Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

Wangewaua wote
 
Aseeee...kwahiyo Jw ndio wamewasha moto au hao wasauzi na wacongo kama wanavyosema hapo?
 
Uongo mtupu,UN na SADC waambiwa kujitenga wakigoma watacgaowa vibaya,na Jeshi la DRC waliopo Goma la pewa 48hrs kuweka Siraha chini,wakigoma watapigwa kinoma.
 

Attachments

  • HlAvknGDfnLecXOW.mp4
    1.1 MB
  • FrSqONcr7aXtvjrQ.mp4
    1.7 MB
  • 20250126_100242.jpg
    155.9 KB · Views: 4
  • 20250126_100239.jpg
    218.5 KB · Views: 3
M 23 ni jeshi kabisa linajitosheleza(japo kinaripotiwa kama kikundi cha kigaidi).Watoto nadhani ni sehemu pia katika jeshi lao(Sehemu kubwa ni watu wazima).M23 nadhani michezo yao mingi wanafanyia Goma,Kivu,Bukavu,na kinshasa kama sijakosea
Kinshasa hawafiki babu, kinshasa magharibi ya nchi
 
Watu hawajawa serious na hao wadudu,ingekua kama 2013 ni suala la mwezi tu wanapotea
 
Uongo mtupu,UN na SADC waambiwa kujitenga wakigoma watacgaowa vibaya,na Jeshi la DRC waliopo Goma la pewa 48hrs kuweka Siraha chini,wakigoma watapigwa kinoma.
Wenzako wanaliwa na mamba kukimbia mvua za BM

Goma ipo shwari kabisa na sasa kipigo kinaendelea hakuna kurudi nyuma mpaka tufyeke kambi zao walizo zihamisha
 
Vip vita imefikia wapi saizi m23 wanaendelea kuelekea goma au wanarudi nyuma
 
Kwahiyo jana walichapwa vya kutosha?
 
Kuna ushirikiano mzuri sana! Tulijua ni JWTZ pekee yao ndiyo wamefanya kazi hiyo.
Ukifiatilia deeply JWTZ hawajawahi kufanyaa maajabu huko, bora hata Wakenya walipokuwepo kuliko hawa wetu.
Lakini wale wahuni huwa wakidhibitiwa wanarudi kwenye drawing board wanajipanga upya na mkizubaa kidogo wanashambulia tena, kitimtim kule hakitakuja kuisha. Kumeshakuwa sawa na Gaza.
 
Hao m23 hakuna kitu wanaogopa kama jwtz,wakiingia mzigoni lazima usikie kelele toka m23,sema safari hii siyo kama 2013, safari hii mandate imepungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…