Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

Tuna uhakika gani kama na yeye hajanunuliwa ili aje kutuingiza mkenge wa tz,wanasiasa wajinga na malaya wa chama cha mafisadi hawaaminiki.
 
Wa kwanza akiwa Mwabukusi.
 
Intergovernmental Agreement lazima iwe na timeframe sio milele
Naongeza nyama Kwa kimombo mkuu mana wajinga wako wengi sana, hakuna IGA isiyokua na time frame!
  1. Inter-Governmental Agreement (IGA):Inter-Governmental Agreement refers to a legally binding agreement between two or more governments or governmental entities. IGAs are typically established to formalize cooperation, coordination, or joint initiatives on matters of mutual interest or concern. These agreements can cover a wide range of areas, including trade, defense, security, taxation, environmental issues, and more. IGAs are signed by authorized representatives of the participating governments and often outline the rights, responsibilities, and obligations of each party
 
Huna hoja zaidi ya udini we ajuza
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, yaani unakuta mtu mwenye uelewa duni, anaamini anaweza kuwafundisha watu wanaomzidi akili na uelewa.

Huyu Jerry Slaa inaonekana hajawahi hata kuiona katiba ya UAE, anabwabwaja tu.

Katiba ya UAE inazuia Emirate yoyote kuingia kwenye mikataba ya mahusiano ya kimataifa, isipokuwa kama nchi hiyo inayoingia nayo makubaliano inapakana na Emerate hiyo, na makubaliano hayo yawe ni masuala yanayohusu mambo ya utawala.
 
Sio kweli, wewe ndiye unayetaka kupotosha watu humu. UAE wanafanya biashara na Uingereza pamoja na Marekani, unataka kusema huko ni karibu na UAE?.
 
Hilo umelisema wewe, ni nani kati ya mwanasheria wa serikali, waziri mkuu, waziri wa bandari aliwahi kusema hivyo.Siku zote wanatuambia faida za dpw
Wanakueleza faida za DP World kwa sababu hasara hazipo. Wewe ulitaka wakudanganye?
 
Kwani shida nini, si mjibu hoja?

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Ndio atubebe mavitabu yote yale pale mezani bila kuyatumia???? Mbwembwe apeleke kwao huko
 
📌
 
Anatafuta recognition tu wakimpa tu atakaa Kimya km awali alipopewa ubalozi
 
Kwani shida nini, si mjibu hoja?

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
Hakuna haja ya kuwajibu nyie.
Kwenu ni kupinga tu hata mkielekezwa nini mlishachagua upande wa kupinga tu. So nyie bakini hivyo hivyo mkiendelea kusubiri majibu
 

Dar port's $357m upgrade bears fruit, topples Mombasa from perch​



SUNDAY MAY 28 2023​


A carriage for the Tanzania's Standard Gauge Railway project is unloaded at the port in Dar es Salaam, Tanzania on November 25, 2022. PHOTO | ERICKY BONIPHACE | AFP

Summary

  • Mombasa has been losing business to Dar es Salaam, as transporters and importers from the Great Lakes region continue to reroute cargo to the Central Corridor.
  • Tanzania plans a process of finding a competent global investor to run the port.
  • The United Arab Emirates has in the past few years positioned itself in the region to run a chain of strategic ports in Africa.
ADVERTISEMENT


By ANTHONY KITIMO
More by this Author

By APOLINARI TAIRO
More by this Author

The $357 million Dar es Salaam Maritime Gateway Project (DMGP) seems to be bearing fruit: The World Bank has put Dar above its main regional competitor, Mombasa, in a new port efficiency ranking.

The Port of Dar es Salaam rose to position 312 in the 2022 Container Port Performance Index (CPPI) against Mombasa’s position 326 in the survey of 348 ports globally, making it the preferred facility by East African shippers. Djibouti ranked at 26 and the port of Berbera (Somalia) at 144.

The 2021 CPPI report had placed the port of Mombasa at 296, and Dar es Salaam at 316.

The news has been received well in Tanzania, even as comes at a time when legislators are pushing for privatisation of the port to increase efficiency.

Dar port managers attribute the noted success to infrastructure improvements and capacity building, which have helped address operational and physical constraints at the facility.

It goes back to a $345 million credit facility by the International Development Association’s Scale-up Facility and a $12 million grant from the UK’s Department for International Development disbursed in 2017.

Related​

ADVERTISEMENT
 
Jerry na wabunge wenzie, wamepitisha mkataba batili ambao umesainiwa na upande mmoja wa Wabia wa mkataba huo, kwanza tuanzie hapo! hii inaonesha DP world ni jina tu katika mkataba lakini hilo ni dili la wakubwa!
( kwa upande wa Dubai nani kasaini huo mkataba?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…