Jeshi la Israel limesema limefanya “shambulio la kiufundi” mji mkuu wa Lebanon, Beirut

Waziri wa Afya anasema Watu ni waili tu wamekufa na 76 wamejeruhiwa.. ni aina ya kichekesho au walijua wakahama wote pu
 
Si ndo hao jamaa walikuwa wakipiga na kuweka beria ya Meli zote zinazoingia Israel?

Kwisha habati yao
 
Kwani nani gaidi pale. Nafikiri Israel ndiyo Gaidi namba moja. Wale Palestine wanapigania ardhi yao ambayo inakaliwa kimabavu na magaidi Israel. 🤔
Israel amezungukwa na magaidi pandę zote na wote wana uchu wa kumuangamiza.
Hakuna namna zaidi ya kupambana mpaka mwis
 
Waziri wa Afya anasema Watu ni waili tu wamekufa na 76 wamejeruhiwa.. ni aina ya kichekesho au walijua wakahama wote pu
Mkuu Kuna milipuko mingi sana imesikika , Yani Ile sehemu kulikuwa na mabomo mengi sana
 
Usishangae kesho makombora ya Hezibollah yakitua Tel Aviv na Haifa.
 
Hii inanipa funzo kuwa dunia ni uwanja wa unafiki....ukipata matatizo waliokupamba kimyaa...
China katuliaa..Iran anasemea chumban....Africa aaaaah hawajui kabisa
 
Kwa speed hii mablkila wataisha huko.
Kutoa wito ni jambo moja.Na kujiunga ili wafe wote ndicho kifuatacho.

Acha kudanganya Watu,historically IRISHMEN ndio wamejenga USA kuwa pale ilipo.
Hao wayahudi wako walikuja kunufaika kwa kuunda biashara ambazo zimekua kwa MISINGI NA MIFUMO BORA iliyojengwa na IRISHMEN.
Fuatilieni mambo msidanganye Watu.
 
Ukisikia "nakuweka kiporo" hii ndio maana yake sasa! Baada ya wayahudi kumalizana na Hamas wamewaludia hizbullah. Ndio maana kipindi kile nilikua najiuliza mbona hizbullah wanawalushia marokect waizrael lkn hawajibu???? Ebanaeee kumbe kiporo!!!!
 
Ila jamani, damu zinamwagika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…