Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Wamekutuma eti.Ni aibu sana kuwa mpumbavu Hadi kufikia kuchekwa na mtoto wa kike.
Nasema hv, ni suala la muda tu kabla ya mjuaji flani mshamba mshamba hivi hajatema bungo.
Maisha Yana zaidi ya vifungu vya Sheria (hii itaeleweka kwa wenye A za phy na Maths (hakuna nyumbu hata mmoja humu jf mwenye hizo)); maisha Yana zaidi ya hiki kitu kinachoitwa misimamo.......hata Adolf Hitler alikuwa na msimamo.....nini' kilijili kutokana na huo msimamo wake wa kutaka kuitawala Dunia?!!! Ujerumani ilikaribia kufutwa kwenye uso wa Dunia na kukaribia kugawanywa kabisa.
Tunaambiwa kwenye mafunzo ya kung Fu kuwa tumia maguvu makubwa anayokuja nayo opponent kumpiga mwenyewe.....yaani inakuwa anajipiga tu.
Mbowe is no longer the chairman.