Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mwambieni na bandari za Zanzibar zinahitaji uwekezaji pia DP WOLRD waende huko kwanza tuwapime uwezo wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ni Kanda ya Afrika ya Mashariki.Sisi siyo nchi mojawapo ya Kanda
Mwenzako anayaishi hayo mambo kila siku, ni mjumbe wa kamati ya bunge ya mawasilino na uchukuzi, huu ndio ujuaji wa kitanzania.
Tumeambiwa mtu akiwa anaongea kwa kuchanganya kuhusu makubaliano haya tumhoji kwanza elimu yake. Nami nakuhoji, Jerry Silaa una elimu gani! Maana magwiji wa sheria akina Shivji tumeshawasikia.
Ni Uingereza tu tena Bandari moja ....London Gateway. na sio Marekani...Uingereza na Marekani wapo karibu na Dubai?. Mbona wameingia nao mikataba ya kibiashara?. Acheni kukaririshwa kama kasuku.
Zezeta jasiri.Jerry angalau ana ujasiri
Unaisikiliza content ya maongezi yake na unamuona ni mtu mwenye uwezo na mwenye kukijua kile anachokiongelea.hili ndio kosa pia la watanzania, kuamini kila kiongozi ana akili kuliko watu woote.
kuwepo kwenye kamati hakumfanyi yeye kuwa genius, hebu tupime sasa alichoongea hapo kama kinapimika kwenye level ya ugenius.
Usiamini sana vyeo hasa Africa tena hivi vya kisiasa, ni changamoto sana.
Southampton Port pia wapo DPW.Ni Uingereza tu tena Bandari moja ....London Gateway. na sio Marekani...
Kumbuka kuwa mteja mkubwa wa bandari yetu ni Congo yenye madini ya kila aina, Zanzibar zaidi ya utalii so far hawana kitu chochote cha DP kuamua kuwekeza huko.Mwambieni na bandari za Zanzibar zinahitaji uwekezaji pia DP WOLRD waende huko kwanza tuwapime uwezo wao.
IGA ina maana kwanza kupitishwa bungeni ili baadae ishuke kwa mimi na wewe wafaidikaji wa bandari wa moja kwa moja.Huyo Slaa na ujinga wake anajua ule mkataba unawaruhusu waarabu kuanza shughuli zao tangu ile siku IGA iliposainiwa October 2022?
Kama hivyo ndivyo, sasa hiyo HGA yake anayoipigia kelele ina maana gani?
Hawa wajinga wanapewa kazi wasiyoweza kuifanya, namuona ni zezeta tu aliyeamua kujitoa mhanga.
Yeah! Sasa Afrika Mashariki ni jirani na UAE!!? 😁Sisi ni Kanda ya Afrika ya Mashariki.
Kanda yetu inapakana na Kanda ya Mashariki ya kati.Yeah! Sasa Afrika Mashariki ni jirani na UAE!!? 😁
Kwa sababu ya upigaji mmeamua kuiza kabisa bandari kwa mkataba wa kijinga kabisaJerry Slaa amesema kweli, upigaji ulioibuliwa na mama ni mkubwa sana pale bandarini:
Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?
Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao. Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba...www.jamiiforums.com
Ndio mtunga sheria wetu huyo🤣🤣Tanzania ni neighbouring region ya UAE!!? Hapa Jerry ametudanganya.
Hilo umelisema wewe, ni nani kati ya mwanasheria wa serikali, waziri mkuu, waziri wa bandari aliwahi kusema hivyo.Siku zote wanatuambia faida za dpwMkataba bado haujasainiwa, kilichosainiwa nai makubalianao kwa ajili ya kuja kutengeneza mikataba hapo baadaye. Huwezi ukaweka ukomo wa muda kwenye makubaliano, kwa sababu kila mkataba utakuwa unakuwa na timeframe yake