Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

Huyu Jerry Slaa sentimeta moja ya barabara ya lami imemshinda kuijenga kule jimboni kwake Ukonga ataweza kuelewa mambo ya mikataba?

Huyu kichaa ingekuwa heri kwake ajifunge jiwe shingoni akajitumbukize baharini kwa hiyari yake kabla wananchi wenye hasira hawajamtafuta.
 
Ona sas ujinga ulipo., mtu anakuelezea ufanisi wa DP WORLD badala ya kujibu hoja zinazoulizwa., mfano kwa nini mpaka Bandari za maziwa makuu, haya makubaliano ni mkataba au siyo mkataba.

Halafu kuna mtu anajivunia kuwakiliswa na huyu jamaa kama MP wake. Halafu waandishi wa habari kuweni serious., hiv kweli mnakosa maswali yakimkataba ya kuwauliza hawa jamaa pindi wanapowaita. Upe taarifa umma kuwa umeitwa kwenye press, na upe dodoso ili ukupe maswali ya kwenda kuuliza.
 
Wito kwa Serikali ni kwenda kasi kwenye kutekeleza ili watanzania waone manufaa. Tuone tani zinaongezeka, siku 5 za kusubiri nangani ifikie hadi siku 1, kushusha kontena iwe siku 1, kushusha mzigo kichere iwe maximum siku 2 hadi 3 na release iwe hadi saa 1.

Hatukatai hayo ulosema hapo juu ila baada ya hapo mapato yatakayotokana na urahisishaji huo na wingi wa makontena atafaidi nani?
Kwa asilimia ngapi mgawanyo wa mapato hayo yatainufaisha nchi?
 
Na yeye amenunuliwa
 
Injinia Marshalo Chikoleka kwa niaba ya wahandisi naye atoa maoni baada ya kuwasikiliza wanasheria mbalimbali kama kina Jerry Slaa, Prof. Shivji n.k

 
Kuna watu ni wa kupuuzwa tu maana hatujui walifikaje hata hapo walipo.
 
Aende kumuomba radhi haraka Maja, maana alitufokea pia.
 
Nafikiri hakuna kuheshimu elimu tena. Kama Prof wa sheria ameshaongea,mwanafunzi unaongea nini tena?
Profesa wa sheria anaweza kununuliwa vile vile kama mimi na wewe. Wanaweza kumnunua Rais wa Marekani sembuse profesa wa pale mlimani!.
 
Mkataba upi unaouongelea, wakati hakuna mkataba wa kuendesha andari. Kuna makubaliano ya IGA, unafahamu IGA ni nini?
Kwamba watanzania wote wanaolalamika wameshindwa kujua kwamba ule siyo mkataba isipokuwa wewe na Mbarawa tuu ndo mnajua kuwa ule siyo mkataba?! Acheni upumbavu.
 
Uingereza na Marekani wapo karibu na Dubai?. Mbona wameingia nao mikataba ya kibiashara?. Acheni kukaririshwa kama kasuku.
 
Nchi ina upumbavu mwingi na wapumbavu wengi eleweni kwenye vyombo vyenu mnavyovitegemea hakubaliani nanyi ,

Na elewa jambo hili la bandari tunaanza elewa wanaojifanya watz wengi vina saba vyao wenda sio vya kitanzania au Tanganyika , huwezi kua na akili sawa, au ni mtanzania halisi ukashobokea ujinga huu
 
Huu ndo Uhuru tuliotafuta kwamba tukitaka kuendeleza bandari ya Kigoma tunamuuliza Kwanza DP world kama anaridhia au la, akikataa tunampeleka mahakamani!! Bado hapo unasema Una Mbunge kweli?? Kioja cha WILL na SHALL kwenye sheria anakisoma kwenye tafsiri ipi ya Mkataba huo?
 
this is politics, wenzio wamejiandaa than a week kufanya press wewe umesubiri wafanye press unatoka kichakani in two hrs after kucounter attack.

CCM ni janga, muwape vijana vyeo kwa uwezo sio fadhila, urafiki na undugu.
Mwenzako anayaishi hayo mambo kila siku, ni mjumbe wa kamati ya bunge ya mawasilino na uchukuzi, huu ndio ujuaji wa kitanzania.
 
ny
nyanoko
 
Maslahi ya mtanzania yapo kwenye mijadala ya uandishi wa mikataba ya kibiashara. Kumbuka kampuni zitakazoanzishwa zitatumia sheria na kanuni za biashara za ndani, ambazo zinatolewa na BRELA.
Na kwa nini na masilahi ya Dubai yasiwe kwenye mikataba ya kibiashara? Kwa nini yafichwe kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…