Jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ni dhaifu mno

Nilikuwa nawakubali sana Russia but kwa namna hii vita inavyoenda they need to regain my trust again sio kwa ubabe niliodhani wanao ni story za vijiweni zile

Sasa ingekuaje kama ndo angeingia vitani na wababe wenzie kama hao wadogo tu anayumbayumba
Tunaiona russia wa kawaida tunadharaurika mno humu ndani, wanashindwa kuelewa kuwa hata sisi zamani tulikuwa tunaisifia mno russia kila nyanja dhidi ya US ila kwa namna dunia inavyoenda, acha Westerns waendelee kutawala ulimwengu huu, hawa jamaa ni vichwa haswa.
 
Umeongea ukweli, vita vya chini na askari russia ni bure tu, ye ni kurusha makombora basi, iko ndo wanajua
 
Si tunaongelea Russia na ukraine, au hasira zako kwa mnyama
Maanake Russophobes wore mnain'gon'ga Russia kwa kile mkiitacho kufeli kwa operation ya kivita. Ndo nikakupa case study nyingine ya Afghanistan.
 
Huku miji inazidi kwenda [emoji3][emoji3][emoji3] jitahidi maana bila hivi ugali hautafika mezani
 
Nilikuwa nawakubali sana Russia but kwa namna hii vita inavyoenda they need to regain my trust again sio kwa ubabe niliodhani wanao ni story za vijiweni zile

Sasa ingekuaje kama ndo angeingia vitani na wababe wenzie kama hao wadogo tu anayumbayumba
Kwamba yukraini ni mdogo na unajua maana ya operation ndugu au ni wale wa kusikia story za kwenye kahawa
 
Binadamu tunahitaji kuheshimiana ikiwa ni pamoja na kuheshimu Maoni ya kila mtu. Hata haya Maoni ni wajibu wetu kuyathamini kwakuwa UMETUMIA MUDA WAKO KUANDIKA
 
Maanake Russophobes wore mnain'gon'ga Russia kwa kile mkiitacho kufeli kwa operation ya kivita. Ndo nikakupa case study nyingine ya Afghanis
Tujikite Russia na Ukrean kwanini operation imechukua sasa mwezi 3 unaingia? kwanini Russia alirudi nyuma Kyiv? Kwanini alipovami Ukraine Donbas ndio miji ya kwanza kutangaza kwamba ushakuwa huru lakini aliposhindwa Kyiv akarudia kuja kupigana kwenye miji ambayo kabla alishatangaza kuwa huru? Kwanini kwanini?
 
Mod..ondoeni hii takataka hapaa..inatia aibu great thinkers wa humu!
 
Russia ni watu wa propaganda nyingi tu ila hawana lolote kijeshi, ni sawa na Kiduku wa Korea kaskazini.
 
Watu mna muda...

Yaan mtu anakupiga kila sehemu katika nchi yako bado unamuona dhaifu?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hivi Marekani na NATO walifanya nini kwa Yugoslavia ya zamani kwenyew vita vya kosovo zaidi ya kupiga mabomu katribu kila sehemu kwa karibuni miezi 3.
Basi kama ni hivyo marekani ni dfhaifu sana pia?
Mtoa uzi atutajie mfano wa vita ambayo haikuwa na madhara kwa raia na majengo ni ipi??
Je anajua kitu Marekani ilifanya kule Syria na Iraq?
 
Russians wanapigana na timu ya NATO
Kuhusu kubomoa nyumba kila adui yako unamuombea njaa tu
[emoji631] walikuwa wanauwa mpaka ngamia Iraq walipiga mpaka bunkers zote ingawa walikuwa wanajua fika kuwa waliomo humo ni wazee na watoto
Walipiga mpaka hospitali
Majengo ya Iraq sijui walijenga kwa akili gani maana hata kushambuliwa kote huko bado yalikuwa imara (nilikuwa Baghdad na Basra na sehemu nyingi tu)

Mbona tumesahau haraka ndugu zenu USA walipoondoka ghafla Afghanistan? Walipatwa na nini au biashara ya poppy [emoji636] kaishika zaidi

Mashambukizi humu rukhsa pia tupa scuds nyumba yangu haibomoki humu [emoji23]
 
Russia ni watu wa propaganda nyingi tu ila hawana lolote kijeshi, ni sawa na Kiduku wa Korea kaskazini.
Tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia, vita pekee ya ardhini aliyo shinda Marekani ni vita ya Iraq tu, nyingine ameishia kupata kipigo cha mbwa koko na kukimbia.
 
Tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia, vita pekee ya ardhini aliyo shinda Marekani ni vita ya Iraq tu, nyingine ameishia kupata kipigo cha mbwa koko na kukimbia.
Umesahau uvamizi wa Marekani huko Panama ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…