John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Uhalifu mbaya wa kuwabagua Watu wengine kwa misingi ya namna hii ndiyo imekuwa kichocheo kikubwa Sana Cha kustawisha na kuongezeka kwa migogoro na machafuko kwenye nchi nyingi sana za kiAfrika. Siasa chafu za kuwagawa Watu ili wachukiane ni hatari kubwa sana kwa Usalama wa Watu katika nchi hizi za kiAfrika.waCONGO wanajulikana hao watu wako fulanifulani warudi makwao rwanda na uganda waache kuleta vurugu DRC.
Kwahiyo hao waliochinjwa ni wazalendo?Makundi yenye siraha yanayo isaidia DRC kama kundi linalo itwa wazalendo. M23 haimgusi raia kazi yao ni kuambana na jeshi na makundi yake.
Mkuu nipe matokeo Goma vipi hapo FARDC wanasemaje hapo?
HAMNA KITU WATUTSI(BANYAMULENGE) WARUDI RWANDA!!!Uhalifu mbaya wa kuwabagua Watu wengine kwa misingi ya namna hii ndiyo imekuwa kichocheo kikubwa Sana Cha kustawisha na kuongezeka kwa migogoro na machafuko kwenye nchi nyingi sana za kiAfrika. Siasa chafu za kuwagawa Watu ili wachukiane ni hatari kubwa sana kwa Usalama wa Watu katika nchi hizi za kiAfrika.
Hata Mauaji mabaya zaidi ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda Mwaka 1994 kiini chake ni suala hili hili la Ubaguzi kwa misingi ya Makabila. Watu wengi bado hawajajifunza Kitu chochote kile kutokana na tukio hilo
Yes, hao Waasi wa M23 Wanaungwa mkono na Watu wengi Sana waishio kwenye maeneo hayo yenye migogoro.Ukifiatilia deeply JWTZ hawajawahi kufanyaa maajabu huko, bora hata Wakenya walipokuwepo kuliko hawa wetu.
Lakini wale wa
Hatutakuja kuwa na suluhu ya kudumu, aliyewahi kufika maeneo hayo atakwambia jinsi hao wahuni wanavyokibalika na wengi. Support ya wakulungwa wa huko ndiyo nguvu yao otherwise wangeshapotea kitambo sana.
Laana hii ya Ubaguzi ndio itakuwa chanzo cha kuzaliwa kwa nchi mpya iitwayo Jamhuri ya Watu wa Kivu huko Congo DR.HAMNA KITU WATUTSI(BANYAMULENGE) WARUDI RWANDA!!!
Umenikumbusha kitu mkuu Nigeria , NigeriaYes, hao Waasi wa M23 Wanaungwa mkono na Watu wengi Sana waishio kwenye maeneo hayo yenye migogoro.
Aidha, hata baadhi ya Vigogo wengi sana waliopo ndani ya Serikali ya Congo DR pia wanawaunga mkono hao Waasi wa M23. Hivyo, hao Waasi wa M23 Wana Watu wao ndani ya Serikali ya huko na wamekuwa wakipata taarifa zote kabisa muhimu za kiintelijensia kutoka Serikalini kupitia kwa hao Mawakala wao.
Mbaya zaidi sana, ndani ya Majeshi yote kabisa ya Serikali ya Congo DR kuna Mamluki wengi sana ambao pia ni Wapiganaji wa Vikosi vya Waasi wa M23, that's why unaona kwamba kuna matukio mengi sana ya Uasi wa chini chini ndani ya Majeshi ya nchi hiyo.
Jeshi la Congo DR jinsi lilivyo ni sawa sawa kabisa na jinsi Jeshi la Nigeria jinsi lilivyo. Wanajeshi wengi sana wa Nigeria pia ni Wapiganaji wa Kundi la Boko Haram, na Wanajeshi wengi sana wa Jeshi la Congo DR pia ni Wapiganaji wa Vikosi vya Waasi wa M23.
Vipi,wameshaingia?Wakuu,
Habari ndio hii ya uhakika kutoka Reuters, M23 wanasema wataanza kuingia Goma usiku wa leo wananchi wengi wamevuka na kwenda Gisenyi ili kuepuka shelling.
Congo's M23 rebels say they will seize eastern city overnight
By Reuters
January 26, 202510:20 PM GMTUpdated 10 min ago
Ukiwa mtu Safi na mwenye roho Safi, Kamwe huwezi kumwita mtu mwingine ambaye anapigania Haki zake za msingi kuwa ni gaidi. Kamwe huwezi kufanya hivyo. Ni mtu mdhalimu tu ndiye ambaye anaweza akafanya hivyo.Hivi kwa nini M23 hadi sasa haijatambuliwa kuwa ni kikundi cha kigaidi?
Kwa nini Congo yenyewe, Marekani, Ulaya na mataifa mengine ya Afrika Mashariki kitu gani kimewazuia kukiita kundi la kigaidi?
Mimi binafsi najisikia kukereka na kupata hasira sana kusikia kila mara vita ya Congo.
Warudi kwao,hata kama nchi yao ni ndogo kama chumba cha kupangaUkiwa mtu Safi na mwenye roho Safi, Kamwe huwezi kumwita mtu mwingine ambaye anapigania Haki zake za msingi kuwa ni gaidi. Kamwe huwezi kufanya hivyo. Ni mtu mdhalimu tu ndiye ambaye anaweza akafanya hivyo.
Kumbuka:-
1. Hata Nelson Mandela aliitwa kuwa ni 'gaidi' na Utawala wa Makaburu.
2. Hata Rais wa Sudan ya Kusini Bw. Salva Kiir na Rick Machal waliitwa kuwa ni 'magaidi' na Utawala wa Sudan wakati ule walipokuwa wanapigania Uhuru ili kujitenga.
3. Hata Wananchi wa Kosovo pia waliwahi kuitwa kuwa ni 'magaidi' wakati ule walipokuwa wanapigania Uhuru wao ili kujitenga.
Wale M23 Je ni Wacongo Man?Ukiwa mtu Safi na mwenye roho Safi, Kamwe huwezi kumwita mtu mwingine ambaye anapigania Haki zake za msingi kuwa ni gaidi. Kamwe huwezi kufanya hivyo. Ni mtu mdhalimu tu ndiye ambaye anaweza akafanya hivyo.
Kumbuka:-
1. Hata Nelson Mandela aliitwa kuwa ni 'gaidi' na Utawala wa Makaburu.
2. Hata Rais wa Sudan ya Kusini Bw. Salva Kiir na Rick Machal waliitwa kuwa ni 'magaidi' na Utawala wa Sudan wakati ule walipokuwa wanapigania Uhuru ili kujitenga.
3. Hata Wananchi wa Kosovo pia waliwahi kuitwa kuwa ni 'magaidi' wakati ule walipokuwa wanapigania Uhuru wao ili kujitenga.
Yawezekana kweli kabisa kwamba siyo Waasi au Wapiganaji wote wa M23 ni WaCongoman, huenda baadhi yao wametoka nje ya Taifa hilo la DR Congo, wamekwenda huko ili kuwasaidia WaCongoman katika kupigania Haki za hao WaCongoman wanaotendewa isivyo Haki. Hilo ni jambo la kawaida kabisa katika suala la harakati za kupigania Haki hapa duniani.Wale M23 Je ni Wacongo Man?
Je wanafadhiliwa na nani?
Baada ya 1994 genocide zaidi ya wahutu million 2 walikimbilia DRC na wakaanzisha permanent settlement in Eastern DRC notably North Kivu province. Tangu hapo Kigali huwachukulia wahutu hao as material threat to Rwanda's national security. While the majority of Hutus merely struggle for daily survival, they are exploited as a base for recruitment, shelter and supply by the “Democratic Forces for the Liberation of Rwanda” (FDLR)Wale M23 Je ni Wacongo Man?
Je wanafadhiliwa na nani?
Naam Mkuu umenena vema kabisa.Uhalifu mbaya wa kuwabagua Watu wengine kwa misingi ya namna hii ndiyo imekuwa kichocheo kikubwa Sana Cha kustawisha na kuongezeka kwa migogoro na machafuko kwenye nchi nyingi sana za kiAfrika. Siasa chafu za kuwagawa Watu ili wachukiane ni hatari kubwa sana kwa Usalama wa Watu katika nchi hizi za kiAfrika.
Hata Mauaji mabaya zaidi ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda Mwaka 1994 kiini chake ni suala hili hili la Ubaguzi kwa misingi ya Makabila. Watu wengi bado hawajajifunza Kitu chochote kile kutokana na tukio hilo
😂😂😂😂Mkuu nipe matokeo Goma vipi hapo FARDC wanasemaje hapo?
Swali la msingi hili kabisaKwan walishafika tayar huko?
Mbona kauli yako inajikanganya,wameingia wakati huohuo jeshi linajaribu kuwazuwiaMISE À JOUR : LES M23 SONT DEJA ENTRÉS DANS LA VILLE, MAIS LES FARDC RÉSISTENT DANS CERTAINS LIEUX, COMME À LA RTNC.
Kwa taarifa tayari wameingia mji wa GOMA na hivi sasa mapigano yanaendelea FARDC wanajaribu kuwazuia
Hakuna cha kufuata wahutu hapo,ni madini tu, Rwanda walifungua ofisi za kuuza madini wakati hawana mgodiBaada ya 1994 genocide zaidi ya wahutu million 2 walikimbilia DRC na wakaanzisha permanent settlement in Eastern DRC notably North Kivu province. Tangu hapo Kigali huwachukulia wahutu hao as material threat to Rwanda's national security. While the majority of Hutus merely struggle for daily survival, they are exploited as a base for recruitment, shelter and supply by the “Democratic Forces for the Liberation of Rwanda” (FDLR)
FDLR includes several thousand members of the former Rwandan Armed Forces and Interahamwe militants primarily responsible for the 1994 genocide. They reportedly control about 50 percent of North Kivu whence they prey on ethnic Tutsis in DRC and Rwanda by murder, sexual violence, robbery and extortion.
Zipo sababu nyingi sana kwanini Kagame anaisapoti M23 na kwanini Kivu the reasons such as high- value industrial minerals including gold, diamonds, iron, wolframite (a source of tungsten) and thorium. There are also vast stores of coal, methane and natural gas. The potential value of these untapped resources is in the order of $25 Trillion.
Whoever controls the region also controls access to those riches, either through their own illegal mining operations or “security guarantees” and concessions to corporations itching to extract the resources. Kigali wants a piece of the action.
Balozi wa China aliwahi kusema "whoever controls DRC control the world"
cc EarthmoverVipi,wameshaingia?