Sawa nenda kajifunze kulima nyanya miaka 2.Unataka nani akulipie bill mkuu
Jeshini watu wanafundishwa pia ujasiriamali ukitoka hapo unaweza kuwa mkulima na mfugaji mzuri tu ila vijana wanataka waoneshane nani mbabe mjini hapa
Waliorudishwa ni wazalendo(vijana ambao bado hawajaanza mafunzo) .Tujiandaeni tu Kukabwa sasa Mitaani tena kuliko hata tunavyokabwa Kistaarabu kwa sasa. Na walivyo wengi Mitaani safari hii tutawakoma sana!
Watu wanaropoka tu hawajui lolote, kuna mwengine hata kikosini hajaenda kaambiwa asiende tena na huyo utasema atakukaba?Waliorudishwa na wazalendo(vijana ambao bado hawajaanza mafunzo) .
Sasa utakabwaje au hujaelewa kilichopo kwenye bandiko?
Tujiandaeni tu Kukabwa sasa Mitaani tena kuliko hata tunavyokabwa Kistaarabu kwa sasa. Na walivyo wengi Mitaani safari hii tutawakoma sana!
Mambo Yamebana yakhe..😂Heeee. Kulikoni yakhe
Hawa ni recruit mpya. Bado hawajapokea mafunzo. Ndio walikua waanzeTujiandaeni tu Kukabwa sasa Mitaani tena kuliko hata tunavyokabwa Kistaarabu kwa sasa. Na walivyo wengi Mitaani safari hii tutawakoma sana!
Kwenye hili kundi kuna mtoto wa jirani nae amerudi mkataba umeisha anakwambia ni bora angekomaa kitaa tu labda angeambulia vibarua vya hapa na pale. Kwa miaka hii JKT imekuwa ngumu kupata ajira za kwenda kwenue taasisi nyingine za ulinzi kama zamani.Tunajua hawajaanza mafunzo ila kuna kundi lilirudi nyumbani tarehe 30/12/2020 Likiwa nimemaliza mkataba nalo mnatuwmbiaje???
Hao bado hawakuwa recruit, hao ni wazalendoHawa ni recruit mpya. Bado hawajapokea mafunzo. Ndio walikua waanze
Nidham na uzalendo hizo ni personal ethics.Nashangaa sana kwanini Mtu anatoka jeshini halafu anakuja kuwa jambazi au kibaka wakati jeshini tunafundishwa nidhamu na uzalendo
Watu wanalima mboga mboga. for 2 years. Wengine ni mafundi ujenzi.. magari.. unatoka na skills. Lakin ukizingatiaSawa nenda kajifunze kulima nyanya miaka 2.
Uzalendo ni ethic.. but new recruit mpya, ni begginers.Hao bado hawakuwa recruit, hao ni wazalendo
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ndipo nachoka kuielewa akili ya mtanzania, utadhani hawa vijana wamechimbwa kutoka aridhini so wakija huku mtaani ni wapya from no where!.