. Hao ndio wale wakiona wanakosa wanaume wa kuwaoa wanamkimbilia tapeli wa kawe awauzie mafuta na udongo.
Mkuu unaweza shangaa hapo kuna wake za mtu. Sitetei ujinga ila mbona mengi ni ya kawaida, kuna wake za watu wanajiuza mitandaoni na wengine wapo uwanja wa fisi, kimboka na sehemu zingine..

Mkuu hii dar ni kubwa sana na unachokifikiria wewe ni kigumu. Amini kinawezekana
 
😁😁😁 do or die situation

Hao wanazidi kuchanganikiwa
 
Ah come on lady. Wengi tu hawamjui. Wanaomjua ni wale wahudhuriaji wa joints zake na jamaa zake.
Jibu lake ndo limenichosha! Et atakua mtu huko wa OmanπŸ˜…πŸ˜…
vijana wawe wanafanya japo research huu muda wangekua wanapita pita hata huko samaki samaki wakatakasa Macho ili maisha yakianza @ 40 akili iwe imesimama wasivuke stage za maisha.
 
Acha ushamba wewe
 
Usisahau kuna wengine wa mikoani nje ya Dar au hawana interest na lifestyle za kwenda huko samaki samaki au wavuvi kempu.
 

Wapo kazini hao na wala hawapo uchi ,hapo ni beach ,wangekuwa naked hapo ungekuwa na hoja ,kama hautaki yanatoendelea Wavuvi Camp nenda Pantaleo ukale nyama choma au Tipsy ukapige vyombo mambo ya kupunga upepo muachie Calito.
 
Kumshauri billionea kwamba ukimwi upo hapo wavuvi ni jambo gumu mno. Kiufupi hayo hapo ni mambo madogo sana. Ingekuwa watu wanatiana kama kwenye vigodoro mngesemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…