Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

Nashindwa kuelewa hivi kwa nini serikali isiwakusanye wote hata kwa lazma ikawapeleka hata mali asili huko wakaparangane na masokwe huko tuna mbuga kibao za wanyama zinahitaji askari kila siku na vijana wako tuu mafunzo wanayo kazi hawana.
Mwanao angepitia yote haya uliyoyaandika hapa Wewe kama Baba yake Mzazi ungeyafurahia Ndugu? Unaonekana una Ego na Arrogance mno tu.
 
Yawezekana kati ya Watanzania wote Milioni 55+ ni Wewe tu Bumunda pekee ambaye umeshindwa Kuielewa vyema kabisa hii Taarifa kutoka JKT.
Hajaielewa kivipi wakati katoa ufafanuzi unaoeleweka,we ndo bumunda ambaye hujaelewa hyo taarifa
 
Half witted.

493FF3D7-FED5-4DF6-AB32-1C0ECCDF2CEA.jpeg
 
Nashangaa sana kwanini Mtu anatoka jeshini halafu anakuja kuwa jambazi au kibaka wakati jeshini tunafundishwa nidhamu na uzalendo
Sasa nitakula nini kitaa bibie ..? nidhamu na uzalendo ?

Na hivi narudi kitaa nimeiva lazima niwe wa kwanza kukukaba wewe na kukupora hasa lile pochi lako la pink
 
Nchi imeshfilisika

Watoto wanasoma chini ya mti

Biashara ngumu

Serikali haiwezi tena kuendesha hata mafunzo ya jkt

Mungu tuondolee hiki kikombe

Najuta kumpa kura yangu jiwe
 
JKT YASITISHA MAFUNZO

DODOMA
: JANUARI 19, 2021

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kusitisha kwa muda mafunzo ya jeshi hilo ya kujitolea kwa mwaka 2020/2021 mpaka hapo itakapotangaza tena.

Kutokana na kusitishwa kwa Mafunzo hayo JKT imewataka vijana walioripoti makambini kurejea majumbani na wale ambao hawajaripoti wasiende kuripoti.

Taarifa hiyo imetolewa jijini Dodoma na Kaimu Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Kanali Hassan Mabena, wakati akizungumza na waandishi wa habari Ofisi za makao makuu ya jeshi hilo.

Nami All - Rounder nasema kuwa huenda kwa Kurejeshwa Kwao hawa na Ajira kuwa ngumu Vitendo vya Kiuhalifu vikaanza Kuongezeka nchini.

Taarifa: Uhurudigital

---
Siyo mbaya kusema safari hii Pesa hakuna ( Kibajeti kuliko Kuficha, lakini pia hata haya Mafunzo yanahitaji Mabadiliko makubwa sana ya Kimfumo.

volunteers wanahitaji sana haya mafunzo, ningelishauri wasitishe kwa compulsory ambao I dare say they are not in need of this training in their life
 
Serikali haina pesa ya kuwahudumia. Waseme ukweli tu.

Back
Top Bottom