Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

Tujiandaeni tu Kukabwa sasa Mitaani tena kuliko hata tunavyokabwa Kistaarabu kwa sasa. Na walivyo wengi Mitaani safari hii tutawakoma sana!
Waliorudishwa ni wazalendo(vijana ambao bado hawajaanza mafunzo) .

Sasa utakabwaje au hujaelewa kilichopo kwenye bandiko?.

Ila kwa hakika hata wangerudishwa vijana maelfu waliomaliza mafunzo pasingetokea na kadhia ya kukabwa wananchi. Kila mwaka hurudi vijana wengi waliomaliza mikataba yao na hali bado shwari.
 
Tujiandaeni tu Kukabwa sasa Mitaani tena kuliko hata tunavyokabwa Kistaarabu kwa sasa. Na walivyo wengi Mitaani safari hii tutawakoma sana!

Madhara ya copy and paste. Next time pitia kwanza uelewe kabla ya kuandika pumba humu.
 
Mambo Mazuri[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Duuh nilikua najiandaa sasa itakuwaje wakuu??
 
Tunajua hawajaanza mafunzo ila kuna kundi lilirudi nyumbani tarehe 30/12/2020 Likiwa nimemaliza mkataba nalo mnatuwmbiaje???
 
Tujiandaeni tu Kukabwa sasa Mitaani tena kuliko hata tunavyokabwa Kistaarabu kwa sasa. Na walivyo wengi Mitaani safari hii tutawakoma sana!
Hawa ni recruit mpya. Bado hawajapokea mafunzo. Ndio walikua waanze
 
Tunajua hawajaanza mafunzo ila kuna kundi lilirudi nyumbani tarehe 30/12/2020 Likiwa nimemaliza mkataba nalo mnatuwmbiaje???
Kwenye hili kundi kuna mtoto wa jirani nae amerudi mkataba umeisha anakwambia ni bora angekomaa kitaa tu labda angeambulia vibarua vya hapa na pale. Kwa miaka hii JKT imekuwa ngumu kupata ajira za kwenda kwenue taasisi nyingine za ulinzi kama zamani.
 
Nashangaa sana kwanini Mtu anatoka jeshini halafu anakuja kuwa jambazi au kibaka wakati jeshini tunafundishwa nidhamu na uzalendo
Nidham na uzalendo hizo ni personal ethics.
Zinaanza na mtu mwenyewe.. wala si kwa kulazimishwa.
 
Back
Top Bottom