Una ujasiri 🙌🙌Nlikua nikielewa mwandiko wa mtu nazama kumchimba vizuri ili nijue anachokiandika kweli kinasadifu yeye alivyo,. Walahi nikiwa na strss napitia convos naishia kucheka😂😂😂,. Vijana ni waongo sana aisee
Haha eti ungempata,. mweke reserve kwanza main akizingua chap niambie nikuvutie huyo kijana😊
Rahisi n kuendelea kuteseka?
Kwahyo kwa sasa huitaji huduma yake hata iweje?Siteseki,hizi ni habari za miaka kadhaa nyuma...though sizifurahii
Kwahyo kwa sasa huitaji huduma yake hata iweje?
Unahisi ni kwa I'd hii,hell no😃😃,. Nina yangu moja hiyo ya kiume imechangamka balaa wanajuaga nataka tufanye madili.. Utaskia unajua blaza usingalie nyuzi zangu nachangamsha genge, kama unamchongo nisogezee nabaki tu wooii😆😆Una ujasiri 🙌🙌
hahahaa ati reserve,huko nishatoka basi tena
Si mafilingzsi 😂Mwanzo nilikuwa nahitaji huduma yake?
Unahisi ni kwa I'd hii,hell no😃😃,. Nina yangu moja hiyo ya kiume imechangamka balaa wanajuaga nataka tufanye madili.. Utaskia unajua blaza usingalie nyuzi zangu nachangamsha genge, kama unamchongo nisogezee nabaki tu wooii😆😆
Nkiwaza na mwenyewe nimemfata kumchangamsha tu sina lolote,. Mungu anisamehe walahi😄
Ilikua zamani 2023 huko,. saizi ujinga huo sina ..Huu ndo utamu wa JF sasa
Hiyo ID yako ya kiume usije nifata nayo😃
Anytime soon😊JF CONNECTION 🙂
sogeza sikio sasa hapo pm🥸Sababu za msingi zipo, hebu ninong"oneze
Ilikua zamani 2023 huko,. saizi ujinga huo sina ..
Najiheshimu sana mzee wangu yuko humu kila nachoandika anakiona 😂😂
🤣🤣🤣🤣 na machozi tele.Na venye nikikutanaga nawe nagubikwa na furaha ya ajabu😂
Alijua uwezi kuandika😅😅
Na comment sana tu!!! Japo sio mpenzi sana....umecomment leo dada
Hahaa karibu tulime mkuufinancial services anipatie maujanja ya kumake more money
One Love Mkuu G’ 💞1. Evelyn Salt - nawaza vile unaandikaga ndivo unavoongea? huwa unanifanya natabasamu sana mkuu,can't wait to see u one day
2. Demi -nakukubali tu bila sababu za msingi
3. Depal - vile nakufeel nakua speechless, acha niishe hapo kwa leo
Yanabubujika kwa kasi ya umeme 😂🤣🤣🤣🤣 na machozi tele.