Hebu kwanza.Kuhusu Ngorongoro wenye akili wanajuwa sheria imasema nini kuhusu ardhi pia wanajuwa kuwa wafugaji wa Kenya ndiyo wenye yale maelfu ya ng'ombe wanaolishwa majani ya Ngorongoro na hivyo kuhatarisha hiyo world heri
Hazikujulikana zilienda wapi..cag alisema Hilo,akaambulia misukosuko na kustaafishwaAliziingiza kwenye masuala ya kimaendeleo, na kwanini mpaka leo usifanyike uchunguzi zilienda wapi zule pesa
Uwaziri bila wajibu ni kazi bure,Rushwa ni adui wa haki,Cheo ni dhamana,sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.Sasa ndiyo hiyo tabia yake ya kujiona tunayoisema, kwaiyo yeye alikuwa sahihi na RC na RDD ambao ndiyo wakuu wake wa kazi kiprotokali walikuwa hawajui kitu!!
Angekuwa na nidhamu ya uongozi angekuja kuwa ata RC au Waziri.Ulimwengu ana matatizo!
Bashe hakuwahi kuondolewa uraia?Hao wasomali Mkapa hakuwaondolea uraia.
Kuna sababu zenye mashiko kwa nini Jenerali aliondolewa uraia.
Kamata lisukuma gang hili.Huyu mzee huko nyuma nilikua nasoma makala zake sana ila tangu utawala wa JPM ulivyoingia amekuwa na makasiriko
Jinga hilo achana nalo hana halijuwalo.Bashe hakuwahi kuondolewa uraia?
Mtazamo wa kupinga na kukosoa kilichofanyika; kwa umri kama huo, si sawasawa.Hajarogwa ni mitazamo yake
OK OK sawaMtazamo wa kupinga na kukosoa kilichofanyika; kwa umri kama huo, si sawasawa.
Kuna umri ukifika unapaswa kuonesha njia na si kukosoa.
Kukososa kosoa tuwaachie vijana.
Uhuru wa kutoa maoni uheshimiwe.Mtazamo wa kupinga na kukosoa kilichofanyika; kwa umri kama huo, si sawasawa.
Kuna umri ukifika unapaswa kuonesha njia na si kukosoa.
Kukosoa kosoa tuwaachie vijana.
Wazee wanapaswa kuonesha muelekeo wa nini kifanyike!
Ukiona mtu anaona kila mtu hayuko sawa basi ujue yeye ndiye hayuko sawa!
Taifa linazidi kupoteza wazee wenye hekima na busara. Siasa zinameza akili za wazee wetu!
Maskini Tz!
Kweli kabisa mkuu!Uhuru wa kutoa maoni uheshimiwe.
Ukiona mtu anaona kila mtu hayuko sawa basi ujue yeye ndiye hayuko sawa!
Taifa linazidi kupoteza wazee wenye hekima na busara. Siasa zinameza akili za wazee wetu!
Maskini Tz!
Ni wapi Jenerali kasema au kuonyesha kila mtu hayuko sawa?
mi mwenyewe naona kama hayuko sawa