Wanatafuta mbuzi wa kafara.wanapingana na 4R za boss wao
Kumbe ni Awadhi huyu basi amepanda rank haraka,alikuwa homa ya jiji ya daladala.Alitunyoosha sana wakati ule kule zenji alipokuwa mkuu wa polisi wa kule.
Awadhi sio mzanzibari,awadhi ni mtanganyika.
No ni awadhi juma haji
Ngoja tuone..Awadhi Juma Haji ndo ananukia kwenye udi labda mkuu abadili Kama kwa NCHEMBA
"Umemchafua" lini alikuwa msafi Hadi achafuliwe?..Waziri wa Mambo ya ndani.
..IGP.
..DCI.
..Mkurugenzi wa Tiss.
..wanatakiwa kubadilishwa.
..Utekaji wa SATIVA umemchafua Rais Samia.
Kuondoa irangi Kuna historical sites ambapo Kuna michoro ya mapangoniMtanganyika mwenye majina matatu ya kiarabu? Hata la ukoo? Tanganyika ipi? Awadhi sio jina la jangwani kule?
Hakuna 4r mkuu, ule ni utapeli na kutaka kuhadaa umma kuwa kuna nia njema, lakini mambo ya msingi hayatekelezwi.IGP na Waziri hivi kweli hawamwelewi Rais na 4R zake au wanatumiwa na kuna njama za kumuangusha. Unaona sasa hili la chadema wamemchafua. Mimi ni CCM sijafurahishwa vombo vya dola kuingilia siasa.
Bora abaki zake huko huko, kuanzia sasa mpaka 2025 kuna lawama sanaAu yule wa Takukuru
Ni bora Mahita arudi.
Huyu Mrangi aliwafanyia ngunguri ACT kule Zanzibar mwaka 2020 kwenye uchafuzi.
Top layer yote ya vyombo vya ulinzi na usalama hua ni ya makada wa CCM na genge la wapigaji.
Hii hata nchi za kimafya na magenge ya wauza unga kule Kolombia walifanikiwa sana kupandikiza wanachama wao kila idara ikawa ni ngumu sana kutokomeza biashara haramu ya madawa ya kulevya. The same applied to CCM. Imeweka watu wake kuwa wakuu wa idara zote na pengine hata vyama vya upinzani vinaongozwa na makada wa CCM maslahi. Wenyeviti wote wa vyama vya upinzani waliwahi kutumika kama watu wa idara ya usalama kulingana na position walizokuwa. Zito Kabwe mfano huyu ni kijana wao siku nyingi kabla ya kujiunga na siasa. Ameanzisha ACT.
Edwin Mtei alikua Governor wa fedha akaanzisha Chadema, Mbowe alikua mtumishi wa benki kuu.
Lisu na Mwabukusi hawajulikani wameibukia wapi ndio maana wanaonekana ni tishio kubwa sana kwa ustawi wa mafisadi.
CBE enzi hizo Cresentius Magori wa Simba akiwa Mwalimu wa Marketing Management ππSuzana Kaganda ni educated and fit for female IGP.
Alikuwa Security Guard..Mbowe alikuwa mtu mdogo sana BOT.
..miaka hiyo vijana wa Form 6 walikuwa wanaajiriwa ktk taasisi za umma kabla hawajakwenda vyuoni.
Alikuwa Security Guard
Mbowe aliingizwa BoT na Mtei kimemo kilitoka Kwa Mwalimu πΌ..Na inawezekana wakati Mbowe akiwa BOT Gavana alikuwa Charles Nyirabu.
Mbowe aliingizwa BoT na Mtei kimemo kilitoka Kwa Mwalimu πΌ
Ya Nchemba imeshindikana?Awadhi Juma Haji ndo ananukia kwenye udi labda mkuu abadili Kama kwa NCHEMBA
Waziri wa fedha alikuwa nani!..Edwin Mtei alikuwa gavana wa BOT kati ya 1966 na 1974.
..Freeman Mbowe alipoajiriwa BOT, Charles Nyirabu, ndio alikuwa gavana.
Maamuzi yamekwisha kufanyika πNo ni awadhi juma haji
Na mm nlitaka kuulzaYa Nchemba imeshindikana?