Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Sinwar Bado yupo sana tu endelea kufunga novena ili afeAcha ubishi, kumbuka kumswalia Sinwar apumzike kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sinwar Bado yupo sana tu endelea kufunga novena ili afeAcha ubishi, kumbuka kumswalia Sinwar apumzike kwa amani
Israeli anaua raia na kuporomosha majengo ili aonekane anapiga sana😂. Mwenzake anapiga Kambi za majeshi ya IDF na miundombinu muhimu nani ana akili hapo?Duuuh kelele zote zile kwamba hao ndio kiboko ya Israël mbona wanabondwa kuliko hata wale ndugu zao Hamas..
Kweli mwarabu ni kiumbe dhaifu!
Aiseee makobazi walikuwa wanatamba humu kweli kweli.. Wanakwambia Israel hathubutu kumgusa Hizbolla ana makombora ya kusambaratisha Jerusalem yote 😂😂😂Wiki moja tu chali
Teh teh teh kwamba mwarabu ana huruma kiasi hicho asishambulie na yeye hao raia?? Mwarabu huyu huyu anayejitoa muhanga??Israeli anaua raia na kuporomosha majengo ili aonekane anapiga sana😂. Mwenzake anapiga Kambi za majeshi ya IDF na miundombinu muhimu nani ana akili hapo?
Narsalla kama kapona amshukuru MunguInavyosemekana. Bado haijathibitishwa
Israel tayar wame confirm Ali Karaki na Hassan Nasraillah eliminated.Hawa makamanda wote wa hezbollah wameuawa
Hizbullah hawana rasilimali za kudungua ndege,na israel roho mkononi kwenda battle ground na hizbullah, strength ya hizbullah ni infantryDuuuh kelele zote zile kwamba hao ndio kiboko ya Israël mbona wanabondwa kuliko hata wale ndugu zao Hamas..
Kweli mwarabu ni kiumbe dhaifu!
Wame confirm muda gani?Israel tayar wame confirm Ali Karaki na Hassan Nasraillah eliminated.
Kwahiyo ktk hiyo chart hakuna hata mmoja aliyebaki ni hatari sana .
Umejifungia masjid unamsubir sheikh akimaliza swala ya alasir ndio akupe habar ulete humu utasubir sana.Wame confirm muda gani?
Yamekua hayo tena ? Makombora yale vipi? Alafu ukitegemea infantry moja kwa moja bila support unajua madhara yake?strength ya hizbullah ni infantry
Makombora hayatungui ndegeYamekua hayo tena ? Makombora yale vipi? Alafu ukitegemea infantry moja kwa moja bila support unajua madhara yake?
Ahaaa, kumbe kwa hiyo wanaposema makombora tiifu ya kutungulia ndege kumbe wanakosea eenh?Makombora hayatungui ndege
Labda Hizbula wao hawatoi Iran wanazalishaa waoKwa hiyo zikitoka Marekani shida iko wapi?!
Hizbullah wamerusha lini makombora ya kutungulia ndege?Ahaaa, kumbe kwa hiyo wanaposema makombora tiifu ya kutungulia ndege kumbe wanakosea eenh?
Haya mapolisiccm wanamzingira Mbowe na mabunduki kibao wakati Hana hata kisu? Aisee! Waende Lebanoni waone magaidi!
Middles East is Mossad's play ground
Jiulize Haniyeh kauliwa vp ndani ya Iran
Inaaminika alikua underground, Israel imepiga bomu limefimua jengo zima mpk chiniMsiba kwa jamii ya wana kobazi.