Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

Hisia kama hizi ni matokeo ya Watanzania kuendekeza habari vijiweni, kuna ubaya gani mtu kushauliwa. Raisi ni taasisi kuna baraza la mawaziri ambalo yeye ni mwenyeketi. Madawa ya kulevya, ufisadi, na shida zote zinatemea sisi wananchi kupitia shule zetu, nyumba zetu za ibada na taasisi zetu kujitoa sio kutwika zigo mtu mmoja over watu million kazaa
 
Ubinafsi upi sasa, raisi anakuwaje hana dira? Hana plans zinazoonekana yeye anakula boeing tu kila kukicha kuna mangapi ya kufanya nchini?
Tatizo wala si mama . Tatizo ni katiba yetu kumfanya Rais mungumutu asiyehojiwa na anayefikiri kwa niaba yetu. Bila katiba nzuri Tump angewazinguwa wa America

Maswala ya boing mbona madogo
 
Tatizo wala si mama . Tatizo ni katiba yetu kumfanya Rais mungumutu asiyehojiwa na anayefikiri kwa niaba yetu. Bila katiba nzuri Tump angewazinguwa wa America

Maswala ya boing mbona madogo
Madogo sababu mafuta anaweka baba yako mle!?

Katiba mpya mnaitaka pambaneni basi mpewe mmekalia kulia lia tu!
 
Hio katiba ni sawa ili mkumbuke huyo mutakaemuingiza hio katika anaweza akaigeuza on his favour sasa sijui mtafanyaje maana jeshi liko submissive kwa yeyote aliyeko madarakani hata kama kilaza[emoji23]
Ukiwa na katiba isiyotoa ruhusa ya kuchezewa mpaka wananchi waridhie . Haiwezi kubadilishwa kihuni .
 
Mm naenda kulima siasa basi.
 
Ule ndio ulikuwa mpango kazi wake! Huyu bibi Mkora atuoneshe mpango kazi wake au yeye dira ya kazi ni kupanda bombadia na kushinda nchi jirani kadri awezavyo!?
Kuwa fair acha mapenzi ya remeo na Juliet. Harafu mwamba wa chato alikuwa mshamba wa madaraka sana aliwajaza ujinga kuwa rais hapaswi kusafiri. Fikilia rais amebeba agenda gani kwa maslahi mapana ya taifa letu. Nchi yetu bado inakua tunaitaji kukuza diplomasia ya uchumi ili bizaa zetu zipate masoko, vijana waache kubeti wajikite kwenye uzalishaji. Please pungezeni ushamba bhagosha
 
Diplomasia si alimtuma Jakaya akamuwakilishe au hilo hamkuliona
 
Msilau watu , tatizo lilipo , ni watu kulazimisha utawala ili Hali wenye nchi wamekupima na kukupa kura pungufu, madhala yanatoka huko


Kiongozi yeyote ambae ataingia kwenye nafasi KWa mlango wa nyuma msitegemee kufanya miujiza, badala ya kibri akijua yupo pale kanuni zake na Sio wenye nchi, hivyo anajua kesho atatumia njia ileile, that's mnaona wabunge ,wadiwani , wapo tu ili mladi ni diwani,mbunge n.k

TZ HATUENDI POPOTE BILA KATIBA MPYA ,BILA MIFUMO INAYOSIMAMIA MAAMUZI YA WATU,
 
Kwani Nyerere hakukuta kila kitu?
Uhuru kampambania yeye pamoja na figisufigisu za wakoloni kama ilivyo ccm ya leo(MAKABURU WEUSI),kajenga umoja na mshikamano wa Watanzania,leo hii nchi nzima tunaongea lugha moja Kiswahili kwa sababu ya Nyerere,kajenga mashule kibao,kasababisha nchi nyingi kusini mwa Afrika kupata uhuru na mengine mengi,huyo wa Chato kafanya nini kama siyo kulazimisha kuua upinzani Tanzania?
 
Kiboko ni Marehenu JPM baaasi wengine wanacheza tu. Ni siku hizi tu, tunajifanya wajanja. Kila mtu utawasikia JPM akikusikia, utakoma. Leo hii tungesia mashirika yote ya Umma wanalipa gawio. Badala ya wananchi kutozwa Tuzo kwenye muamala yao
 
Reactions: nao
Kwani Nyerere hakukuta kila kitu?
Uhuru kampambania yeye pamoja na figisufigisu za wakoloni kama ilivyo ccm ya leo(MAKABURU WEUSI),kajenga umoja na mshikamano wa Watanzania,leo hii nchi nzima tunaongea lugha moja Kiswahili kwa sababu ya Nyerere,kajenga mashule kibao,kasababisha nchi nyingi kusini mwa Afrika kupata uhuru na mengine mengi,huyo wa Chato kafanya nini kama siyo kulazimisha kuua upinzani Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…