Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

Kuna mabilioni yalikopwa ili kuimalisha bandari na bado tunapokea hayo mabilion yenye riba nafuu.
 
Bunge pamoja kuwa na spika mwenye Phd ya sheria bado wamepitisha mkataba batili.
Halafu Serikali bado inaleta watu dhaifu, incompetent na wasiojulika ka huyo Jerry Silaa kutetea mkataba. This is pathetic. Wao ndiyo watakuwa wamekatiwa halafu wanajaribu kusingixia upande wa pili. Ushahidi tayari tumeona kwa Msukuma na Kitenge.
 
Kwa sababu ya upigaji mmeamua kuiza kabisa bandari kwa mkataba wa kijinga kabisa
Hizo ni fikra za kijinga. Bandari inauzwaje?

Unajuwa mtu ukishazowea kuona biasha za kuuza miili tokea nyumbani basi unakuwa huna utu tena unakuwa na fikra kuwa kila kitu kinaweza kuuzika.

Ingekuwa bandari zinauzika si angezichukuwa Mwarabu, Mreno, Mjerumani, Muingereza, wote waliwahai kuzitawala bandari za Afrika Mashariki.

Bandarini wapigaji wamewekewa ngumu, wanalialia kichawi.
 
Binafsi sipendi serikali ijibu chochote. Serikali iendelee tu hii deal bila kutazama nyuma.
Hawa watu wamejiandaa hawako tayari kuelewa jibu lolote.
Mama chapa kazi, hizi ni kelele za chura tu...
 
Laiti hayo unayoyaainisha yangekuwa yameambatanishwa kwa maandishi katika ule mkataba kungekuwa hakuna huu msuguano.
Ila mengi ya anayoyaongea jerry ni dhana tu.
Mkataba ni lugha ya kisheria na wala si mbwembwe za kisiasa za wanasiasa.
Na kibaya zaidi walio iba uchaguzi. Huo uadilifu wa kujadili siasa za nchi kaupata je?
 
Ni mawazo mediocre kweli kweli.Angeitendea haki jamii ya Watanzania kama angejibu hoja zote raised kuhusu mkataba was bandari.Anavyofanya ni kama mganga wa kienyeji tu.Finally atuambue nani kawanunua and for how much.Tunaomba CCM waache ujinga,wawe makini sana,swala hili halina Chama na si la kiasiasa.Watambue kwamba wananchi wote wapo united against it,na this time around hawatoboi.
 
Haka kabunge kajinga kamekiri kuwa mkataba utakuwa sirtoi na bado wanataka tuwaamini kwa makubaliano haya ya hovyo waliyoyaingia.
 
Wao ndiyo watakuwa wamenunuliwa. Kamati Kuu imewaambia Watuelimishe. Sasa hiyo ndiyo elimu anayo Kuja nayo. Pathetic.

Hivi hawa maCCM wanafikiri Tanzania ni so special sana kwa Dubai tofauti na nchi nyingine walizowekeza kama vile Mozambique, Madagascar, Jibuti au Angola. Unless wanaokuja kwetu ni Wajomba zetu kupitia ule upande...!!
 
Kumbuka kuwa mteja mkubwa wa bandari yetu ni Congo yenye madini ya kila aina, Zanzibar zaidi ya utalii so far hawana kitu chochote cha DP kuamua kuwekeza huko.

Akili zile zile za chuki na ubaguzi zinakusumbua mkuu Ulangupanjala.
Waanze Zanzibar kwanza hakuna ubaguzi wala chuki hapa.
 
Tujamaa tunajificha kwenye chama kumbe ni majambazi level ya PHD. Huyu anatakiwa arudi kwenye udiwani Jimbo lake liko ICU mi ninmkazi wake ila yaliyomo jimboni tunajua wenye jimbo
 
Naam Hawa ni wajinga kwelikweli

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa serikali inakua ya kipuuzi

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
nchi za kipumbavu sana hizi. ndio maana D. Trump aliamuaga kuusema ukweli.

maana hata haijulikani kuwa tulidai uhuru wa nini. ni kama haina maana.


Yesu ni Mwokozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…