Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
😀Sijasikia habari ya msiba wake. Wewe una taarifa yoyote?
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀Sijasikia habari ya msiba wake. Wewe una taarifa yoyote?
Amandla...
Halima ataolewa lini?? Ili tukamcheke kwenye harusi na mume wake..Anamcheka Mwenyekiti wake
Mkuu mbona ametoa conditions kuwa wakitubu na kueleza ukweli waliendaje endaje bungeni basi watasamehewa. Ameweka msingi kwenye neno "UKWELI" kama kigezo cha msamaha. Anayeamua sio yeye ni Mkutano Mkuu kwahiyo kasema kina Mdee wanafahamu wanachopaswa kufanya ni kuomba upya uanachama huko, na wakikiri watasamehewa.Mimi hapa ndio simuelewi Lissu. Hivi kweli anaamini kuwa kama kungekuwa na fomu zozote Ndugai angezificha? Hiyo si ndio ilikuwa nafasi ya kumuumbua aliye zisaini na kukivuruga kabisa CDM? Kauli kama hizi za kichonganishi ndio zinanifanya nikose imani nae. Kwangu mimi wakina Halima na Esther ni bora mara kumi ya Msigwa na Slaa ambao ni rafiki zake. Hawa wanawake katika muda wote huu hawajawahi kukitukana chama chao wala viongozi wao. Lakini hao anao wakumbatia walifanya juhudi za wazi kukichimba chama chake.
Ningekuwa yeye ningetangaza ruhusa kwa yeyote ambae kwa sababu yeyote alikuwa nje ya chama kurudi kwenye familia. Mbona waliweza kumkubali mpambanaji Aidan? Kwa hawa wanashindwa nini?
Amandla...
Nani amesema chama ni mali yake, all lissu anataka ni taratibu zifuatwe. Hao walipata ubunge in who name?Mjumbe wa kamati kuu, na Lisu ni Mjumbe na Mwenyekiti, chama siyo mali yake, yeye hana kauli ya mwisho.
Ndio nasema hao Covid 19 wasipokua Loyal kwa Lissu watadharau na chama. Hata Mbowe kama angeshinda watu nao wangekiacha chama huwezi separate mwenyekiti kuheshimiwa na chama kuheshimiwa.Unachanganya kuwa loyal kwa mtu na kudharaulika. Mtu anaweza kudharauliwa na kadamnasi lakini watu wake wakawa bado wako loyal kwake.
Amandla...
Wameambiwa waende mkutano mkuu ndio wenye maamuzi, waache kona kona mbona simple tu. Ila mimi binafsi siungi mkono haya maana kitaweka precedence mbaya sana.Lissu inatakiwa awe na busara tu kwan hajui magufuli regime ilikuaje ?aache mihemko aisee nao ni wahanga kama yeye
Lissu atajuaje kama wanasema ukweli au uongo? Au tayari anaujua ukweli na anachotaka ni watu wakiri tu? Wakiri nini? Hiyo sio justice hata siku moja.Mkuu mbona ametoa conditions kuwa wakitubu na kueleza ukweli waliendaje endaje bungeni basi watasamehewa. Ameweka msingi kwenye neno "UKWELI" kama kigezo cha msamaha. Anayeamua sio yeye ni Mkutano Mkuu kwahiyo kasema kina Mdee wanafahamu wanachopaswa kufanya ni kuomba upya uanachama huko, na wakikiri watasamehewa.
Otherwise sishauri awarudishe, loyalty ni muhimu kuliko kura.
Ndio option pekee waliyobaki nayo.Mdee na wenzie wamejimaliza kisiasa. Njia pekee iliyobaki ni kuunga mkono juhudi maana kazi waliyotumwa wameifanya.
Uko nchi gani Mkuu? Walishafukuzwa mda sana, wabunge wasio na chama, wamelindwa na mfumo tu.
Kuna yeyote hapo ameomba kurudi chadema? Mbona kaulizwa kuhusu Dr Slaa na akasema ndio alihusika kumleta Lowassa na Mbowe asilaumiwe, na alisema hayo akiwa kwenye mdahalo wa uenyekiti, na wakati huo Dr Slaa yupo jela na mind you alikua Team Lissu, So unaweza ona ambayo Lissu yupo direct kwenye ukweli.Anawezaje kuwashikilia bango wakina lakini akawa kimya kwa watu kama:
Sio kweli, 48% wamemchagua Mbowe so wanaweza mkatalia misimamo yake.Wote tunajua kuwa wajumbe wengi wa hiyo mikutano wanafuata muelekeo wa Mwenyekiti wao. Wengi ni loyal kwa tafsiri yako.
Recency bias, mtu kama Dr Slaa alifanya hayo miaka 10 iliyopita ila Mdee bado anafanya hayo mpaka leo hii, nani hapo anastahili clemency akiomba kurudi chadema?Kwangu mimi hawa wamesababisha maumivu zaidi kwa chama kuliko wakinq Halima
Hapana ila wale jua walifosiwa na utawala wa wakati huo ebu fikiria mmoja alikamatwa akatolewa kwa shart la kuingia bungen wangefanyaje sasaWameambiwa waende mkutano mkuu ndio wenye maamuzi, waache kona kona mbona simple tu. Ila mimi binafsi siungi mkono haya maana kitaweka precedence mbaya sana.
Ndio waje kukiri sasa kama walivyoambiwa na Lissu!! Wasipoongea ukweli hakuna mjumbe atakubali warudishwe.Hapana ila wale jua walifosiwa na utawala wa wakati huo ebu fikiria mmoja alikamatwa akatolewa kwa shart la kuingia bungen wangefanyaje sasa
FAM alishindwa na TAL atashindwa and he knows itHalima Mdee ameonyesha emoji mbili za kucheka 😃😃 kupitia mtandao wa X katika taarifa inayomuonyesha Lissu akiongelea kuhusu msimamo wake dhidi ya wabunge hao 19
Pia soma >Tundu Lissu: Nipo tayari kuwapokea wabunge 19 wa Viti Maalum walioingia bungeni bila baraka za chama
View attachment 3213007
Amesema hivyo lakini bado yuko nae. Tatizo kubwa la Dr. Slaa sio kumleta Lowassa bali ni kukichafua chama alipokuwa nje ya chama. Anapaswa kuomba msamaha au kusema kuwa aliyokuwa akisema yote ni kweli na CDM ina au ilikuwa na kikundi cha utekaji. Hilo Lissu hajalizungumzia kabisa.Kuna yeyote hapo ameomba kurudi chadema? Mbona kaulizwa kuhusu Dr Slaa na akasema ndio alihusika kumleta Lowassa na Mbowe asilaumiwe, na alisema hayo akiwa kwenye mdahalo wa uenyekiti, na wakati huo Dr Slaa yupo jela na mind you alikua Team Lissu, So unaweza ona ambayo Lissu yupo direct kwenye ukweli.
48% ya Baraza Kuu sio 48% ya Mkutano Mkuu. Mimi sielewi hicho mnachosema anakifanya Halima mpaka sasa. Hivi kuhudhuria kwake Bunge kunaondoaje uhalali wa CHADEMA? Mbona Aidan aliendelea kuhudhuria hata baada ya kuambiwa asihudhurie? Na juzi amesimamia uchaguzi wa Bawacha kwa umahiri mkubwa. Angeshikiwa bango ili afukuzwe kwenye chama kama wakina Halima hasara ingekuwa kwa Chadema. Kuna madiwani wa CHADEMA bado wanahudhuria vikao vya Halmashauri zao. Wote hao hamuwaoni, mnawaona wakina Halima peke yao? Kwangu mimi wote ( wakina Halima, Dr. Slaa n.k.) wanastahili kusikilizwa kama wataomba msamaha bila kuwekewa masharti ambayo hawataweza kutimiza.Sio kweli, 48% wamemchagua Mbowe so wanaweza mkatalia misimamo yake.
Recency bias, mtu kama Dr Slaa alifanya hayo miaka 10 iliyopita ila Mdee bado anafanya hayo mpaka leo hii, nani hapo anastahili clemency akiomba kurudi chadema?
Msigwa angehamia chama kingine cha upinzani nisingekuwa na tatizo nae. Amehamia kule kule kwa washindani wao wakubwa kwa sababu tu anamchukia Mbowe. Huyu akigombana na Lissu si atarudi CCM au atakuwa anawapelekea siri za CDM. Hivi ingekuwa Sugu ameshindwa halafu akahamia CCM mngeimba wimbo huu? Si mngesema alilamba asali. Kwa nini hamsemi hilo kwa Msigwa?Hata Msigwa it's obvious ameenda CCM sababu ya kuwa frustrated na Mbowe na ndio maana hata interview zote ameonyesha kumkubali Lissu na hivyo Lissu akiwa mwenyekiti kuna chances akarudi.
Wametoa wapi kejeli. Wameenda mahakamani kupinga kufukuzwa kwao. Hapo tatizo liko wapi?Hao kina Mdee vipi? Wamewahi kuwa apologetic kwa chama zaidi ya kejeli na dharau mind you wametupeleka hadi mahakamani!! Unawasamehe vipi?
Nani amesema kuwa wakina Halima wakisamehewa wapewe pia nafasi za uongozi? CDM watakuwa na haki kabisa ya kuwaweka kwenye probation ambapo hawataruhusiwa kugombea nafasi yeyote na watabaki kuwa wanachama wa kawaida.Ni hivi hawa sio wa kuwasamehe, haiwezekani kina Ruge na Sharifa wapambane na BAWACHA kipindi hiki cha dhiki alafu oktoba waenda tena kina Mdee bungeni!! Itakua injustice, hao wahuni wote wasirudishwe na wakirudishwa wakae benchi tu hakuna free lunch
Unachotaka ni waje waseme kile ambacho Lissu anaamini bila kujali kama ni kweli au la.Ndio waje kukiri sasa kama walivyoambiwa na Lissu!! Wasipoongea ukweli hakuna mjumbe atakubali warudishwe.
Yuko naye wapi? Dr Slaa alitoa maoni yake huko pembeni ila sijawahi ona popote yupo na Lissu publicly au mikutano ya chadema na hata jana alipotaja timu ya ushindi hakumtaja Dr Slaa. Huwezi chagua supporters wako, ila sio partners wako.Amesema hivyo lakini bado yuko nae. Tatizo kubwa la Dr. Slaa sio kumleta Lowassa bali ni kukichafua chama alipokuwa nje ya chama. Anapaswa kuomba msamaha au kusema kuwa aliyokuwa akisema yote ni kweli na CDM ina au ilikuwa na kikundi cha utekaji. Hilo Lissu hajalizungumzia kabisa.
Lissu alichaguliwa na mkutano mkuu, na uanachama wa Mdee unarudishwa na Mkutano Mkuu PEKEE!! sasa hiyo 48% ya mkutano mkuu inaweza pinga au kubali so sio kweli watafuata kila anachosema Lissu.48% ya Baraza Kuu sio 48% ya Mkutano Mkuu
Mbona ndio Lissu kasema, waombe msamaha na kukiri kosa kwani kipi kigumu.wanastahili kusikilizwa kama wataomba msamaha
Kwani Mdee wamefukuzwa kisa kwenda bungeni au MCHAKATO waliotumia? Mie naamini kabisa maridhiano yalipoanza chadema walishakubaliana kina Aida na madiwani waende bungeni so hata wabunge wa viti maalum wangepelekwa muda huo. Sasa wao mchakato waliotumia ni forgery na ni criminal charges kabisa ni tofauti na Aida ambaye alikua na uhalali kisheria! Hao kina mdee walikua na uhalali gani? Hawajadhaminiwa na chama, hawajakua endorsed na kamati kuu na hata walipofukuzwa bado walibakizwa bungeni bila kuwa na udhamini wa chama!! So ni mambo mawili tofauti kabisa KISHERIA.Hivi kuhudhuria kwake Bunge kunaondoaje uhalali wa CHADEMA? Mbona Aidan aliendelea kuhudhuria hata baada ya kuambiwa asihudhurie? Na juzi amesimamia uchaguzi wa Bawacha kwa umahiri mkubwa. Angeshikiwa bango ili afukuzwe kwenye chama kama wakina Halima hasara ingekuwa kwa Chadema. Kuna madiwani wa CHADEMA bado wanahudhuria vikao vya Halmashauri zao. Wote hao hamuwaoni, mnawaona wakina Halima peke yao? Kwangu mimi wote ( wakina Halima, Dr. Slaa n.k.) wanastahili kusikilizwa kama wataomba msamaha bila kuwekewa masharti ambayo hawataweza kutimiza.
Hata Msigwa akirudi Lissu hana mamlaka ni Mkutano Mkuu, na obvious lazima aombe radhi na kueleza kwanini alihama!! Wakimuelewa watamrudisha so hao kina Mdee hakuna shortcut ni lazima wakiriMsigwa angehamia chama kingine cha upinzani nisingekuwa na tatizo nae. Amehamia kule kule kwa washindani wao wakubwa kwa sababu tu anamchukia Mbowe. Huyu akigombana na Lissu si atarudi CCM au atakuwa anawapelekea siri za CDM. Hivi ingekuwa Sugu ameshindwa halafu akahamia CCM mngeimba wimbo huu? Si mngesema alilamba asali. Kwa nini hamsemi hilo kwa Msigwa?
Wewe ulisema walienda kisa kutishiwa na JPM, sawa mbona hawakusema hayo Baraza Kuu? Wamefukuzwa wanaenda kukishtaki chama maana kwenye hati ya mashtaka bodi ya wadhamini chadema ilishtakiwa. Sasa mnafanya forgery na bado mnaishtaki taasisi mnategemea nini.Wametoa wapi kejeli. Wameenda mahakamani kupinga kufukuzwa kwao. Hapo tatizo liko wapi?
Kwani hujui kuwa walishajadliwa kuanzia kamati kuu, Baraza kuu na mkutano mkuu na kote huku wakaridhika kuwa wamefanya makosa na adhabu ya kuwavua uanachama iliwastahili...?Mimi hapa ndio simuelewi Lissu. Hivi kweli anaamini kuwa kama kungekuwa na fomu zozote Ndugai angezificha? Hiyo si ndio ilikuwa nafasi ya kumuumbua aliye zisaini na kukivuruga kabisa CDM? Kauli kama hizi za kichonganishi ndio zinanifanya nikose imani nae. Kwangu mimi wakina Halima na Esther ni bora mara kumi ya Msigwa na Slaa ambao ni rafiki zake. Hawa wanawake katika muda wote huu hawajawahi kukitukana chama chao wala viongozi wao. Lakini hao anao wakumbatia walifanya juhudi za wazi kukichimba chama chake.
Ningekuwa yeye ningetangaza ruhusa kwa yeyote ambae kwa sababu yeyote alikuwa nje ya chama kurudi kwenye familia. Mbona waliweza kumkubali mpambanaji Aidan? Kwa hawa wanashindwa nini?
Amandla...