Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
Kipindi wanashambulia ndani ya Israel mlikuwa mnasema Israel anawaogopa hizbollah Leo Mnataka na kesho rasmi la Lebanon lihusike na sio hizbollah pekee
 
Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
Jeshi halitaki kuingilia ugomvi wa Hezbollah na Israel.
 
Highly calculated; well planned; excellent sophisticated event! Akili kubwa ni akili kubwa tu!
Akili kubwa kufagia mtaa mzima kisa kuna adui yako mmoja tu unayemtafuta? You can't be serious ukimkosa Mungu na imani huwezi kua clever wale walibugi tangu mwanzo japo Mungu wao aliwapenda lakini walishafeli nae kuwakataa mara ya kwanza aliwazungusha jangwani miaka 40, sasa amewanyima amani na akawajaza kiburi kama cha Firauni, halafu kawapa hofu ya kifo then yeye Mungu ndio Mkusanya roho, hivyo wao ni kuhangaika tu na kuambia wataishi hivyo miaka na miaka mpaka qiyama isipokua watakao watakao jaaliwa na Mila hekima ya kutubu.
 
Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
Uzuri jeshi la Lebanon na raia kiujumla wanajua mbaya wao ni nani?

Hezbollah aliona Hamas anafaidi sana.
 
Duh kunajamaa yangu anakuambia bora usimuliwe hicho KISHINDO.....mengi media zinaficha hata hii hapo juu huioni kwenye vyombo vikubwa vya habari Duniani
Naiogopa sana Sayansi hawa watu wakiamuwa kukumaliza wanakumaliza huruma yangu tu kwa watoto wadogo wasiojuwa chochote kuwa majivu dah visasi vya Maangamizi

Mnatishia watu huko barabarani na silaha za kivita marungu mask tena nduguzenu hawana hata upinde kisa ubabe ....natamani mgekuwepo pembeni ya hiyo gharika hapo juu mjifunze .... Amani ni Tunu mtu aki chafukwa ....
Wenyewe wanakuambia kama noma na iwe noma. Hawajakutana na noma bado.

Bado hawajui uchungu wa kuona familia yako yote imepigwa bomu imelala mbele ya macho yako.

Ile October 7 tulioona mbali tulipiga sana kelele hii ni wrong move imefanywa na Hamas. Tukaishia kuitwa makafiri. Wanahubiri Cease Fire akati umewashikiria mateka raia wake?

China katendwa sana na Mjapan na anatamani sana kisasi lakini huwezi kukuta anafanya moves za kishamba kama hizi.
 
Hezbollah naona ni wepesi mno kuliko HAMAS
Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.

Hezbollah alikuja kwa mikwara "Oi mzee Baba Hamas Bway niachie mchumba tu huyo, vitu vyangu hivi". Hamas akauliza "Kweli unataka?", Hezbollah "Unauweka unauweka..."

Matokeo saivi kuna baadhi ya mashabiki wa Hezbollah wanauliza hivi Lebanon hawana jeshi?, Jeshi gani tena? Hao Hezbollah si ndo jeshi lenyewe?

VITA haiwezi kuleta amani.
 
Back
Top Bottom